Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
mkuu nilitaka kukumbusha tu, mijadala kama hii huwa ni sensitive na usiwaingize wasiokuwemo, vinginevyo unawachokoza, ungezungumzia hao ccm na cuf bila kuhusisha nyumba za ibada, ww ni mkiristo mimi sipo upande wowote ila kama tunataka kujadili kwa manufaa ya nchi yetu usiwachokoze wanadini waache wapambane katika viwanja vyao!
kiongozi ni uadilifu wa mtu binafsi bila kuangalia ni dini gani, wapo viongozi wazuri waislam, wapo viongozi wabaya wakristo hapo utasemaje?

mimi nina ndugu na marafiki waislam na pombe kama kawaida, nina ndugu zangu walokole uzinifu umewatawala, lakini hayo ni too personal ninaaamini dini yao haiwafundishi hivyo.

tunahitaji viongozi waadilifu na wachapa kazi bila kuangalia kabila wala dini yao, tuliishakosea toka nyuma, faida ni kuwa na viongozi mafisadi hawana wito na kazi yao, yatupasa kubadilika

Swadakta!!! Afterall Waislam ni majority hapa nchini, kama kuna dalili ya ubaguzi CCM, Muslims aginst Christian hili wote tutalipinga kwa nguvu zote, lakini kama imehapen kua wengi sio tatizo kwa sababu waislam ni majority anyway!!!
 
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya ccm kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa ccm.
Huu ni mtizamo wa kupotosha watu. CCM inachosema kuwe na uwiano mzuri (sio uwakilishi sawa) kati ya wajumbe kutoka Zanzibar na Wa- Bara. Hebu kuwa na tabia ya uchambuzi. Katika hicho Chama unaweza kuisabu ukaona waislamu ni wengi katika vikao CC au Halmashauri Kuu. Hii ni kwa sababu tu kule Zenj wote - karibu ni Waislamu. sasa ukitaka kuweka uwiano na upate wajumbe wa kutosha kutoka Zenj - si ndio waislamu wanajaa. Pamoja na yote hayo acha hii mbiu ya Ukristo na Uislamu haitengenezi kitu katika jamii yetu. Tuache tubakie hapa tulipo kuhusu masuala ya dini.
 
Swadakta!!! Afterall Waislam ni majority hapa nchini, kama kuna dalili ya ubaguzi CCM, Muslims aginst Christian hili wote tutalipinga kwa nguvu zote, lakini kama imehapen kua wengi sio tatizo kwa sababu waislam ni majority anyway!!!
...Mpummbavu wewe!!! labda kama wewe ndio ulisimamia sensa iliyokupa hizi takwimu.
 
Kwa msingi huu, kama wanaccm hapa walikiita chama cha cuf cha kidini kwa sababu ya viongozi wake. Nadhani sasa inabidi ccm pia kiitwe chama cha waislam.

Kuanzia sasa kwa mtizamo wangu na imani yangu ya jino kwa jino dhidi ya ccm kwa kuiita cuf chama cha kidini. Kuanzia leo ccm inabadilishiwa jina hapa kutoka CCM kwenda CCW.

CCW inamaanisha Chama Cha Waislam

Kwi kwi kwi kwi,

kuna mengi yameandikwa hapa ya kuchekecha na kuhuzunisha ila hili la kubadili CCM kuwa CCW limenichekesha sana. Wewe Mgaya, umevuta nini kabla ya kuandika hayo hapo juu?

Ama kweli siasa mchezo mchafu.
 
Haya mimatusi yanatoka wapi?? Hujafunzwa kwenu ?? Hili nijanvi la mjadala sio jazba
..kama mm sijafunzwa wewe uliyefunzwa usingeandika upuuzi huo ulioandika!! kuonyesha kufunzwa kwako!!kufunzwa kwako kumekufanya mjinga zaidi!!
 
..kama mm sijafunzwa wewe uliyefunzwa usingeandika upuuzi huo ulioandika!! kuonyesha kufunzwa kwako!!kufunzwa kwako kumekufanya mjinga zaidi!!

Niright yangu kuandika nionacho ona nisawa, kama ukubakiani na hoja zangu wewe lete hoja mbadala inayosema wakirso ni majoriy hapa nchini lakini sio matusi, otherwise matusi yako unayoandika wewe ndo utaonekana mpuuzi

Hatutaki matuzi humu we nenda kapige porojo mitaani kama huna hoja. Malhun we.
 
Gamba la nyoka nafikiri hujaelewa aliyosema Rev Kishoka,sijaona any insults kwa waislam hapo,seems he care less kama atakayechaguliwa ni muislam au mkristo as long wata deliver!

Nafikiri hii ndiyo mantiki, hoja ya awali ni 75% musilim. kwa hiyo mantiki ya Rev ni kuwa hata wangekuwa waislamu wote au wpagani au wakirsto ili mradi wanachapa kazi kwa maendeleo ya taifa letu hakuna shida au hatajali.
 
..kama mm sijafunzwa wewe uliyefunzwa usingeandika upuuzi huo ulioandika!! kuonyesha kufunzwa kwako!!kufunzwa kwako kumekufanya mjinga zaidi!!
Kwani Mkuu hatuwezi kujadili hoja bila kutumia lugha za kistaarabu plz be gentleman.
 
Niright yangu kuandika nionacho ona nisawa, kama ukubakiani na hoja zangu wewe lete hoja mbadala inayosema wakirso ni majoriy hapa nchini lakini sio matusi, otherwise matusi yako unayoandika wewe ndo utaonekana mpuuzi

Hatutaki matuzi humu we nenda kapige porojo mitaani kama huna hoja. Malhun we.

Malhun tena????!!!!!
 
hebu nipishe mie, sitaki kujadili haya mambo haya after all shemeji zangu, majirani zangu, marafiki zangu wote ni waislamu! tunapiga kitimoto pamoja na maisha yanaendelea wenye dini wako mashariki ya kati na Roma wengine tumeparamia tu ndio maana unakuta akina Hamis hafanyi swala tano wala hajui kusoma quran, utakuta akina John haendi kanisani mpaka x-mass! then tupiganie nini??

ukitaka dini kaa chini mwache baba yako na mama yako tafuta ukweli mwenyewe mimi nilifanya hiyo assignment na kukuta ukweli uko ndani ya biblia wala sio makanisani! kazi kwako![/QUOTE]

Laiti ningekuwa nipo tayari hii ingekuwa moto yangu wakati wakugombea uchaguzi nadhani 2010 ntakuwa diwani na hii ndo sera yangu kama mgombea binafsi atapewa nafasi. Kwenye acha baba na mama yako mimi nitaongezea muulize Mungu mwenyewe maana yeye ni reachable hahitaji hata vitabu au watu kujulikana mbona simple tu ukiamua kumuuliza anajibu yeye mwenyewe. maana dini zote zina sema Mungu yupo na ana macho na ana masikio na anaongea so He is with everybody why do we bother to ask others? Ku avoid kuwa mi-sled by those who have their hidden agenda ndani ya kichaka cha dini tena walizoletewa na watu waliokuwa na agenda zao then why cant one ask from the original source if at all you believe the existence of that source?
 
....hakuna sensa ....inayouliza dini ya mtu tanzania...kwa hiyo figure inayopendelea dini moja wapo ni unsignificant...

ni wazi kuwa waislamu wengi wapo mijini...na wakristo wengi wapo mashambani....zaidi ya hapo waislamu wengi walitapakaa kwenye Traders route[slave route].....kuuanzia kigoma =bagamoyo hadi zanzibar...

nadhani ni upotezaji wa muda kubishana nani wapo wengi......tuongee mambo mengine,,,,,...
 
Ukitaka kujua great thinker wa ukweli JF inabidi utembelee thread kama hii..lol.

Watu usiwadhania kabisa wanaweka busara mfukoni na kuanza kurusha matusi na kejeli ..sasa sijui ni dini gani hii ambayo inawafuasi washenzi na wasistaarabika kuliko hata wapagani..arrrghh.

MODS mnaweza mkaepusha mengi kwa kung'oa mabandiko yote yasiyo na tija kwa taifa.
 
kuwa muislamu au mkristu ni kutawaliwa kimawazo na waarabu na wakristu respectively

kwani babu wa babu wa babu zenu walikuwa dini gani.....

eti mtu asipokuwa na dini kafiri/mpagani, acheni utumwa wa imani
 
mkuu nilitaka kukumbusha tu, mijadala kama hii huwa ni sensitive na usiwaingize wasiokuwemo, vinginevyo unawachokoza, ungezungumzia hao ccm na cuf bila kuhusisha nyumba za ibada, ww ni mkiristo mimi sipo upande wowote ila kama tunataka kujadili kwa manufaa ya nchi yetu usiwachokoze wanadini waache wapambane katika viwanja vyao!
kiongozi ni uadilifu wa mtu binafsi bila kuangalia ni dini gani, wapo viongozi wazuri waislam, wapo viongozi wabaya wakristo hapo utasemaje?

mimi nina ndugu na marafiki waislam na pombe kama kawaida, nina ndugu zangu walokole uzinifu umewatawala, lakini hayo ni too personal ninaaamini dini yao haiwafundishi hivyo.

tunahitaji viongozi waadilifu na wachapa kazi bila kuangalia kabila wala dini yao, tuliishakosea toka nyuma, faida ni kuwa na viongozi mafisadi hawana wito na kazi yao, yatupasa kubadilika

Point noted from bibi kizee: Waislamu ruksa kuzini na wakristo haramu pombe😀
 
Kwi kwi kwi kwi,

kuna mengi yameandikwa hapa ya kuchekecha na kuhuzunisha ila hili la kubadili CCM kuwa CCW limenichekesha sana. Wewe Mgaya, umevuta nini kabla ya kuandika hayo hapo juu?

Ama kweli siasa mchezo mchafu.

Yaani unajitekenya halafu unacheka mwenyewe! Umegubikwa na udini hata ukibadili majina namna gani tunakujua tu....

Mwafrika wa kike = Mgaya (mwanzilishi wa mada ) = Mwafrika
 
Wale ndugu zangu mimi wanaojifanya hawajali nini kinatokea katika vyama including udini wakidani tu ili mradi watakuja hapa na bla bla bla ......... wasome signature yangu wataelewa nini ki mbele yao:
The most prominent place in hell is reserved for those who are neutral on the great issues of life.- Billy Graham
 
....hakuna sensa ....inayouliza dini ya mtu tanzania...kwa hiyo figure inayopendelea dini moja wapo ni unsignificant...

ni wazi kuwa waislamu wengi wapo mijini...na wakristo wengi wapo mashambani....zaidi ya hapo waislamu wengi walitapakaa kwenye Traders route[slave route].....kuuanzia kigoma =bagamoyo hadi zanzibar...

nadhani ni upotezaji wa muda kubishana nani wapo wengi......tuongee mambo mengine,,,,,...

Hii ni Sensa iliyofanywa na CIA 2007

Religions
mainland - Muslim 35%,
indigenous beliefs 35%,
Christian 30%;
Zanzibar - more than 99% Muslim

sourse CIA facebook

Hii nifact sio kwamba unapoteza muda nivizuri kujifunza kituambacho ulikua hukijui, Kutokana na sensa iliyofanywa na CIA sishangai kwanini waislam niwengi CCM, CUF ninacho shangaa nikwanini niwachache CHADEMA na SERIKALINI ????

Serikali ya TZ kukataa kufanya sensa kujua wepi majority haimaanishi kua hakuna majority, labda wanasera za kuwanyima majority opportunities wanazo-deserve.
 
Kata yetu kule kijijini kuna waislamu wasozidi 10 kata jirani vile vile, mi naishi mjini lakini hapa nilipo ratio ni wakristo 10 kwa mwislamu mmoja, je kwa kufanya sampling si tunaweza kujua ukweli hata kama sensa ya serikali haikutupa uwazi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom