Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
Gamba La Nyoka nakupata.
Wengi, kama sio wote, wanaodai Kikwete mdini naona kama hawako coherent fulani hivi, kama wamechanganya madawa hivi, sijui kama umegundua.
Mmoja kasema Kikwete anapendelea Waislam, halafu hapo hapo akamchana Kikwete kwa ku replace cheo cha Nazir Mustafa Karamagi na William Ngeleje. Katoka Muislam kaingiza Mkristo! Huyo ndo mleta hoja huyo. Dopey! Halafu, listen to this, kwenye kichwa cha thread mawazo yake kwamba Kikwete ni mdini anayaita "tetesi"!
Kaja fuzzy act mwingine anasema kuna mtoto wa mkubwa alikuwa na matatizo ya ndoa Mama yake akaenda kumlilia Kikwete, Kikwete katika kutatua tatizo la kijana la ndoa akampa mtoto Ukuu wa Wilaya Kigoma! Imagine that! Halafu huyu act anasema inawezekana Kikwete anarekebisha kutowiana kwa nafasi za uongozi baina ya waislam na wakristo kulikojengeka miaka ya nyuma "ila sasa wapo wengi wanaoqualify." Kwa hiyo ina maana Kikwete anateua Waislam ambao wana qualify, sio? Yani incoherence tupu.
Kaja mwingine anasema "naacha yale yakwazayo... na kuamini kwamba JK ni mdini na mpenda urafiki." Sasa, topic nzima ya mleta mada ni dopey, haja substantiate hoja yake, yote yanakwaza, halafu mtu anakuja kusema anaacha yale yakwazayo ila anakubaliana na "ujumbe wake kwetu." Boloney.
Blowhard mmoja kadai kwamba ushahidi kuwa Kikwete ni mdini ni kwamba David Mattaka bado anapewa mashirika japo ni mbovu (I am assuming huyu David Mattaka ni mwislam). Lakini vipi kama Kikwete anavumilia wakurugenzi wabovu wote? Kwa maneno mengine, ni mpaka utakapoonyesha kwamba kuna mkurugenzi mbovu Mkristo ambaye Kikwete kam fire akamwacha Mattaka Muislam hii pointi inabaki kuwa ni bangi bangi tu.
Na huyu jaji Jundu, akaongeza huyu blowhard, ni ushahidi wa udini wa Kikwete. Lakini ukimuuliza jaji Jundu ana uzoefu wa muda gani hajui! Ukimuuliza ni kwa nini Kikwete amewapita majaji wengine wa Kiislam wenye uzoefu kupita Jundu, akamchagua Jundu hajui! Just blowhard blabber.
Nimefurahishwa sana na kitendo cha Rais wetu Hon. JMK kuhutubia viongozi wa Afrika kwa kutumia Lugha ya Kiswahili.
Thiss one of the crutial steps in building nationalism, self esteem and the core strength of our nation, the nation of Swahili speakers.
Take the same spirit to Geneva, Davos, New York, Beijing and all over the world.
God bless Tanzania.
I salute.
Tatizo la kuchagua kiongozi asiye na mwelekeo, uelewa , wala kujua nini la kufanya hata katika maisha yake mwenyewe ni hili tulionalo kwa rais kikwete.
Ndugu huyu anaonyesha udini bila soni, mbaguzi , mkumbatia wezi, hana maadili (hata ya ndoa tu) na zaidi hana uwezo wa kuongoza.
Ndiyo maana amekuwa akijaza waislamu kwenye uteuzi wa nafasi zote muhimu.
Mfano; jundu ni wakili ambaye hakuonyesha mafanikio yoyote kwenye fani kama wakili, leo jaji kiongozi. Mataka daudi ambaye hata tabia zake za kimemde zinafahamika kapewa kuua atcl wakati awali alipewa kuua bima. Sasa amemrudisha kuizika bima.
Huyu rais ni mzigo. Kwanini bado yupo?
Ngeleja anataka kuiba palepale ambapo lowassa na karamagi wameiba na bila aibu anatuona wajinga. Rais naye anaangalia.
Ingekuwa mtu anamwibia kimada kweli angekaa kimya hivi nchi akibakwa? Anakaa kimya kwa vile yeye haelewi. Anafikiri yeye ni mcheza filamu wakati yeye ni rais. Mungu wangu!!!!
Na zitto kabwe amekuwa mpumbavu. Kisha lipiwa yule!
Ni kwavile watanzania wajinga mno
Kuhani,
You'd make a damn good defense lawyer. I can imagine the prosecutors making sure they got their facts right when it is known the Honorable Kuhani is the defense lawyer in this case.
Kihiyo hakuvuliwa ubunge kwa sababu ya Uislamu wake, bali alifoji cheti cha taaluma. Ni kosa la jinai na alistahili aende jela.Nauliza swali kama Marehemu Ramadhani Kihiyo alivuliwa ubunge kwa kuwa na cheti tu kilichodaiwa kuwa ni feki, vipi Nchimbi,Kamala, Mary Nagu, Mahanga, Chegeni, Lukuvi, Diallo,Mathayo David ambao imethibitika wana PhD feki na digrii wanaendelea kushika nyadhifa hizo? kama wangekuwa waislam tungelala?ikiwa Kihiyo alikuwa na certificate tu dunia nzima iliambiwa,hawa wateule kwa vile ni watu wa kanisa wanamezewa.
.Mhh FNN,
udini ni issue kubwa na wengi waliodhani vivyo sivyo wameanza kuiogopa. Kuukataa udini ni sababu nyingine inayonifanya nimpe heshima Nyerere (RIP) zaidi na zaidi!
Kuhani,
Asalaam aleikum, Bwana asifiwe...Umemaliza!
Aleikum Salam Warahmatullah Taala Wabarakatuh. Alhamdulillah Rabil Allamin, Wasallatu Wasalam Ala Sayidina Muhammad, Salallahu Alaihi Wasalam.
Na mtu wa kwao, nabii wao mwenyewe, amesema: Watanzania ni waongo siku zote, hayawani wabaya, walafi, wavivu. Ushuhuda huu ni wa kweli. Kwa sababu hiyo wakemee kwa ukali ili wapate kuwa wazima katika imani, wasisikilize hadithi za Kifisadi. Waraka wa Paulo Mtume kwa Tito 1:12-14, adapted.
Waafrika na hasa watz na starehe hapo hatutoki ila kwa namna yoyote visababu havikosi.Hakuna sababu yoyote kwa nini Kawawa asifanyiwe Birthday Party Ikulu. Kawawa ni Simba wa Vita,alikuwa Waziri wa Ulinzi Tanzania ilipokuwa inapigana na Idi Amin.
Hii siyo njia ya CUF kupata umaarufu,kwa kusema pesa za Serikali zinapotea Kawawa akifanyiwa Party.
Nimewahi kusoma mahala sijui hapa JF au Blog nyingine kuwa watendaji wa kiislam ni waadilifu mfano DR.Shein,Marehemu DR.Omar Juma,DR.Salim Ahmed Salim,Mzee Kawawa.kulinganisha na watendaji wa kikristu kama Lowassa,SUMAYE,Mkapa,Yona etc.
Ndugu yangu Kandambili, hao unaowasema wamepata vyeti vyao toka On-line Courses ambazo hazitambuliwi. Misingi ya teuzi zao sio hizo, Ph.D zao. Bado wangeula tuu hata bila ya hizo shule famba zao. Siungi mkono jambo hilo lakini tofautisha na kufoji. Wewe unaweza anzisha Chuo Kikuu cha Kandambili on line, na ukatoa Ph.D zako kwa wiki moja mtu anapata. Watu wakaomba pesa wakalipa na wewe ukawapa hizo Ph.Ds jee wamefoji?. Kupata degree ni issue nyingine na kutambuliwa ni issue nyingine. By the way, what has this have to do with udini?Pasco.
Nchimbi lini alikwenda kusoma?Mrema alikwenda lini kusoma? Nagu lini alikwenda kusoma? hakuna chuo kikuu UK alichosoma Kamalla na Nchimbi ni utapeli. kama wanajua shahada walizonazo si sahihi kwanini waendelee kuzitumia?ni kosa la jinai kuwakilisha shahada za uongo.kama wao ni wakweli waseme hadharani kuwa walidanganywa.