Udini wa kutisha UDOM!

Status
Not open for further replies.
Kwa nini usiwaweke tuu kama walivyofanya kuhusu UDOM? Tatizo liko wapi? Watu wameishadai kuwa uongozi wa juu wote wa hivi vyuo ni wamisheni. Wawataje basi ingawa jina si ushahidi kamili.

Amandla........
mkuu fundi mchundo usikurupuke, hapo jamaa alipo wa list viongozi wa juu wa UDOM wamemuacha DVC academic ambae ni christian...na mjadala wa ku compare tuliufunga hauna maana tunachotaka ni vielelezo vya mtoa mada wa thread hii na ushaidi...ambapo ameshindwa
kifupi mshahara hauna udini ni vyeti vyako vinakupa mshahara wako...rejea page 1 mpaka ya 9 ya thread hii ndo utaelewa tumetoka wapi
USIKURUPUKE KAKA
 
Hapana Shaka sasa mambo ya dini yameanza tayari tena hapa, mjadili mambo na topic ya hapo juu na sio udini
 
pole mkuu kuna shule nyingi tuu TZ za kikristo ambazo hazichukui waislam,marrian girls, visiga seminary, st francis na nyingine nyingi...na pia kuna baadhi ya shule za kiislam hazichukui wakristo mfano almuntazir..ila wahindu wanakubaliwa hapo...ukibisha na hapo basi tena
nashangaa unapokataa kuwa muslim Uni haijaletwa kwaajili ya kuendeleza muslims, mfano jinalenyewe na sheria inayo iestablish chuo ipo wazi

Shule ikiishaitwa seminary basi haiwezi kuchukua mtu asiye wa dini ile. Sasa kama shule hiyo lengo lake ni kufundisha mapadiri na watawa kwa nini basi ichukue watu wasioweza kuwa watawa? Mtu ambae hauna nia ya kuwa mwalimu unatafuta nini kuomba nafasi katika chuo cha walimu?

Almuntazir haiwezi kusema haichukui mtu asiye muislamu bali inaweza vigezo ambavyo wakristu wataona vigumu kukubaliana navyo. Vitu kama sheria za mavazi zitawafukuza wakristu wengine. Mbona wakristu wengi tu wamesoma shule za Bakwata? Wengi tu walisoma Kinondoni Muslim n.k.

Kuendeleza waislamu hakumaanishi kubagua wasio waislamu. Chuo kinaweza kutoa skolaship kwa ajili ya wanafunzi wa kiislamu, kutoa nafasi kwa wanafunzi kujifunza zaidi masuala yanayohusu uislamu lakini hakiwezi kusema kuwa waislamu hawatakiwi hapo. Wakitaka kufanya hivyo itabidi kigeuzwe seminari ya kiislamu na si vinginevyo.

Katika projects ufaransa ambako wahamiaji wengi ni kutoka nchi zenye waislamu wengi, shule zinazogombewa ni za wakatoliki. Katika shule nyingine idadi kubwa ni waislamu kuliko wakristu pamoja na kwamba walimu ni maburuda, kabla ya masomo wanasali na mbele ya darasa kuna msalaba! Cha msingi ni elimu na ili mradi mtu haulazimishwi kupiga ishara ya msalaba basi wazazi wengi wakiislamu wako ihari kupeleka watoto wao huko. Hivyo hivyo hiyo Al Muntazir ikijenga jina la kutoa elimu bora basi wamisheni wengi watakuwa tayari kuwavisha hijab watoto wao ili wakasome huko!

Amandla........
 
mkuu fundi mchundo usikurupuke, hapo jamaa alipo wa list viongozi wa juu wa UDOM wamemuacha DVC academic ambae ni christian...na mjadala wa ku compare tuliufunga hauna maana tunachotaka ni vielelezo vya mtoa mada wa thread hii na ushaidi...ambapo ameshindwa
kifupi mshahara hauna udini ni vyeti vyako vinakupa mshahara wako...rejea page 1 mpaka ya 9 ya thread hii ndo utaelewa tumetoka wapi
USIKURUPUKE KAKA

Nani amekurupuka? Jamaa (sio mtoa mada) ametoa list ya viongozi wajuu wa UDOM ambao wanahusika na utawala na ajira (tukumbuke amezungumzia mishahara ambayo huyo DVC academic hahusiki) na wote ni waislamu isipokuwa Mkapa , ambae cheo chake si cha kiutendaji.

Wengine mmempinga kwa kusema kuwa anaingiza udini, na kusema mbona vyuo vingine vimejaa wakristu na hakuna anaelalamika. Ili haki itendeke basi bora hivyo vyuo vingine walikojazana wamisheni vingetajwa pamoja na hao wamisheni walio katika hizo nafasi za uongozi. Kigugumizi cha nini?

Mjadala wa ku-compare mliufunga wewe na nani? Mbona hakuna Thread closed hapo chini? Humu ndani tuna uhuru wa kudadisi chochote tunachotaka bila kujali hata mleta mada alikusudia nini. Ndiyo wwww. Ni pori hili. Enter at your peril!

Amandla..........
 
Kisutu sekondari ( D.A. Girls), Kibasila sekondari ( St. Xavier's sekondari), Minaki sekondari, Pugu sekondari, Upanga primary ( ya wahindu), Upanga praimari iliyogeuzwa makao makuu ya jeshi n.k. n.k.

Zote hizi zirudishwe?

Amandla.......
 
Shule ikiishaitwa seminary basi haiwezi kuchukua mtu asiye wa dini ile. Sasa kama shule hiyo lengo lake ni kufundisha mapadiri na watawa kwa nini basi ichukue watu wasioweza kuwa watawa? Mtu ambae hauna nia ya kuwa mwalimu unatafuta nini kuomba nafasi katika chuo cha walimu?

Almuntazir haiwezi kusema haichukui mtu asiye muislamu bali inaweza vigezo ambavyo wakristu wataona vigumu kukubaliana navyo. Vitu kama sheria za mavazi zitawafukuza wakristu wengine. Mbona wakristu wengi tu wamesoma shule za Bakwata? Wengi tu walisoma Kinondoni Muslim n.k.

Kuendeleza waislamu hakumaanishi kubagua wasio waislamu. Chuo kinaweza kutoa skolaship kwa ajili ya wanafunzi wa kiislamu, kutoa nafasi kwa wanafunzi kujifunza zaidi masuala yanayohusu uislamu lakini hakiwezi kusema kuwa waislamu hawatakiwi hapo. Wakitaka kufanya hivyo itabidi kigeuzwe seminari ya kiislamu na si vinginevyo.

Katika projects ufaransa ambako wahamiaji wengi ni kutoka nchi zenye waislamu wengi, shule zinazogombewa ni za wakatoliki. Katika shule nyingine idadi kubwa ni waislamu kuliko wakristu pamoja na kwamba walimu ni maburuda, kabla ya masomo wanasali na mbele ya darasa kuna msalaba! Cha msingi ni elimu na ili mradi mtu haulazimishwi kupiga ishara ya msalaba basi wazazi wengi wakiislamu wako ihari kupeleka watoto wao huko. Hivyo hivyo hiyo Al Muntazir ikijenga jina la kutoa elimu bora basi wamisheni wengi watakuwa tayari kuwavisha hijab watoto wao ili wakasome huko!

Amandla........
nakubaliana wewe mkuu...bora nimepata watu wawili katika hii thread ambao si wadini na neutral kama mimi...mefrahi sana..pia kuna shule za kikristo nyingi tu zenye waislam achilia mbali lebo ina msalaba mfano LOYOLA na St anthon....nakubaliana nawe unaposema inachotakiwa ni quality ya elim.

nilikua nampinga mtu anavyo sema muslim universirty ni wabaguzi wanapochukua waislam wengi...nikampa vigezo kama ulivyonipa hapo kua maranyingine hulka za dini zinafanya mtu wa dini asiende kwenye taasis ya kidini..mfano wako wa mavazi ni mzuri sana ambapo wakristo wengi hawaendi shule za kikristo
pia ni sawa kwani muslim wanafundisha mtaala kama wa sharia law..ni so mo moja wapo kwenye law faculty/department ya pale..nikasema pia hata ukienda chuo cha st agustin au st joseph au st jones unakuta pia hivyohvyo
vyuo atleast vyenye muiano mzuri ni vya public kwani havina hulka ya dini yoyote kama muslim na vyuo vingine vya kidini st agustin et al
 
Tujadili mambo ya maana kabisa

Hili suala ni dalili ya kansa iliyokuwepo katika jamii yetu. Mtu amedai kuna udini katika ajira mahali fulani, alipoombwa ushahidi basi mwingine akaweka majina ya viongozi wakuu ambao wengi walikuwa wa dini hiyo inayoshutumiwa! cha ajabu ni kuwa wengi tukachukua kuwa huo ni ushahidi tosha maana kiongozi ni lazima atapendelea wale wa dini yake. na hata wale waliopinga, walipinga kwa kusema mbona katika vyuo vingine uongozi wa juu nako sehemu kubwa ni dini moja! Wengine wakadai kuwa ni sawa sawa kabisa chuo kinachoongozwa na dini fulani kubagua wengine! Hali hii ndiyo iliyopo katika majadiliano yetu mengi. Hatutaki kumpima mtu kwa utendaji wake bila kuingiza vigezo vya dini, ukabila na rangi. Kansa hii tusipoangalia itatuchukua. Kukataa kujadili ugonjwa si jawabu.

Amandla........
 
mkuu fundi mchundo usikurupuke, hapo jamaa alipo wa list viongozi wa juu wa UDOM wamemuacha DVC academic ambae ni christian...na mjadala wa ku compare tuliufunga hauna maana tunachotaka ni vielelezo vya mtoa mada wa thread hii na ushaidi...ambapo ameshindwa
kifupi mshahara hauna udini ni vyeti vyako vinakupa mshahara wako...rejea page 1 mpaka ya 9 ya thread hii ndo utaelewa tumetoka wapi
USIKURUPUKE KAKA
Wahenga walisema .... dont argue with a f..., people might not notice the difference.
Wewe weka mambo hadharani.Kulingana na thread, kule UDOM mkuu wa utawala ni Prof Shabaan Mlacha. Matatizo yote yanaamzia hapo mkuu.Dilly dallying wont save the day for ya.
 
Last edited:
kwenye local papers moja hapa nchini nadhani mtanzania, kuna barua ya mtoa maoni akilalamikia kuhusu udini w akupindukia huko chuo kikuu cha dodoma, inasemekana kama wewe si mwislamu huna chako pale

inasemekana pia mishahara haina scale kulinganisha na sifa bali inapangwa na afisa ambaye yeye anatumia udini kama kigezo, yaani mkristo kiduchu na mwislamu bwelele

sasa jf iko kila mahali tunaomba data na ikiwezekana hili lipingwe kwa nguvy zote

utaifa wetu uwe ndiyo kigezo pekee, kamwe udini , ukabila, na rangi kisiwe kigezo cha kututenga, hakuna aliye bora kuliko tanzania

Huna hata haya!
 
Vipi kakugusa nini!

Muongo! alete ushahidi! tunajuwa kwa nini anasema hivi, simpo, ni kwa sababu tu JMK kaweka record ya Dunia ya kutangaza azima ya chuo kikuu mpaka kuanza maduhuli ya wanafunzi na mpaka kuanza kutoa elimu hiki chuo ni muda mfupi sana na tunakipeleka kweny Guinness Book of Records kisajiliwe rasmi kuwa ni record ya dunia.

Sasa huyu usongo wa Muislam kufanikisha yaliyowashinda wagala, ndio anazuwa hili, Yes, kanigusa sana.
 
Mbona mapovu kibao mkuu wangu ....

Unashangilia kwa vile chuo kimejengwa kwa msaada wa pesa toka ..... (jaza kwenye blank) au kwa vile imagination yako imekutuma kuamini kuwa JK kaweka rekodi ya dunia!

Na sasa Tanzania isipogeuzwa kuwa nchi ya kiislam mtahamia wapi? - Congo?
 
Uislam ndio dini inayokuwa zaidi ya zote duniani. Hatuna haja ya kugeuza nchi wala mtu, mwenye macho haambiwi tazama mwenye masikio haambiwi sikia. waIslam wanaonyesha kwa vitendo, si umeona Mwinyi alifanya nini? na sasa unaona JMK anafanya nini? nambie Nyerere alifanya nini? jibu, katuwacha kwenye lindi la umasikini hata dawa ya meno hamna madukani. Duh! na Mkapa? katuwacha kwenye ufisadi wa hali juu! JMK anachukuwa nchi hata umeme hakuna, majambazi kibao! leo tunaona aliyoyafanya kwa muda mchache, sasa mnajidai UDOM udini! kama si upuuzi ni nini huu?

JMK fanya vitu vyako, usiwasikilize wagala hawa! yao ni kuponda tu pale penye mafanikio. Lakini ziba masikio fanya unavyoona wewe ni sawa na watabaki hawana la kusema ila kuzusha tu kama kawaida yao. Wamewazushia mitume, wengine wakawaita ni ''Mungu'' itakuwa wewe Rais tu? watakuzushia kila la kukuzushia lakini kwa kuwa uyafanyayo yanajionesha na hayo ndio yatakulinda na hila na fitina zao.
 
Na baadaye JK ataanzisha war lords kibao kama Somalia si unajua tena serikali za kiislam lazima uwe na war lords ili ufanikiwe. Sijui upande wa kanda ya magharibi atamweka nani.....

JMK fanya vitu vyako, usiwasikilize wagala hawa! yao ni kuponda tu pale penye mafanikio. Lakini ziba masikio fanya unavyoona wewe ni sawa na watabaki hawana la kusema ila kuzusha tu kama kawaida yao. Wamewazushia mitume, wengine wakawaita ni ''Mungu'' itakuwa wewe Rais tu? watakuzushia kila la kukuzushia lakini kwa kuwa uyafanyayo yanajionesha na hayo ndio yatakulinda na hila na fitina zao.

Azibe masikio ataweza? Si unaona mwenyewe moto ulivyomwakia kwenye OIC na mahakama za kadhi na ameanza kujichekesha chekesha tu. Sio kazi rahisi kama alivyofikiri.
 
Ndio mwana teknolojia mwenyewe huyu?

Yaani vile umetokea tu na kikombe chako cha kahawa, picha yako inachukuliwa na kisha kulinganishwa na data base ya wauzuliaji wengine ili kuona kama kuna mapirates toka Somalia au la.

Mapirates wakijulikana tu, yanayofuatia ni historia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom