Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Sammy, topic yako hii niliulizwa sehemu ya kwanza ilipo. Kuna watu wanaifuatilia kwa karibu sana. Congrats kwa hoja hii nzuri
 
Last edited by a moderator:
Kwanza, namshukuru kwa sanaaa, Mheshimiwa, maana kwa kweli inanilazimu kumwita mheshimiwa maana hao waheshimiwa wengine sijaona wakija na hoja ya msingi kama hii. Hoja inayoweza kabisa kubadili mustakabali wa uchumi na siasa zetu kwa kuwa nchi inayofanya kazi badala ya inayozungumza na kuzima moto huu mara ule mwaka nenda, mwaka rudi.

Ninatarajia wakuu watayafanyia kazi masuala yote ambayo Mheshimiwa ametukusanyia kwenye makala ambazo naona zote mmezijumuisha hapa pamoja. Huyu kweli siye yule bwana ambaye kwenye miaka ya 1994 aliikoa Tanzania kununua rada mbovu. Maana nikisoma mistari yake na Kiingereza chake fasaha naona kama vile ndiye. Sijui lakini, labda kuna wanaofanana fanana dunia hii, mtu huwezi ukajua hili mpaka aseme mwenyewe.


ASANTE kwa herufi kubwa, hata hivyo, Sammy Sr. na Mungu akujalie uwe na kizazi cha watoto wanaofikiri na kuchangia maendeleo ya umma kama unavyofanya wewe sasa!

Sammy Sr. kashusha vitu kama hivi na serikali imekaa kama watu wasiokwenda shule haitaki watu kama hawa ili kama wao hawana mawazo mapya basi wayapate mawazo kama haya na kuyafanyia kazi. Mengine hayahitaji hata fedha bali ni maamuzi tu.


Nimeanza kuwa na mashaka na matumizi ya rasilimali watu katika nchi hii. Au kuna ubaguzi wa kikabila au ndio huo wa kichama kwamba ukiwa wewe ni wa chama fulani basi mawazo yako hayakubaliki na chama tawala. Kama ndio tumefikia huko basi tumekwisha. Tungoje tu vijinchi kama Rwanda, Burundi, Malawi kutuwashia indiketa kwa kupaa hadi GDP per capita ya $10,000 na sisi tueleeelee papa hapa kwenye dala $600!
 
Ninaona moderators wameziunganisha pamoja hivi sasa kwa hiyo waambie wenzako waangalie vizuri tu ipo hapa hapa.

Asante kwa pongezi zako!
 
Congratulations for a job well done. But are you not playing a guitar to goats my dear? May be CHADEMA and CUF should be taking up this proposal and sell it to Tanzanians and can give more mileage to them, especially, if they at last unite to beat CCM in 2010.
 
Congratulations for a job well done. But are you not playing a guitar to goats my dear? May be CHADEMA and CUF should be taking up this proposal and sell it to Tanzanians and can give more mileage to them, especially, if they at last unite to beat CCM in 2010.
 
NINADHANI hayayote yaliyomo humu kwa kweli yanahitaji KONGAMANO la kitaifa ili kufanya mchakato babukubwa na kuona ni jinsi gani tunaweza kuinusuru tiara hii ya nchi inayoitwa Tanzania ambayo imeanza kwenda arijojo, Rwanda wanashusha bei ya mafuta baada ya mafuta kushuka soko la dunia sisi jamaa wameshupalia palepale; machafuko ya Kongo yanatishia magharibi ya Tanzania sisi tumekaa kama hayatuhusu; vijana wamekata tamaa na sisi hili hatulioni; wafanyakazi wamechoka kulipwa mishahara njaa sisi hatuna habari; malipo ya dhahabu sawa na hakuna tunamezea au tunawaogopa Barrick?; tunaota ndoto ya kutajirishwa na Martekani wakati Wamarekani wenyewe wanafilisika; mawaziri , wakuu wa mikoa, wakuu wa wilya, wabunge wanadanganya wanafanya kazi ya kutuletea maendeleo kumbe wanatafuta maslahi yaow enyewe. Basi mradi imekuwa ni buluu balaa tupu wallahi!
 
