Udini sasa unaiangamiza Sekta Binafsi Tanzania, Tulipinge Hili!

Status
Not open for further replies.
Nadhani hili si Zuri sana sana kulipa nafasi katika JF nadhani halitujengi kama watanzania ambao familia zetu wengine ni mchanganyiko waislam na wakristo ss mimi huwa naona km ni kupandikizana chuki tu huyu atetee dini yake Yule amkashifu mwenzake matokeo yake haitaishia hapa tu itakua ndio tabia zetu everywhere worse enough is most of us ni wasomi na tunaweza kupata madaraka ktk sehemu tofauti na tukipanda hizi chuki za kubaguana itakua Hatari...


Sasa ujiulize Mara mbili what do I hope to achieve if continuing fighting with invisible enemy?
Nadhani hebu tujizuie kuendekeza hili Kama tulivyo sisi wengine ambao tunadini Kama nyinyi lakini tumechagua Kuwa watanzania na huu ndio UUNGWANA na Ustaarabu we should learn to tolerate each others not only with what we believe but also when provoked ...

Mantiki hapa siioni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom