Fikra finyu ni kuamini kwamba utakutana na nyoka kwenye kaburi lako,
Kwamba ukitembea unaswing kwenye dunia basi utaenda kuulizwa siku ya hukumu,
Fikra finyu ni kuamini kwamba mchawi au shetani ndio anakufanya usifanikiwe kwenye kazi, masomo yako na n.k.
Fikra finyu ni kuamini kwamba kumua binadamu mwenzako eti kwa sababu anamkufuru Mungu basi ni pasipoti ya kwenda peponi.
Labda uniambie ni wapi nimeonyasha fikra finyu...? Ili tujadili.
Nakukaribisha kwa mjadala..
Sent using
Jamii Forums mobile app