Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,956
- 11,514
Tumekuwa wepesi wa kusahau au kijisahaulisha au kujifanya hatuoni. Wakati wa Mkapa mbona safu yote 100% ya juuu ilikuwa ni Wakristo?! watu hawakusema au dini ni Uislamu tu labda tukubaliane hapo kwanza.
Tuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.
hakuna jibu sahihi>Humu jamboforums waislamu ni wangapi na wakristo ni wangapi? Na wapagani ni wa ngapi?
Humu ndani watu wanaangalia upepo.... Kuna baadhi hawakawii kukana dini zao.....inategemea tu nini kimesemwahakuna jibu sahihi>
Who cares if 75% of leadership belongs to Masjid? the question is not their religion but their organizational skills, efficiency, capability to lead and standing tall to deliver.
Dini ni hisia and as long as people continue to feel inferior, they will always be inferior in their minds and actions.
Wanaolalamika hata mkiwapa viti vyote vya Bunge kamwe hawataweza kuwa na maendeleo bali ni kubadilisha mbinu za kisisasa na kutumia udini badala ya kuleta maendeleo ya kweli kuondoa Ujinga, Umasikini na Maradhi!
Do not worry, let them be 100%

Sio ajabu waislam kuwa 75% kwasababu wao ndio majority hapa nchini (CIA Data), kinachoshangaza ni kwanini waislam ni minority sehemu nyingine za kazi? elhali wao ndio wengi nchini?
Sipendi udini, tukitaka uwiyano nilazima waislam wajaziwe sehemu ambazo wao niwachahce.
Asanteni.
.....kinachoshangaza ni kwanini waislam ni minority sehemu nyingine za kazi? elhali wao ndio wengi nchini?......
Sipendi udini, tukitaka uwiyano nilazima waislam wajaziwe sehemu ambazo wao niwachahce.