Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Pole sana Bull.

Hivi unaelewa ulicho andika? Kwahiyo unanimbia kuwa CCM ilianzishwa na Waislam na ni haki yao kuwa chama cha kidini kama kilivyo hivi sasa!!?? Kwa usemi mwingine ni-kuwa, unakiri kuwa CCM ni chama cha Uislamu, ndio maana viongozi wote wa juu ni Waislam.

Ndio maana nilisema Uislam ni dini ya chuki na wewe Bull teyari umesha anza kuonyesha chuki na udini ulio kithiri ndani ya CCM.

Narudia tena, hakuna hata ayat moja kwenye Koran yako ya Jibril inayosema kuwa Mpende Myahudi na Mkristo adui zako tofauti na jinsi BIBLIA Neno la Mungu inavyo sema kuwa wasameheni maadui zenu saba mara sabini na waombeeni mazuri.

Waislamu mpo wachahe kwenye Sekta nyingi kwasababu mmeicha Formal Education na kung'ang'ania Mad-rasa ambayo inawaharibu akili. Ushaidi zaidi, angalia Shule zenu mlizo anzisha, Zooote zinaongoza kwa kuwapa vijana SIFURIII wafikapo Form Four, na hivyo kulazimika kurudi kwenye ile ilmu yenu ya Allah Kiumbe, mad-rasa.

Sasa, CCM mmeamua kumtumia Shehe Yahaya Whosain ili kuendeleza UDINI ulio kithiri ndani ya chama kwa kutishia kifo kwa yeyote yule atakaye mpinga Rais Kikwete. Huu ni UDINI ambao sijawahi kuusikia kwenye nchi yeyote ile zaidi ya Tanzania. lol.

Kama chama kinaendeshwa na misingi ya kidini unategemea maendeleo gani katika nchi? Badala ya kuweka watu wenye uwezo wanaweka watu kwa sababu ni wa dini yao! Cha ajabu ni kwamba hata uozo ufanyike vipi katika nchi hii hakuna atakaewachukulia hatua mwenzake kwa sababu allah kashawakataza waisilamu kutosemeana maovu yao, ndio maanda utaona kesi za ufisadi zinafukiwafukiwa na hakuna anaechukua hatua.

Ndio maana unaona hakuna anaeandamana ingawa kuna uozo mwingi unaendelea, Lakini angekua raisi mkristo ungesikia maandamano yasiyoisha
 
Tafadhali achana na kuchanganya dini na siasa. Wewe umeiona CCM inaendeshwa Kiislamu au? Kila chama kina katiba yake na kinaongozwa na kusimamiwa na Msajili wa vyama vingi sasa wewe unaleta chokochoko gani? Naamini wewe ni Muislamu unayetaka kuonyesha kuwa wakristo wanalalamikia jambo hilo kwa sababu mkristo mwenye akili timamu hawezi kulalamikia jambo kama hilo kama hajaona dosari yoyote ambayo inaweza ikaumiza uhuru wake. Mimi kama Mkristu siungi mkono hoja hiyo kabisa.
 
Navyojua mimi udini wa chama hautokani na idadi ya viongozi wa dini fulani kwenye chama hicho, bali unatokana na sera ya chama husika kutamka kuwa ni cha kidini. Hata kama 100% ya viongozi na wanachama wa CCM wakiwa waislam, hakitakuwa cha kidini wala hakutakuwa na udini hadi pale chama hicho kitakapokuwa na sera rasmi dhidi ya watu wa dini nyingine.

Viongozi manazi wa ujerumani ya Hitler wote walikuwa wakristo (angalao kwa majina kama mlivyohukumu CCM hapa), lakini mambo yaliyofanywa na manazi hao kila mkristo na hata asiye mkristo anaelewa yalikuwa kinyume kabisa na mafundisho ya ukristo. Na wala manazi hawakupendelea wakristo, yaliwasotesha vibaya!

Wakati wa utawala wa Mkapa akiwa mwenyekiti wa CCM, Makamu wake alikuwa Malecela na Katibu Mkuu Mangula, wote wakristo, je huo pia ulikuwa udini?

Mnakosea kipimo ninyi mlioleta madai haya.
 
Kama chama kinaendeshwa na misingi ya kidini unategemea maendeleo gani katika nchi? Badala ya kuweka watu wenye uwezo wanaweka watu kwa sababu ni wa dini yao! Cha ajabu ni kwamba hata uozo ufanyike vipi katika nchi hii hakuna atakaewachukulia hatua mwenzake kwa sababu allah kashawakataza waisilamu kutosemeana maovu yao, ndio maanda utaona kesi za ufisadi zinafukiwafukiwa na hakuna anaechukua hatua.

Ndio maana unaona hakuna anaeandamana ingawa kuna uozo mwingi unaendelea, Lakini angekua raisi mkristo ungesikia maandamano yasiyoisha

Moja ya sera/ahadi za CCM wakati wa uchaguzi ulio pita ilikuwa ni kuwapa mahakama ya kadhi. Baada ya Wakristo kuonyesha na kuwapa ngumu, jamaa wamekaa kimya. Kwanini CCM iwape ahadi ya kadhi wakati wakijuwa kuwa Tanzania si Nchi ya kidini? Hivi mahakama zetu tulizo nazo hazifai au hakuna haki huko?
 
Kwanini usirudi kanisani ukatolewa mapepo? Walio kuja na kauli mbiu za uchaguzi ni CCM iliyo kuwa inaongozwa na walokole, Mkapa, Malecela, Sumae, na wakiriso wengine waliokua wanaiongoza CCM walioiacha na ufisadi, Hao ndio walio ahidi kuleta mahakama ya kadhi kama ccm ikishinda.

CCM ilianzishwa na waislam ambao ndio majority hapa nchini (CIA) si chama cha dini, bali ni chama cha siasa katiba yake ni secular. kuwepo wengi waislam utakuwa mjinga kuamini kuwa ni chama cha kiislam,

je CHADEMA ni chama cha kikiristo? UN ni christian club?

tatizo nyie wenzatu hata mkisoma bado hamuelewe. Nyerere tumemuachia nchi miaka23 kaiuwa mpaka alipokuja Alhaji Mwinyi akai-rescue na mkapa akafuata foundation ya Mwinyi si ya Nyerere. na Bado mafisadi wakubwa na wlokole wenzako na tutawakamata hamana ujanja¬¬¬
 
Tafadhali jibu kwa kutumia ushaidi na sio blah blah

CCM ilianzishwa na waislam ambao ndio majority hapa nchini (CIA) si chama cha dini, bali ni chama cha siasa katiba yake ni secular. kuwepo wengi waislam utakuwa mjinga kuamini kuwa ni chama cha kiislam,

Who cares about CIA data. They are bogus.

je CHADEMA ni chama cha kikiristo? UN ni christian club?

Unethical question.

tatizo nyie wenzatu hata mkisoma bado hamuelewe. Nyerere tumemuachia nchi miaka23 kaiuwa mpaka alipokuja Alhaji Mwinyi akai-rescue na mkapa akafuata foundation ya Mwinyi si ya Nyerere. na Bado mafisadi wakubwa na wlokole wenzako na tutawakamata hamana ujanja¬¬¬

Tubakie kwenye mada na punguza jazba.

Ni nani hao walio mwachia Dr. Nyerere nchi? Kumbuka usemi wako huu unaendelea kukiri kuwa sasa nchi ipo chini ya Waislamu na CCM ni chama cha Kiislamu[kidini].
 
Mwaka mpya na vituko vipya... Kaaaazii kweli kweli!
Kusoma si kufuta ujinga peke yake... bali ni kuelimika pia...!
 
tatizo ni kwamba Waislamu ni wajanja sana mara anapoingia raisi mwenye dini hiyo basi hujisahau kabisa kushughulikia maswala ya nchi na kuendekeza udini, usishangae kuona hata jk uteuzi wa viongi wengi wasaidzi wake wengi ni waislamu hadi 100% usalama walio karibu naye ni wapemba yaani waislamu hadi waarabu wamo ndani
 
Ulokole kweli kichekesho!!!!!! hoja za kijingajingaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!! This Mada is now closed.
 
tatizo ni kwamba Waislamu ni wajanja sana mara anapoingia raisi mwenye dini hiyo basi hujisahau kabisa kushughulikia maswala ya nchi na kuendekeza udini, usishangae kuona hata jk uteuzi wa viongi wengi wasaidzi wake wengi ni waislamu hadi 100% usalama walio karibu naye ni wapemba yaani waislamu hadi waarabu wamo ndani

Yaap, ndio udini huo. lol
 
ndugu yangu nakuunga mkono mia kwa mia ila kwa kujaza nyama kidogo inashangaza na kutia huzuni kwamba kuna mtanzania anaweza kuwa na wazo la udini ndani ya nchi yetu leo hii, he/she must be chizi naomba mjadala huu ikiwezekana ufike mwisho kwani ni ujinga mtupu. huyuu jamaa vipi hasikilizi hata kauli za mkuu, baba wa taifa katika moja ya hutuba zake aliwahi kumlaani mtu anae ufikiria udini na ukabila ndani ya nchi yetu
 
Sasa kwanini Waislamu mnataka mahakama ya kadhi na oic kama ninyi si wadini?
 
na wale wanaoabudu mito, miti,milima, mizimu nani anawawakilisha?????????kwenye hili???
 
Hivi jamii intell haina issue nyingine ya kujadili? Kila nikigeuza nakuta ujinga uleule nimepita kama wiki sifungu, leo nimeona labda niangalie wadau wanajipya ama? Kumbe ni yaleyale hakuna jipya la kujenga bali kubomoa tu. JF Please delete this thread.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom