AzizyKhammis
Member
- Oct 11, 2022
- 50
- 40
Shida kubwa wengi wanashindwa tofautisha uislam na waislam ama ukristo na wakristo maana yangu ni hii uislam ni unyenyekev na matendo yote mazur na muongozo wa yote katika uislam upo katika Quran kwamba ni kip MUNGU ameagiza tulio waislam tukifanye na kip amekataza nafikiri hata wakristo muongozo wao wote upo kwene biblia hvo basi msichanganye matendo ya watu na imani husika imani ina muongozo wake hvo kwa yeyote anae enenda kinyume atahukumiwa kwa mujibu wa muongozo wa vitabu vyake unavomtaka.Mimi ni Mkiristo lakini msiwaseme waislamu vibaya mimi nimeishi nao sana.
Mademu wangu wote nilio lala nao, Amina, Aziza, Husna, Mariamu na Sheila wote nilibahatika kupata waislamu yote tisa ila kumi waislamu wana roho nzuri sana ila hawa waislamu kanzu walio sahau uislamu kazi kutapeli watu na kuuza ngada allah awafanyie wepesi. Pia waache ushoga kina jumalokole.
Tatizo ni kuwa muslim wanaopigana kareti na judo au mashorati wanajazana ujinga na kudharau ukiristo lakini jamani eeeh waislamu wa bara ni wenzetu wana roho nzuri tu bado kuna shida kwa hawa wa pwani..
leta jambo andiko moja linalo elezea hayo uloandika hapo juu ya uislam kwene QuranImani ni ugonjwa mbaya sana, na bahati mbaya hauna tiba rahisi.
Imani za chuki huhudhunisha sana Moyo wangu. Na hiki kitu hukiona kwa wenzetu Islamic kwani hujiona bora zaid kuliko wengine na after all huonesha reaction zao wazi wazi kama walivoagizwa kwenye kitabu chao.
Basi Allah akakufanyie wepesi na roho ya kuacha husda, uwe muislam bora na upendo wote inshallah imani ni imani lakini imani hiyo isikufanye uone wengine wanakosea kwa kutokuwa waislamu.Shida kubwa wengi wanashindwa tofautisha uislam na waislam ama ukristo na wakristo maana yangu ni hii uislam ni unyenyekev na matendo yote mazur na muongozo wa yote katika uislam upo katika Quran kwamba ni kip MUNGU ameagiza tulio waislam tukifanye na kip amekataza nafikiri hata wakristo muongozo wao wote upo kwene biblia hvo basi msichanganye matendo ya watu na imani husika imani ina muongozo wake hvo kwa yeyote anae enenda kinyume atahukumiwa kwa mujibu wa muongozo wa vitabu vyake unavomtaka.
Kama Uislam umeshindwa mnalalamika nini? Kama mnauhakika Uislam umeshindwa si mfurahie maisha kuliko kuaamikia udini? Uislam sio dini ya kujilipua kama mlivyodanganyana huko mazabahuni, Uislam ni amani na upendo, ila ukishindwa kuheshimu Uislam jiandae kwa adhabu Kali ya kuumiza moyo.Sio mbaya kujipa moyo,mpaka kufikia hapa uislamu umeshindwa vibaya sana,kilichobaki ni kujiripua tu.
Yalifanywa na waislamu wasiokuwa na ufahamu na dini yao, allah awasamehe na awarehemu waliokufa katika wao.Zile vurugu za kulazimisha kuchinja machinjioni zililetwa na wakina nani,chokochoko za kuvunja mabucha ya kitimoto zilifanywa na akina nani?yale maandamano ya kukataa ujenzi wa kanisa zenji yalifanywa na akina nani?
Hawa jamaa huwezi kuishi nao bila kuwa kuwavumilia.Zile vurugu za kulazimisha kuchinja machinjioni zililetwa na wakina nani,chokochoko za kuvunja mabucha ya kitimoto zilifanywa na akina nani?yale maandamano ya kukataa ujenzi wa kanisa zenji yalifanywa na akina nani?
Hao mdomoni wanasema mengine na moyoni wana mengine.Mkiambiwa ukweli mnalia lia chuki, nyie hapo ndio dini inayoongoza kwa chuki, mnaua watu kabisa na kuchinja kisa hawaamini huyo mwarabu wenu ambaye mwenyewe alikua anaua pia.
Hebu angalia hapa maandamana kabisa kupinga ujenzi wa kanisa, hii ni chuki ya namna gani...
Mwambie atuwekee hiyo Aya ambayo inamkataza Mwislamu kula Nguruwe hapa.Wapi muislaamu kakatazwa kula kitimoto,nadhani wewe utakua muislamu wa mchongo.
Wala kulazimisha kuwachinjia wanyama.Ila hatuwabagui,wala kuandamana kupinga ujezi wa misikiti,upendo ndio msingi wa ukristo.
Hapa anazungumzia udini ili ijadiliwe kwa uzito wake-Udini
-Ukabila
-Ubaguzi wa rangi
-Ubaguzi wa maimbo demu mwembamba unamnyanyapaa unataka wanene wenye mizigo
-Wanaume wafupi hamuwataki mnawataka warefu wembamba weusi
Hivyo vyote vitu vibaya mkuu sio udini peke yake
Hapo wanapita kimya.Watakuja kusema hao sio waislamu[emoji28]
Aaaahaaaaaa-Udini
-Ukabila
-Ubaguzi wa rangi
-Ubaguzi wa maimbo demu mwembamba unamnyanyapaa unataka wanene wenye mizigo
-Wanaume wafupi hamuwataki mnawataka warefu wembamba weusi
Hivyo vyote vitu vibaya mkuu sio udini peke yake
Imeandikwa na Nani?Mmechokozana huko kwenye mambo yenu ya kipuuzi halafu unawaita Waislamu wadini? Kwanza udini ni nini? Isije ikawa mtu anasimamia Imani yake wewe unamuita mdini kisa tu kakataa kufanya unavyotaka wewe.
Kuna muda mwingine baadhi ya wajinga wanahisi Uislam ni swala la kujiamulia tu. Mfano mtu mnaweza mkawa mmekaa mnafanya jambo, ukienda kuswali mjinga anakuona mdini kwasababu anahisi swala ni kujiamulia muda kumbe swala ina nyakati zake.
Ukiona mtu analalamikia udini uje huyo ni fuska fulani anayetaka watu waishi vile anataka yeye. Muislam amekatazwa kufanya ubaguzi, ila amekatazwa pia kujadiliana linapokuja swala la Imani, yaani hakuna kujificha kwenye kutekeleza Imani yake. Nyinyi udini mnaoita ni pale Muislam anapokuwa committed na Imani yake.
Kuna baadhi yenu hata mkikaribishwa majumbani kwa Waislamu ukifika muda wa swala wakatoka kwenda kuswali au wakijitenga sehemu waswali mnawaita wabaguzi. Mtaendelea kuwaona Waislamu ni wadini kwakuwa mnaamini dini ni mjadala wa kirafiki ufanye au usifanye.
Imeandikwa; hawatakuwa radhi na nyinyi mpaka mtakapofata mila zao.
Maswali kama haya unaweza kuwauliza watoto wenzako na kama sio mtoto unaweza kuulizana na wazembe wenzako msiotaka kujifunza mambo.Imeandikwa na Nani?
mkuu wengine pia wanapaswa kuelewa kwamba hizi imani ni mapokeo kutoka nchi za magharibi na mashariki, na kama ni uadui basi umetoka kwenye haya mapokeo.Kwa kweli mi ni Islamic lkn tumezid ujinga aisee juzi Kati kuna tangazo la kifo la mkristo limeketwa mskitin litangazwe kwenye maspika si wamekataa wakat pia kutangaza uwa ni pesa kidogo ya kuchangia umeme....
Jana tukawa tunafanya usafi mazingira ya msikitini vifaa kama fyekeo jembe koleo tukaenda kuazima uko uko kwa wakristo zee moja likahoji vp kutumia majembe ya mkristo sio ukafir likatunyima vifaa vyake...
Sisi waislam na wasabato tuna matatizo sanaaa tena sanaaa na tunakaujinga flan hivi
mkuu kilichoongelewa kwenye hii siredi sicho unachokiongea, kuna watu humu wamefafanua vizuri kuhusu chuki za kidini.Iko hivi yaani ukitaka uishi kama maisha waliyokuwa wanaishi Mitume wa Mwenyezi Mungu,watu watakuchukia tu,yaani vaa kanzu mda wote,fuga ndevu,sali sana,ule upande wa pili watakubatiza majina mengi bila kusahau hayo ndiyo yalikuwa maisha ya Yesu
mkuu imani imefunga akili yako unashindwa kupambanua hekima,maarifa na ufahamu dhidi ya upumbavu. MUNGU ni upendo anapenda watu, jambo la kushangaza wanaompenda MUNGU wanadharau upendo dhidi wale ambao MUNGU anawapenda halafu hao wanajiita wafiasi wa MUNGU "nonsense"Nikirudi kwako mleta mada, uislamu umetoa muongozo wa kuwapenda watu na kuwachukia wengine vilevile, ama wasiokuwa waislamu sisi hatujakatazwa kuamiliana nao muda wa kuwa hawatufanyii uadui kwenye dini yetu wala hawatupigi vita na kututoa kwenye nyumba zetu.
Ama kwa asili ni kweli tunawachukia kwasababu nyinyi mmemkufuru mola wenu aliewaumba na muongozo aliowateremeshia kutoka kwake kwa huruma yake na mapenzi juu yenu.
Lakini chuki hii ni ibada hivyo ina vidhibiti na masharti yake na kiwango pia kinatofautiana na ndio maana mtume swala na salaam ziwe juu yake aliamiliana na wasiokuwa waislamu na aliandikiana nao mikataba, ama wale waliofanya chuki na kumpiga vita aliwapiga vita vilevile.
Lighton