Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Someone asked me how can the boards or authorities I proposed earlier make money.

The answer is that the boards or authorities can make money by first establishing institutes that shall not only offer training but research and consultancy as well to Tanzanians and foreigners in their areas of expertise.

Of course, they shall start first by offering their services to existing ministries and other local institutions but later expand to offer similar services beyond the borders.

That is to say the institutes will position themselves as both regional and international centres in training, research and consultancy.

Essentially, the staff in each authority will be both administrators and academics in their areas of operations. In this way, theory will continously be tested practically than the way things are now whereby we test a theory once and apply it most oftenly wrongly with disastrous results.

Issues that had to follow cumbersome bureaucratic procedures will now be dealt by teams of experts comprised of professors, doctors,lelctures and their students. Most of the research done here will be applied research with the target of practically solving national problems falling under the authorities.

Starting with our own institutions we should be able to build competency and expertise in the issues at hand and be in a position to attract regional and international clients in a few years time.

Of course, at the beginning these will be considered as cost centre.

The problem with Tanzanians is that they seem to act as if the whiteman, Japanese and Chinese have finnished researching and innovating things and that they cannot come up with any new thing of their own. This is wrong. This attitude must go. We have the intelligence and capacity not only to improve existing technology but surprisingly coming up with noveau ideas, prodcess and products that can help the world become a better place for all of us.
1. Institute of Governance and Public Service Management,
2. Institute of Regional Integration and International Cooperation,
3. Institute of Regional Administration and Local Government,
4. Institute of Parliamentary Science and Democratization Strategies,
5. Institute of Water, Irrigation and Environment studies,
6. Institute of Infrastructure Engineering, Science and Technological Studies,
7. Institute of information and Communication Technology,
8. Institute of Justice and Constitutional Affairs,
9. Institute of Culure, national language and vernacular development,
10. Institute of Sports Development and Entertainment,
11. Institute of Women Participation Studies,
12. Institute of Children care and development,
13. Institute of Care, Assistance and Protection for the Aged,
14. Institute of Local Commerce and Marketing,
15. Institute of Food Science and Security,
16. Institute of Energy and Fuel Studies,
17. Institute of Performance Management,
18. Institute of Human and Financial Resources studies,
19. Institute of Ombudsman, Arbitrators and Negotiators,

In their totality, these agencies or authorities or boards will go a long way in giving meat to the initial skeleton structure.

Of course each institute will not be established without prior strategic planning and formulation of requisite vision and mission.

As the institutes grow so will the boards, authorities or agencies too.

Over time Wealth creation ministries, service provision ministries and strategically placed ministries and agencies shall be facilitated in solving various problems confronting Tanzanians.

We shall have a working, in constant motion result-oriented, and easily appraised government machinery than has hitherto been the case.

When other developing countries will be knocking on our door asking for help in training their human resource in the same things we shall be already among the middle income countries and talking completely a different language.
 
Arawa, naamini hakika huyu bwana akiwa mshauri wa serikali nchi yetu inaweza kufika mbali sana.

Au kuna sera ya kutumiwa mawazo na fikira za watu wa aina fulani tu. Yaani mtoto wa mlalahoi sio rahisi kuwa mbunge, waziri, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya achilia mbali balozi nchi za nje?

Mimi ningelikuwa rais ningeliwachagua watu kama hawa na kuwapa nafasi ya AJENTI WA MAENDELEO UBALOZINI ili waweze kushuka na mawazo orijinoo lakini pia na yale yanayotokana na nchi wanakoishi, yaani, watazame uhalisia wa mambo na vijambo na kuona yepi yafaa kuigwa na yepi hayana maana na kisha kutushawishi kwa maandiko labda katika ripoti au vitabu nini Watanzania twaweza kuiga ili GDP per capita isogee KUJA JUU ZAIDI kama nafasi yetu katika soka FIFA.

Kwa mfano BBC huwa inawatumia maprofesa wanaoitwa wa taalamu wa hiki au kile lakini sijaona mtu wa kalibaa kama hii. Ninadhani waingereza na waswahili wetu pale wanajua tu watu wawili watatu ambao wenyewe wana ajenda zao au kuna udugu na shemeji kwenye kupata hivyo tujisenti huko?
 