Good analysis. It is heartening to see such moves. We need to realize that we have a problem, what the problem is, before putting in place an action plan: This could be an answer.
The question, however is: Will those blinded by power hunger, party survival and party politics first, uncontrollable egoism whatever it takes, pay any attention to such ideas?
An alternative is to give the opposition a try...
 
Uchambuzi ni mzuri. Tatizo ni kwamba wahusika katika kumshauri JK, na hata yeye mwenyewe, hawatilii maanani mawazo mazuri kama haya. Hawako makini (not serious) na kila kitu wanakifanya kama mzaha tu. Wananchi wanateseka wao wanachekelea na kuwafanya majuha. Kama wananchi wangeelewa uchambuzi huo, mwaka 2010 wangefanya kweli kama Wamarekani walivyofanya kweli. Lakini mmhhuuu!!!! Sijui. Watanzania? Labda. T-shirt, kapelo, khanga vilivyonunuliwa kwa kodi zao wataziacha kweli? Maskini, Watanzani kuuza maisha yao kwa T-shirt "Chukua Chako Mapema"!! Ni usingizi au umaskini kweli. Wana JF nipanueni.
 
Signature yangu inampa JK ushauri mzuri kabisa ............ ambao watanzania wengi sana leo hii wangependa kumuona JK akiufuata
 
You know what? Most Tanzanians be it Christians or Moslems except the Arabs and Indians who are very clever, have business acumen but are cut off from politics because of racism are the swahili-type kind.

The Rwandese are Hima people. An aristocratic, creative, resourceful and people with a very high need for achievement.

Sine Kagame came to power he raised the GDP per capita from about $300 to almost $ 2,000. The Third Republic stole from the people and retarded their development, again, the Fourth Republic is just making people mark-time with no single idea about how to improve the GDP per capita to anywhere near middle income countries status.

One thing for sure, whicher country helps Congo to be peaceful will gain and perhaps up its GDP per capita to an unbelievable level; while any country that shirk the noble duty and responsibility to help the poor Congolese people shall remain backward and directionnessless. God forbid, that country be my beloved Tanzania.

Serikali ya wababaishaji utaijua tu. Kukitokea misukosuko wa kiuchumi hawana habari wala hawana maswali na majibu ya kutafuta, mpaka watu wanakomba hazina nzima. Kukitokea fursa za kiuchumi kama hii ya Kongo na watu waweza kuukata hawazioni au wanazizuia au wanazibeza!

mbunge,
on leisure trip to:
kinondoni.
 
Hivi wizara ya fedha na uchumi ina mchumi? hivi benki kuu ina mchumi? Hivi Ikulu kuna mchumi? Au wanauchumi wote wameondoka na kina Kighoma Ali Malima. Au tumebakia na wale kombakomba, nile, nishibe mimi na wanangu ya Watanzania watayajua wenyewe?????


Ha ha ha haa,,, Tanzania wallahi, mama yangu vile inamshina Bill Crosby kwa kuchekesha na kuonekana kinyago cha mpapute wee!

huduma

as usual
 
Sammy Sr.,

....ulishawahi kuisoma marshal plan ya Rev Kishoka?
 
When the Greeks thought it wise to establish dialogue as part and parcel of their daily life and discuss public matters including political, economic, social and cultural issues in public it was the greatest discovery in managing man survival and growth affairs.

However, after independence in Africa some of our leaders decided to build a wall between those in leadership and the followers. This has remained todate.

The rulers are the ones who talk and decide about the fate of the followers with very minimal assessment of the current status and participation of the true representatives of the followers. Be it teachers, soldiers, doctors, nurses, businessmen, farmers, fishermen, livestock keepers, clerks, accountants and so on.

Media and publishing was such controlled that it was neigh impossible to give an alternatives to the ideas earlier sounded by the rulers.

The newspaper, radio and television where there were one were praisesingers of the rulers.
Because of lack of a pluralistic national constitution, weakness of the opposition and half-baked democracy this has remained so todate.

However, the internet and especially blogs have put an end to that. And if it were not for the manipulation of the state in making access to the internet in some parts of the country very difficult ideas could be flying freely all over Tanzania in matters of seconds.

And for a regressive and weak government it should be expected that instead of using the internet to propel the country forward, the appointed anti-human development bureaucrats will seek to curtail and limit the influence of the internet on the population for reasons better known to both of us!

Despite the revolution in information and communication technology, information and communication is scanty and inhibited in most situations. And most often, even the leaders themselves are not aware of what is going around them.

Thus, it is not difficult to trace the root of African development quagmire and cultural and technological quicksand. We are stuck where we are simply because we lack conversation fora at home, in our political parties, in schools, at work place, at district and regional level as well as at the national level.

There is no discussion, no conversation going on anywhere except decisions and resolutions. It seems as if the West has already fine tuned some sections of our society to decide on our behalf through their il-founded decisin-making techniques. Swallowing and digesting everything from the west will surely give us a lot of stomach pains if not vomitting.

Sammy Sr. has not said it. But I can say it on his behalf that if we are to develop we must start these discussions and these conversations as soon as possible.

The globe has moved fast from a world of ignorasmuses at the time of independence to a knowledge society today. African leaders, though, still think and believe that their people are as stupid as they were then. I don't believe so, I don't think so. They may not be able to articulate it in the words, especially, if you are using his master's language and not the local vernacular understood by everyone. But they are more than fluent when it comes to body language. And these are the lessons that most of you out there are still to learn.

Once, Al-Hadj Mwinyi said he could not compare himself with Mwalimu. It was like comparing an antihill with Kilimanjaro.

There may not be someone of Mwalimu's calibre in the leadership but there could be a score of Mwalimu's calibre in the population by the principle of law of normal distribution. So leaders beware and take heed and trust your people to participate and making decisions concerning their lot.

Am sorry, if I have confused some of you!

Mwalimu Jr.
Dar es salaam
 
Sammy Sr,

Shukrani sana kwa kutuletea hili maana inabidi tufanye tathmini ya kinachoendelea Tanzania na kujua ni vipi tunakoenda.

Naomba upitie Marshal Plan ya Mchungaji kama alivyokushauri Ogah.
 
😡Hii analysis ina mgongo mzito nyuma yake!

Bwana sammy amedhihirisha/amebobea kwenye mgawanyiko uliotengenezwa na awamu ya tatu.

Kikubwa hapa ni kuona nia yake...Yaliyopita yamedhihirisha kuwa walihusika-yaani,wahusika- CCM(awamu ya tatu).

Mchakato unoendelea sasa hivi, ikiwa pamoja na wa sekretarieti ya uenezaji/usambazaji/ujuaji-juaji/pinda-pindua/propaganda/ukandamizaji/danganya/changanya n.k ni kutoa macho na masikio kwa yale yanayojulikana-WIZI WA HELA NYINGI TU-yaani mazingaombwe.

Tathmini hii hailelezi uwiano uliopo kati ya "Mgawanyiko" na "Wizi" uliotokea ki- mantiki na JK na miaka yake mitatu!

This is CCM @ work, if not mkono mrefu wa dola!

Mtazamo wangu nikuwa miaka hii mitatu haitoshelezi matakwa yangu yakumchagua tena kuongoza sio mafisadi tu bali hati mimi😀
 
Code:
Mwalimu Jr.
Dar es salaam


However, after independence in Africa some of our leaders decided to build a wall between those in leadership and the followers. This has remained todate.


Hizi ni siasa za ugawanyaji- Kwanini? This is a Generalization of "some of our leaders" to the highest order.

Utumwa nao ulichangia kwa kiasi chake, kwani, hata hivyo- historia inaonyesha ni jinsi gani Afrca ilijitawala- bado inaonyesha kuwa ni wazungu, waite mabepari ambao, waliharibu mifumo ya kujitawala ya Waafrika, na ukoloni mamboleo.

'However' Hii yes bwana imekua kwenye mfumo wa elimu mpaka kwenye sheria zingine ambazo bado zinahusiana na ugandamizaji wa nguvu ya Mwananchi-ikiwa pamoja ni nani kabila au dini nzuri- Ni elimu hii tuliyonayo/tuliyopewa/tujifunze/tutawaliwe... Inayoleta mikongano miongoni mwetu sio Afrika tu bali makabila yanayo-jumuisha Afika

Wakati hilo hapo juu laweza kuwa siyo la kweli hawa "some of our leaders" wanatumia 'loopholes'(hii karibu niite mashimo yanayozunguka 😀)ambazo zipo kwenye sheria zetu, kufanya haya mazingaombwe!

Tutafika...
Change shall prevail.
 
HIVI mikoa ingeliachiwa ijiendeshe kiuchumi na kijamii unaniambia mikoa kama vile ya Kilimanjaro, Kagera, Mbeya, Mwanza, Arusha ingeacha kuwa na GDP per capita ya dola $10,000 fumba na kufumbua?

Tatizo letu hapa ni kung'ang'ania kila kitu na wakati uwezo mdogo.

Hii sio miaka ya UREJINOOKAMISHNA ETI hii ni miaka ya Gavana anayechaguliwa na wananchi wa mkoa husika na siye anayeweka pale kulipa fadhila za chama fulani cha kisiasa eti....
 
Mkuu Sammy Sr.

I like your thorough analysis, especially the wealth creation ministries.

We should have been well ahead economically and all regions would/should have been regenerated.

By the way have you heard of the world "regeneration"?

To start with Dodoma should be the centre of business activities in the country because the region connect most parts of the country. Here businesses would grow and strengthened, all transportation links and routes should have been built to the standards required and would have been operating since.

Continue to bring more!
 
NI NANI afanye tathmini ya Wizara na utendaji wa Mawaziri katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

. Je, kuna wizara inayoshughulika na mambo ya watoto? Imejenga viwanja vingapi vya watoto au zoo au mashamba ya wanyama na vivutio vingine? Au ndio hiyo hiyo iliyochangia kuungua moto watoto Tabora?
. Je, kuna wizara ya utalii....imechangia nini zaidi ya watu binafsi wenyewe kukuza utalii nchini?
. Wizara ya uvuvi na uvivu ipo? Imesaidia kuwafanya wavuvi waongeze samaki kwa kiasi gani?
. Wizara ya Ufugaji imeleta jipya lipi zaidi ya kupanda kwa bei ya nyama ngumu hapa nchini?
. Je viwanda wana kiwanda kipya toka waje? Na wameweza kumshawishi mkuu kujua kwamba bado kuna viwanda vingine lazima viwe vya umma, jeshi au ushirika unaosadiiwa na serikali?
. Hivi wizar ya kilimo zaidi ya magari yao ya fahari wana kipi cha kutuonesha. Wanaweza kuonesha mfano kwa kuuza magari yao yote ya fahari na kununua matrekta kwa ajili ya wakulima? Kwa maneno wengine wanaweza kuwa wanamapinduzi wa kweli na sio wanamapinduzi kama visiwani ambao mapinduzi yao ni dhidi ya Uarabu na ngozi nyeupe tu isiyokuwa ya CCM?

Kuna maswali mengi ya kijinga kama haya tuanweza kuuliza kila inayoitwa wizara na utakuta mchango wangu agahalabu ni minus, ndio minus kwa nchi hii na watu wake!
 
HIVI waziri wa michezo kahamasisha miji, vijiji, shule, makanisa, misikiti na mitaa mingapi kujenga viwanja vya michezo, bustani na majengo ya burudani? Au anangoja mpaka Rais afanye delegation and decentralization ya hilo. Hivi huwa anakaa ofisini masaa managapi na huko nje anatumia dakika ngapi katika kuendeleza hiyo michezo na usalama wa watoto katika maisha yao nje ya skuli?
Literally, Waziri wa Vijana na michezo amekalia uchumi. Ndio sababu naunga mawazo ya Sammy Sr. kwamba Wizara hiyo isiitwe kwa jina lake la hivi sasa bali libadilishwe na kuwa: HUMAN RESOURCE, CAREERS AND TALENTS DEVELOPMENT -na kuwe na idara tofauti kwa kila seksheni ya masuala husika. Nina hakika kwa nmna hii tutaumua nguvu, akili na ubunifu wa watu wetu na kisha vijana wataandaliwa katika njia za career muafaka zaidi na zinazowezekana ikiwa ni pamoja na kujiajiri kwa kuanzisha miradi mbalimbali na pia vipaji katika michezo, usanii, na ubunifu wa wa aina mbalimbali ukiwa uandishi na utunzi wa vitabu, sinema, video, nyimbo, michezo ya kuigiza na kuchekesha haitakuwa tena kitu cha watu wachache wanaopendelewa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom