Kwenye local papers moja hapa nchini nadhani mtanzania, kuna barua ya mtoa maoni akilalamikia kuhusu udini w akupindukia huko chuo kikuu cha dodoma, inasemekana kama wewe si mwislamu huna chako pale
Inasemekana pia mishahara haina scale kulinganisha na sifa bali inapangwa na afisa ambaye yeye anatumia udini kama kigezo, yaani mkristo kiduchu na mwislamu bwelele
Sasa, JF iko kila mahali tunaomba data na ikiwezekana hili lipingwe kwa nguvu zote.
Uutaifa wetu uwe ndiyo kigezo pekee, kamwe udini , ukabila, na rangi kisiwe kigezo cha kututenga, hakuna aliye bora kuliko tanzania