Nimefuatilia utendaji wa awamu ya nne kwa ukaribu sana tena kwa muda wote.Kwa kweli vitendo hakuna kabisa.Inakuwa kana kwamba viongozi wetu wamepikwa na chuo fulani special cha kudanganya.Lakini hata hivyo kwani siasa ni nini,si ndio mambo yenyewe hayo?Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio mabaya tena yakusikitisha.Wananchi waliokaa kwenye vijiji vyao kwa muda mrefu wanshangaa ardhi yao ikiwa imeuzwa na watendaji serikalini na huku wao wenyewe wakiambiwa waondoke huku wakiwa hawana pakwenda. Ni vitendo vya kinyama tena vinavyoshangaza.Katika matukio yote sikuona kiongozi mkuu yeyote wa serikali akikemea vitendo hivyo kwa uzito nilioutegemea na viongozi kuchukuliwa hatua.Hakika kumsikia Rais Kikwete akiongelea swala hilo katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro imenishangaza kidogo.Kwa nini sasa, wakati wananchi wameendelea kuteseka kwa muda mrefu kiasi hicho bila hata kupata msaada wowote? Nadhani ni katika harakati zile zile za kisiasa.Lakini katika mtindo huo tunalipeleka wapi taifa hili? Naomba nimuambie Rais Kikwete wazi kwamba wananchi wanachohitaji sio maneno,wanahitaji vitendo zaidi.Katika hili tunategemea wale wote walioshiriki katika kupora ardhi ya wananchi na kuwanyanyasa kwa njia moja au nyingine wafikishwe kwenye vyombo vya sheria au wachukuliwe hatua za kinidhamu.
 
Nahitaji maoni yenu zaidi kuhusika na uongozi wa Rais Mheshimiwa Jakaya Kikwete,kwa nionavyo mimi na baadhi ya wengi tu kuwa mheshimiwa anastahili kuongezwa nguvu ,hii ataipata ikiwa tutakuwa mstari wa mbele katika kumuunga mkono juu ya hatua aliyofikia katika kutatua matatizo ya wananchi.

Wengi wetu wanaona ni kazi rahisi na ya mara moja ,lala amka mambo powa kila mkoa na kijiji unapata mahitajio kamili na haya matamanio utayakuta kwa wale ambao hawawezi kupambambanua na wafinyu wa kufikiri wao kwao kila jambo ni rahisi ,hawa ndio wale waliokuwa hawaishi kumlaumu Mheshimiwa Raisi na serikali yake.

Si vibaya kumlaumu Raisi na zipo njia nyingi za kumlaumu yakiwemo maneno makali yenye kuudhi na kukatisha tamaa ila Raisi wetu ameweza kuyafahamu na kuwafahamu watu hao haraka nao pia wanauchungu wa Nchi hii na kama Raisi alitakiwa na ndivyo anavyofanya kutumia busara za hali ya juu sana ,japo wasiopenda maendeleo yake wanaona giza tu na kama hakuna linalofanyika kwa kuwa tu ile haraka wanayoitaka sivyo inavyotekelezwa na Mwenye Busara ambae ni Raisi Jakaya Kikwete,kuna watu hawapendi wakimwona anasafiri mara kwa mara ,watu hawa ni wale wasio mtakio ufanizi katika kuwajibika na majukumu ambayo kama Raisi na ambae ana uzoefu wa hali ya juu kuhusu nchi za nje kwa alivyokuwa akifanya kazi hiyo,Mheshimiwa Raisi kwa nionavyo ameona itakuwa rahisi majukumu kutekelezeka ikiwa atayavalia njuga mahitajio na kuyafuatia yeye mwenyewe.
Tumpongeze Raisi Kikwete na azidi kuwa mstari wa mbele yeye kama kiongozi Mkuu wa Watanzania.Sisi tukizidi kumpongeza na kumpa sifa anazostahili ndipo nae atakapozidi kuwa mwadilifu na kuhakikisha yale anayoyapanga yanathaminiwa na wananchi wake hivyo itakuwa rahiri kwa yeye kutekeleza amri zote ambazo zitaonekana nzito kwa wengine.
 
Can you please substantiate tumpongeze kwa lipi au kwa yapi???
 
hastahili pongezi....bado kabisa hajafanya chochote!!!
 
Rais JK atapata pongezi pale atakapoanza kushughulikia matatizo ya wananchi vijijini.

Aache kutumia muda mwingi kuomba misaada nchi za nje, nchi hizo zimekuwa zinatusaidia toka 1961, na zitaendelea kutusaidia bila ya rais wetu kukimbizana na safari kila wakati.

JK utawawezesha vipi wakulima vijijini?? Mbolea, matractor, dawa na miundombinu mikoani??????
 
Ndo tatizo letu si wabongo.
Tumpongeze kwa lipi kafanya nini?Huo si ndo wajibu wake wakati anaomba kura kwa wananchi sasa tuanze kumpongeza ili iweje?Ndo maaana si ni wadanganyika siku zote tumesha danganywa na akina Mramba na Yona basi move yote inapoa.
Mkuu mwiba usiharibu mistake.
 
Mimi nampongeza kwa sababu kipindi alichoingia kilikuwa kigumu na mitihani kibao.Kwanza kabisa alipambana na njaa na akahakikisha kuwa chakula kinapatikana.Hili halina mjadala.

Kutokana na matatizo makubwa ya umeme,mafisadi wakajiingiza na hakuna mtu asiyejua mambo yalivyokwenda hadi EL na mawaziri wengine wakatimuliwa.Zamani matokeo ya tume yalikuwa yakihifadhiwa kwenye kabati.period.na wananchi wanasahau.

Matatizo mengine aliyarithi kutoka awamu ya tatu,wengi wetu tumeyachanbua hapa JF na matokeo yake watuhumiwa wamefikishwa mbele ya vyombo vya sheria na kesi zipo.Hukumu zitatoka.Mengine yanaendelea kushughulikiwa kwa taratibu za nchi.

JK amejikuta yuko njia panda kwa sababu ya mapambano ya kisiasa ndani ya CCM.Nia yake ni kuiongoza nchi kwa njia za kistaarabu lakini kuna wahafidhina wanamrudisha nyuma.JK bado yupo na ni matumaini kuwa atakuwa kidedea dhidi ya wapinzani wake ndani ya CCM.

Amefanya mambo ambayo wananchi wanayataka ayafanye na hii ni credit upande wake.
Uhuru wa kutoa maoni bila kushughulikiwa umetanuka(Muulize Jenerali Ulimwengu)Uhuru wa kuandamana ndiyo huo hadi anarushiwa mawe.

Watu wa Pemba walipotangaza kuwa wanajitenga alichukua hatua za kidiplomasia badala ya mabavu.Hajaua mtu yeyote anayeandamana.(Waulize kina Lipumba na Maalim Seif)

Wamemsema sana kuwa ni weak lakini matukio ya hivi karibuni yemeonesha siyo hivyo.Kule kupanda kwa hali ya maisha kunatokana na hali ya uchumi wa dunia kwa jumla.Kupanda kwa bei za mafuta kulipandisha bei za bidhaa kadhaa lakini sasa bei zinashuka na mambo yanaekea kuwa afadhali.

Kapangua baraza la mawaziri ili ku accomodate matakwa ya wananchi na juzi kapanga makatibu wakuu ili kushinikiza utendaji bora serikalini.

Tuna sababu ya kumpongeza na kumpa moyo Rais wetu.
 
Suala hapa labda si kumpongeza as such bali sisi kama watanzania tuwe na umoja na tushirikiane katika kutatua matatizo yanayotukabili. tumpe ushirikiano zaidi yeye pamoja na waziri mkuu. tusikosoe tu
 
Akipunguza ukubwa wa serikali yake; na akapunguza matumizi ya serikali pia, atapata pongezi zangu.
 
Nahitaji maoni yenu zaidi kuhusika na uongozi wa Rais Mheshimiwa Jakaya Kikwete,kwa nionavyo mimi na baadhi ya wengi tu kuwa mheshimiwa anastahili kuongezwa nguvu ,hii ataipata ikiwa tutakuwa mstari wa mbele katika kumuunga mkono juu ya hatua aliyofikia katika kutatua matatizo ya wananchi.

Wengi wetu wanaona ni kazi rahisi na ya mara moja ,lala amka mambo powa kila mkoa na kijiji unapata mahitajio kamili na haya matamanio utayakuta kwa wale ambao hawawezi kupambambanua na wafinyu wa kufikiri wao kwao kila jambo ni rahisi ,hawa ndio wale waliokuwa hawaishi kumlaumu Mheshimiwa Raisi na serikali yake.

Si vibaya kumlaumu Raisi na zipo njia nyingi za kumlaumu yakiwemo maneno makali yenye kuudhi na kukatisha tamaa ila Raisi wetu ameweza kuyafahamu na kuwafahamu watu hao haraka nao pia wanauchungu wa Nchi hii na kama Raisi alitakiwa na ndivyo anavyofanya kutumia busara za hali ya juu sana ,japo wasiopenda maendeleo yake wanaona giza tu na kama hakuna linalofanyika kwa kuwa tu ile haraka wanayoitaka sivyo inavyotekelezwa na Mwenye Busara ambae ni Raisi Jakaya Kikwete,kuna watu hawapendi wakimwona anasafiri mara kwa mara ,watu hawa ni wale wasio mtakio ufanizi katika kuwajibika na majukumu ambayo kama Raisi na ambae ana uzoefu wa hali ya juu kuhusu nchi za nje kwa alivyokuwa akifanya kazi hiyo,Mheshimiwa Raisi kwa nionavyo ameona itakuwa rahisi majukumu kutekelezeka ikiwa atayavalia njuga mahitajio na kuyafuatia yeye mwenyewe.
Tumpongeze Raisi Kikwete na azidi kuwa mstari wa mbele yeye kama kiongozi Mkuu wa Watanzania.Sisi tukizidi kumpongeza na kumpa sifa anazostahili ndipo nae atakapozidi kuwa mwadilifu na kuhakikisha yale anayoyapanga yanathaminiwa na wananchi wake hivyo itakuwa rahiri kwa yeye kutekeleza amri zote ambazo zitaonekana nzito kwa wengine.

Mkuu umempa sifa anazostahili kweli?
 
Unapoweza kuwa na appreciation kwa madogo unampa mtu nguvu kuweza kufanya makubwa,wanadamu si rahisi kuwasatisfy ktk yote,ufupi nampongeza RAIS kwa kias chake kwa sababu zifuatazo;
1.Ametoa uhuru japo kdogo ktk vyombo vya habari,waut sasa wanaongea bila kuingiliwa sana
2.Ameweza kutoa fikra potofu za viongozi waliokuwa nazo ya kuwa wakisha pata madaraka basi wanaweza kufanya chochote bila kuingiliwa na kuulizwa abuse of power and public funds
3.
4.
5.
Tujue mazuri makubwa alofanya tumpongeze na mengine tumshauri aboreshe vip lakini sio kusema ati hakuna kitu amefanya.
 
Ni kweli yapo mazuri kiasi aliyo yafanya ila uozo wa yale ambayo hajayafanya ni mwingi mno kiasi kwamba unafunika harufu nzuri ya machache mazuri alo yafanya, Lazima akaze buti.. safri mbado sana kustahili pongezi.
 
awakamate wezi wote wa mali za umma wakiwemo akina rostam aziz, lowasa, aache kukumbatia urafiki badala ya utaifa, aache pia kutafuta umaarufu badala ya kuchapa kazi, aache kuzurura ndipo tutafikiria kumpongeza
 
...propaganda masters wachaanza ...juzi nimeona kwenye mtanzania tayari wame cook kuwa eti utafiti uliofanywa na mwezi wa nane unaonesha kuwa rating ya muungwana imepanda....i guess walikuwa wanangojea ..hizi kesi za PR control zitajwe ndio waje na taarifa za kuongezeka kwa umaarufu....

huu umaarufu wa kuchinja huwa haudumu sana.....ni kama biashara ya kutoa mtu ndondocha....ikifubaa unalazimika kumtoa sadaka anayefuatia....

kwa kifupi ...kama wananchi wanachukuliwa na sifa za aina hii...basi mwakani kuelekea uchaguzi tutegemee scape goats wengine wengi tu zaidi....
 
Kama ni paper mpaka sasa ana D,kazi bado akaze buti
 
kwa nionavyo mimi na baadhi ya wengi tu kuwa mheshimiwa anastahili...

Unaongea kwa niaba yenu wewe na nani ?

Tumpongeze Raisi wetu - MH. Jakaya Kikwete

Nahitaji maoni yenu zaidi...Tumpongeze Raisi Kikwete

Unataka maoni au unataka tumpongeze ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom