Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Yaani unajitekenya halafu unacheka mwenyewe! Umegubikwa na udini hata ukibadili majina namna gani tunakujua tu....

Mnanijua na nani?

Kumbuka kuwa sio kila matawi ya kijani ni mboga za majani .... mengine ni bangi!!!!
 

Bull,

Hata kama hiyo sensa kwa mujibu wa CIA ikichukuliwa kuwa ni kweli (sijui hata ilichukuliwa vipi), basi waislam na wenyeji wanalingana kwa idadi ya watu (Ukiweka sampling error na fact kuwa population ya Zanzibar sio kubwa sana). Au wewe waonaje?
 
Kata yetu kule kijijini kuna waislamu wasozidi 10 kata jirani vile vile, mi naishi mjini lakini hapa nilipo ratio ni wakristo 10 kwa mwislamu mmoja, je kwa kufanya sampling si tunaweza kujua ukweli hata kama sensa ya serikali haikutupa uwazi?



Hongera mchukia ufisadi, hii sample size uliyo kuja nayo 40m population ukilinganisha na kata yako jirani na unapokata kinywaji uu nao ni ufisadi

Bora ni stick na sensa ya CIA
 
aisee nimekerwa sifungui TENA jamii forum kwa kuwa mnajadili mambo ya KIPUUZI na ambayo HAYAPO Tanzania, mnataka kuleta vita vya kidini?kwaherini na mtabaki na ujinga wenu
 
aisee nimekerwa sifungui TENA jamii forum kwa kuwa mnajadili mambo ya KIPUUZI na ambayo HAYAPO Tanzania, mnataka kuleta vita vya kidini?kwaherini na mtabaki na ujinga wenu

Kinga Maker AP,

Taratibu mkuu... chonde chonde usikimbie upuuzi na ujinga. Ndio kwanza tu umejiunga na JF (June 2009). Jamvi linahitaji hekima zako.
 
Kinga Maker AP,

Taratibu mkuu... chonde chonde usikimbie upuuzi na ujinga. Ndio kwanza tu umejiunga na JF (June 2009). Jamvi linahitaji hekima zako.

Huyu bwana kasema anaondoka ila ukiangalia chini ya thread bado yupo which means bado ana angalia thread. watu hatukimbii matatizo tunaya solve lakini mwenzetu sijui vipi. Mkuu King kama umeona kuna kitu JF ni kibaya toa maoni kurekebisha laa sivyo JF ilikuwepo kabla ya wewe kujiunga na itaendelea kuwepo ukiondoka.
 

Tena mtu mwenyewe ndio ana post 2 tu. Hajaona moto. Mwache atakimbia sasa hivi maana dini yake imeguswa. Hap uwe tayari kumeza shubiri King Maker AP
 
As long hao waislam wangeweza ku-deliver,I dont care much in dini but what I do care ni tabia ya CCM ya Makamba kuwapandikiza watz waichukie CUF kwa kuita chama cha kidini wakisahau kuwa hata wao wanamuelekea huohuo.Does him(Makamba }kasahau kuwa JK,yeye,Shein,karume wanaounda top cream ya CCM ni waislam?
 
Mnanijua na nani?

Kumbuka kuwa sio kila matawi ya kijani ni mboga za majani .... mengine ni bangi!!!!

Jibaraguze utakavyo ukweli unabaki palem pale Mwafrika wa kike = Mgaya = Mwafrika = Mdini
 
Sensa ya 2002 inaonyesha dini na idadi ya asilimia nendeni mukaangalie
 
Koba uko sahihi cha maana hapo ni output, bila kujali dini tunachotaka ni what a person can deliver
 

MGAYA,
Siasa ikichanganywa na dini, ni sawa na mafuta yakichanganywa na maji.
 
Acheni mambo ya dini, hayatufikishi popote kwa dunia ya leo ya utandawizi, hata wote wawe waislam au wakristo it doesnt matter, kubwa kuliko yote ni kiongozi mwenye uzalendo wa kweli wa kulitumikia taifa na kuwasaidia watanzania ktk umaskini unaonuka. Wakiwa mchanganyiko halafu mafisadi itatusaidia nini?
 

kheri wewe mwenye kujua mwelekeo wako na kutoa hukumu hizo, kuna haja gani ya kuwa mwanadini wakati hufuati mafundisho ya dini,

mfano mdogo tu angalia thread zinazogusa dini hapa JF, tena ndio hoja za wale ambao kidooogo wameelimika wanajua hata kubonyeza keyboard, utajua mwelekeo ukoje

Aka bora niwe zangu neutral nakutimiza wajibu wangu wa kuwa raia mwema, kudumisha upendo na amani, kupingana na uzinzi na uasherati, kuwahurumia viumbe vyote vyenye uhai, kufanya kazi kwa juhudi, nk. ili kuendelea tunahitaji siasa safi, uongozi bora na na na
 
Tafadhali usiweke maneno yako ndani ya kinywa changu,, huko sipo...


Hayo maneno niliyo ya bold hapo juu aliandika nani? uliandika ukiwa umelewa?
Kumbuka hapa jukwaani uko kati ya great thinkers. Tunajua kila unachoandika. Tunachambua kila unachopumua😀
 
MGAYA,
Siasa ikichanganywa na dini, ni sawa na mafuta yakichanganywa na maji.

Kivipi? Kitu gani ambacho dini inapigania ambacho kina-contradict na kile ambacho siasa inapigania. Kama kuna ujinga ambao tumelishwa miaka mingi katika siasa za Tanzania ni hili la kusema dini na siasa hazichanganyika.These are both ways of life; they are complementary rather than contradictory! Amkeni, mmelishwa upupu vya kutosha!
 
Sielewi sana uislam lakini naona tofauti ya wazi kiutendaji kati ya viongozi wa kiserikali waislam toka bara na visiwani, mimi napenda waliotoka visiwani. Pia naamini Tanzania itakua na amani ya muda mrefu endapo chama chochote tawala kitakua na waislam wengi ngazi za juu kuliko wakristo. Hivyo basi uongozi wa CCM ngazi ya juu kuwa na waislam wengi naona kama ni hali halisi tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…