Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
nachokionaga mimi tu kwa wa TZ wengi ngoja niseme sasa ukweli....sehem ambayo yupo Muislam ndo utaona kuna maneno sanaaa ya udini au uteuzi wa JK akiwa Muislam utaskia kuna udini hii ni mbegu mbaya sana tunayoipanda.
 
Tuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.
 
Tuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.
shetani ni wewe unaetaka kuleta uovu nchini, maneno yako tu yanaonesha wewe ni mpumbavu flani kama basterd hivi ambae huna muelekeo
ngurue tasa wewe pumbav
yani waweza kutoa ushauri kama huo kwa wa TZ?
 
Wana JF mimi sioni hoja ya msingi hapa ya kuingiza issue za udini katika chama. Mjumbe akichaguliwa kidemokrasia usiangalie udini wake kwani dini inahusu nini na mambo ya siasa? Mjumbe aliyechaguliwa ni mjumbe tu tuachane na kutafuta kabila lake wala dini yake mambo haya hayatatufikisha popote. Tusipandikize mbegu za chuki!!!
 
Tuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.

inawezekana husomi habari za dunia wala kusikiliza redio. ila ninaimani kwa akili yako invyoonekana unaangalia tv. Ushauri: badala ya kuangalia vipindi kama mizingwe na mapishi tu, angalia na taarifa za habari ujuwe hiko unachoshabikia kitaleta nini kwa baba , mama na mke/mume wako.
 
Tuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.

Naamini kabisa mkristo mwenye imani yake ya dini hawezi tamka maneno kama haya ... Wewe ndio shetani mwenyewe sasa!!Dah Tanzania ina Raia wa ajabu sana
Tanzania huwa hatuangalii dini sisi ... ingekuwa hivyo enzi za mwalimu na sokoine watu wangelalalamika sana eti.Hebu rudisha busara kidogo (kama uliwahi kuwa nayo)
 
Watu wanaoleta malumbano ya kidini inaonyesha mdidimio wao wa kiakili. it doen't matter kiongozi kuwa muislamu ama mkristo, tunachotaka ni kiongozi bora na sio mkristo bora wala muislam bora na ndiyo maana hatuchagui askofu au shekhe, tunachangua viongozi. Leteni mada zenye tija mtandaoni na acheni hizi fikra finyu. Lete changamoto yenye kuijenga nchi tuijadili na si kuanza kusema waislamu wangapi wakristo wangapi wahindu wangapi, n.k. Hoja yoyote ya kidini ni mufilisi na anayeleta naye ni mufilisi...
 
Tuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.

Hata mtoto mdogo ukimuuliza shetani ni nani atakujibu kwani kauli yako tu inaonyesha Ushetani wako na wote wenye mawazo kama yako.
 

Haya ni mawazo yaliyopitwa na wakati. Hiyo sababu imepitwa na wakati kama kulitumika ujanja huo ili kuwapatia nafasi nyingi za uongozi na sehemu nyeti sasa tunaelekea kuuumaliza siku si nyingi
 

Kwahiyo wakati wa mkapa kilikuwa chama cha WAKRISTOOO!!!!
 

Wakati wa Mkapa je? au wakiwa waislamu tu inakuwa udini lakini wakiwa wakristo ni haki yao?! Na ufisadi ulianzia wakati huo. List: MKAPA, SUMAE, MANGULA, MALECHELA, JACKSON MSOME, MSEKWA. TAFAKARI kabla ya kusema. SIKU HIZI 'HATUDANGANYIKI'
 

Tumekuwa wepesi wa kusahau au kijisahaulisha au kujifanya hatuoni. Wakati wa Mkapa mbona safu yote 100% ya juuu ilikuwa ni Wakristo?! watu hawakusema au dini ni Uislamu tu labda tukubaliane hapo kwanza.
 
kweli kabis kuna mambo mengi sana ya kuanga sasa sio kuanza mambo ya kidini hapa kila mtu ana dini yake na aheshimu dini ya mwenzake sio masula ya kuitana mashetani na nguruwe sisi ni wote wa tz
BR
 
Hata mtoto mdogo ukimuuliza shetani ni nani atakujibu kwani kauli yako tu inaonyesha Ushetani wako na wote wenye mawazo kama yako.
Jamani ngoja nimtetee huyu mtu...yeye si shetani hata kidogo...tunapomwita shetani tunamnyima fursa ya kutoa maoni yake...he is entitled to his opinions...hivi ndivo anavoona yeye, njia ya kuondoa udini ni wakiriso wote wamchague mkiristo mwenzake popote alipo. hivi ndivo walivo wakiristo wengi wa nchi hii hata wale ambao hawasemi...

Historia inaonesha kuwa Nyerere akiwa mkiristo pekee alipewa fursa ya kushirikiana na waisilamu wengi sana...wao hawakutanguliza udini bali maslahi ya taifa ya kudai uhuru...lakini hawa wa sasa ukiristo kwanza halafu utaifa baadaye...huyu bila shaka anataka kiongozi atakayechaguliwa awe anawapendelea wakiristo wenziwe...

PUNDE TUTAWAJUA WANAMAPINDUZI WA KWELI NA WADINI
 
maisha ya kulalamika yamesababisha watu wengi wasifanye sehemu yao kwa ajili ya kuondoa umaskini.wengi tunapoteza muda kwa kuangalia mambo yasioleta maendeleo.
wakristu wengi hawapendi kugombea uongozi sasa unategemea inakuwaje? hata kama mfumo wa uongozi unaubinafsi sisi tuo tunaweza kubadilisha. muhimu tusiukubali udini katika mambo yasiyo na msingi. lakini tubaki na dini zetu tuzieshimu na tusizitumie vinginevyo. tuungane tuondoe umaskini bila kuangalia wangapi wako wengi.tusiwe wanafki wakristo tumekuwa kwenye uongozi kwa muda mrefu ni muda wetu wa kwenda atua nyingine huku wengine wakiingia kwenye utawala
 
aha!!!! kumbe wanaita wenzao vyma vya kifamilia na kidini je wao? tuwaiteje? Naomba jibu
 
dah!!ni vipi jamani mambo ya dini tena!!Tz sio nchi ya ubaguzi, tuachane na wendawazimu huu!!
bro/sis uliyeandika hii thread, nenda ka-regroup kidogo!! kwani wakiwa waislamu kuna nini kama wanatenda kazi sawa na jinsi wangevyotendo wakristo!mi mkristo ila hata sina muda wa kupoteza kufikiria udini kwenye jamii!!
 
Tumekuwa wepesi wa kusahau au kijisahaulisha au kujifanya hatuoni. Wakati wa Mkapa mbona safu yote 100% ya juuu ilikuwa ni Wakristo?! watu hawakusema au dini ni Uislamu tu labda tukubaliane hapo kwanza.

wakati wa mkapa pia ccm kilikuwa chama chenye waislam wengi kwenye safu yake ya juu ya uongozi - kamati kuu na halmashauri kuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…