Hysteria tupu wala hujui ulisemalo!
Ha ha ha,
Usilie basi ng'hwana wane?
Hysteria tupu wala hujui ulisemalo!
Unataka kusema nini? Au credibility ni kuwa off topic?Mhhh ... credibility?!
Hadhi unamaanisha experience. Lakini in either way kadifference huwa ni kaduchu na tena ndani ya scale nzima ile ya upper na lower boundary almost hakuna cha maana. Kama utaamua kufundisha na ukawa huna hata uwezo wa ketetea haki yako basi wewe ni msomi goigoi. Watu wanalalamika mambo mengi pembeni lakini ukifuatilia utakutana na sababu za kutosha na kama kuna makosa huwa yanarekebishwa. Unajua watu huwa wanatoa comments tu wanadhani watu woote hawajui kinachozungumzwa, ukimwambia ajitokeze asaidiwe kama anapunjwa anaingia mtini. Hii nini sasa???
Mkuu mbona munkari na kuruka kimanga ?acha kuwa bias na jenga hoja kimakini, mbona prof kinabo hujamuweka..deputy academics...acha kuwa mjinga kiakili na mnapo toa mada kama hzi mjue kuna watu wenye elim zao tunaosoma hizi..by the way me ni christian sioni tatizo la udini hapa UDOM
Yah maana watu wanajua majungu kuliko kusema ukweli na wakiambiwa ukweli utaona zinaanza mada nyingine ili ukweli usifike.Mkuu
Nilimaanisha vyote experience na vyeti kwa pamoja. Mitanzania inaweza kuongozwa hata na chizi maana mingi haijui haki ila bingwa wa kuchemsha majungu.
Ila notch na notch kuna difference inaweza kwenda hadi laki 3 mkuu, si haba.
Nadhani tuanze kampeni ya kuwaaambia watanzania ukweli, ujinga uitwe ujinga na si changamoto. Upuuzi uitwe upuuzi na uzembe uzembe. Bila hili hatutoki hapa tulipo ndio maana wanasiasa wanatuchezea
Na akiwa Rais katoa Mazengo sekondari school kwa waangalikana
Tuelekeako Tanzania si kuzuri hata kidogo. suala hili la ubguzi lisipothibitiwa mapema itakuja tuumiza wenyewe baadaye. Kwa sasa suala hili linaonekana kuota mizizi nchini kwetu na watu wanaliona ila wanalifumbia macho. Dhambi hii ni mbaya sana. Hata umoja tunaojivunia kwa sasa hauwezi fua dafu mbele ya ubaguzi. Aliyesema kuna upendo katika ubaguzi (wowote ule) ni nani?
Nitakupeni mifano michache:
1. Kuna shule moja wanasoma wahindi tu. Ipo maeneo ya Kurasini. Sijasikia mahali pengine wakiwa wanasoma watu wa taifa moja tu. Hii inamaanisha nini; hatuwezi changanyika nao sababu si wenzetu. Watoto hawa wakikua katika 'mentality' hii kuja kuamini kama sisi sote ni watanzania wakishakuwa wakubwa, ni kitu cha kusahau!
2. Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro tangu kianzishwe; zaidi ya asilimia 80% ya wanafunzi wanaodahiliwa huwa ni waislamu. Kwa maana kama wewe jina lako ni kama langu; Kyatsvapi, huna nafasi pale. Sidhani kama hii inafaa kwa jamii ya wapenda umoja kama Tanzania. Nakumbuka pia chuo hicho, tofauti na vyuo vingine vya kidini, kilichukua ardhi na majengo ya kilichokuwa chuo cha Tanesco, Morogoro (mali ya watanzania wote, wenye dini na wasio na dini). Sidhani kama maudhui ya chuo hicho ni kuwasomesha waislam tu, na kama ndiyo; tuelekeako tutakuwa tunazalisha wahitimu wa vyuo na siyo wasomi. Ni nani atashindana na mwanafunzi ambaye nafasi yake chuoni ipo guaranteed? Habari zaidi, waweza kudownload majina ya wanafunzi wanaochaguliwa chuo cha Waislam Morogoro kutoka http://www.mum.ac.tz/ selected students for the year 2009/2010.
Ha ha ha,
Usilie basi ng'hwana wane?
First thing first. Aliyeanzisha mada amenukuu barua ya mtoa maoni kwenye gazeti moja ambalo hata mwenyewe hana uhakika nalo, anadhani kuwa ni mtanzania au inawezekana kuwa Kasheshe.
Je tuna uhakika gani kuwa mtoa maoni kwenye hilo gazeti alikuwa na data au ushahidi wa ku-support maoni yake?
Kwa maoni yangu binafsi napata wasiwasi na JF kuwa The home of Great Thinkers. May be JF is just a home of disgruntled individuals.
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe!
mkuu napangua hoja zako mbili kama ifuatayo na kwania nzuri tu
mmoja ya wahindi kuwa shule inawahindi tupu ni kwasababu zifuatazo, moja kama ni shule ya wahindi inawezekana imeshawishi wahindi wengi kwenda, pia kama ni gharama sana watanzania wengi hawawezi ku aford, tatu kama ni mpya basi hatuijui kitaalima sana ila ikiwa inafanya vizuri wa TZ watakuja, mbona hatusemi shule za wa TZ ambazo hakuna muhindi wala waarabu
kuhusu muslim university, kile ni chuo kimewekwa kaajili ya muslims, mbona kuna shule za seminari za sekondari kama visiga na st marrian hazichukui waislam,ni kwasababu zimejengwa kwa madhumuni ya wakristo, pia nakuomba uangalie idadi ya wanafunzi wanao chukuliwa st agustin, na kile chuo cha kikristo st jones, pia anagalia na st joseph cha dar...ukiangalia wengi ni christians kama asilimia 90..
unanua ni nini, pia wananchi wakisha jua ni chuo cha kiislam au cha kikristo mtu haendi kwenye chuo imani ikiwa tofauti
so hapo kuja na kitu kipya kaka
Punguza muda wa kutizama Al jazeera mkuu ili uongeze vyanzo vyako vya habari na uelevu.

Arguments za pumba sir,
Wahindi wameshawishiwa kuwenda shule zao-na nani?
Na watanzania wengi hawawezi kuziafford-poor thinking indeed
Muslim University ni ya waislam kwa sababu kuna Visiga,St Marian etc ni za wakristo-thats what I call poor(very) arguments!
Unweza kuelezea funding ya hizo institutions?Tuanajua Chuo cha Morogoro ni kodi zetu.
Mkuu weka logic yako in a proper perpective, otherwise adiko lako halina kichwa wala miguu.
Hadhi unamaanisha experience. Lakini in either way kadifference huwa ni kaduchu na tena ndani ya scale nzima ile ya upper na lower boundary almost hakuna cha maana. Kama utaamua kufundisha na ukawa huna hata uwezo wa ketetea haki yako basi wewe ni msomi goigoi. Watu wanalalamika mambo mengi pembeni lakini ukifuatilia utakutana na sababu za kutosha na kama kuna makosa huwa yanarekebishwa. Unajua watu huwa wanatoa comments tu wanadhani watu woote hawajui kinachozungumzwa, ukimwambia ajitokeze asaidiwe kama anapunjwa anaingia mtini. Hii nini sasa???
Mwafrika said:Swali kwako binafsi ...
Ni nini mtizamo wako kuhusu wazo la kurudisha hizo shule na hospitali na majengo, na mashamba, na mali kwa waliokuwa wamiliki wake kabla ya azimio?
Enh kweli this is JF. Mbona watu mnafanya dini vichaka? Hebu tuweke hoja. Hoja ni UDOM upendeleo wa udini kwenye mishahara. Kuna watu wao lazima wachangie hata kama hawajui wanachosema.
Labda tuulizane mishahara inalipwaje kwenye academic institutions?
Ukiwa na masters tayari wewe ni assistant lecturer, unaweza kuongezea machapisho ukapanda kwa mshahara lakini hii haizuii wale ambao hawajaandika kupanda, kila mtu hapo atapanda ila sasa, kuna bar ya juu ambayo kama hutaongeza machapisho au elimu then ndio mwisho wako.
Kwa sasa hivi ukiwa na masters ukaandika machapisho 3 basi unakuwa lecturer lakini hung'oki hapo hata ufanyaje mpaka upate PhD. Sasa unampendelea mtu vipi?
Ukiwa na PhD wewe ni lecturer moja kwa moja, machapisho yatakutoa hapo uwe senior lecturer to professiorial level.
Kwenye hivi vyuo sasa hivi kumekuwa na transparency saana.