Pole Mushi kwa masahibu yanayokukuta. Lakini, wanakuchongea kwa sababu unachangia thread zao au kwa sababu unayoyaandika? Kama wanakuchongea kwa sababu unachangia thread zao, mimi sitaki kuamini mpaka nitakapopata uhakikisho lakini nianze kwa kuonya tu kuwa kama ndivyo hivyo, huko tutakuwa tunakwenda kubaya
Mimi nilikuwa nimeangalia from a professional standpoint only, kwamba huwezi kutumia e-mail ya Yahoo proffesionally.
Hilo la vijana wa silicon valley kuwa na access ya e-mail za Ikulu sikuliona kabisa. Yani haya ni mahoka!
Ni nani huwa wana m-contract kuwashauri kwenye mambo ya IT?
Umeshawahi kutembelea website ya Bunge kutafuta document au bio ya Mbunge?
Kama hujawahi, acha. You don't wanna punch your PC screen!
Niliomba wakakuamshe,Naona umeshaaamka
Mzee Mwanakijiji,
Hoja si kwamba wangwe aje atokee CCM ili tuone kuna Udini,La hasah hoja ni kwamba Kamati kuu kuna Udini?Rejea wajumbe wa kamati kuu wanapatikana vipi?Je unadhani woete kuwa waislam ua wakistro huwa inapangwa na wajumbe wanaowapigia kura?Si kweli hii imetokea tu
Suala la CHADEMA kuchagua hao 6 lilipangwa na Viongozi wa juu wenye Maslahi yao Binafsi na hili.Na ndiyo hoja ya wangwe inapoonekana ina ukweli ndani yake na siyo maneno ambayo yanatolewa na Mpaka kieleweke kwamba alikutana na Rostama Pale Kempski.Je CHADEMA inakataza wanachama wake kuwasiliana na Mtu au kada wa chama Kingine?Mbona mie huw anakutana sana na Zitto(japo hajui mie ni member wa JF) na kuzungumza naye sana tu na watu wa chama changu wananiona ?au kwasabau mie siyo kiongozi mkubwa wa chama ila ni kiongozi wa kawaida??
Zitto KABWE alikuwa akibadilishana koti lake na AMINA CHIFUPA wakiwa bungeni na alisema atandaa kitabu cha maisha ya marehemu AMINA CHIFUPA, WANGWE anaasingiziwa anakutana na KABOURU AMANI ndio kosa lake,vipi aliyekuwa akibadilishana koti na marehemu Amina alichukuliwa hatua gani na hao wazee wa Chadema?
Sasa wangapi katika CCM wanabadilishana makoti?
Mgagagigikoko... hii ni mada ya CCM ndio maana nimekuuliza swali. Ukitaka ya Zitto, au ya Marehemu Amina anzisha tu. Lakini hapa mada imehusu madai ya udini ndani ya Kamati Kuu ya CCM unaotokana na idadi.
Mgagagigikoko... hii ni mada ya CCM ndio maana nimekuuliza swali. Ukitaka ya Zitto, au ya Marehemu Amina anzisha tu. Lakini hapa mada imehusu madai ya udini ndani ya Kamati Kuu ya CCM unaotokana na idadi.
Kwa n-taji huu, vyama vyote vina udini!!!!
Mwanakijiji vita yako kwa wangwe umeanza muda mrefu soma kumbukumbu hii.
Thread Tools
28th March 2008, 10:37 PM
mtalii
mtalii has no status.
JF Senior Expert Member Join Date: Thu Dec 2006
Posts: 272
Rep Power: 22
Thanks: 58
Thanked 86 Times in 65 Posts
Credits: 9,275
Mwanakijiji Awagombanisha Chadema
--------------------------------------------------------------------------------
Kama kawaida Chama cha Wachagga-Chadema, kimekumbwa na gogoro heavy na mwenyekiti na Makamu wake hawaelewani.
katika hali isiyotarajiwa mtumishi wa Mbowe maarufu kama Mwanakijiji ameporomosha maneno ya kejeri kwa mheshimiwa Wangwe.
habari kamili iko kwenye redio ya Mwanakijiji au redio ya Chadema kwani ccm wanamiliki Redio Uhuru na wenzetu Chadema wamekuja na redio yao.sikiliza vitimbi vya gogoro hilo.
http://mwanakijiji.podomatic.com/ent...22_32_09-07_00
Mpaka Kieleweke said:TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
NA
WANANCHI WA TANZANIA
KUSIMAMISHWA KWA MHESHIMIWA CHACHA ZAKAYO WANGWE (MB.) KUWA KAIMU MAKAMU MWENYEKITI WA TAIFA (BARA) WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
Mheshimiwa Chacha Wangwe yeye mwenyewe na/au kwa kutumia wanachama na/au viongozi waliochukuliwa hatua za kinidhamu na vikao halali vya chama amekuwa akitoa kashfa dhidi ya chama, viongozi wake na/au watendaji wake.
Bila ya kujali ushahidi uliopo hadharani wala maamuzi ya vikao vya chama ambavyo yeye mwenyewe alishiriki kuyafikia, Mh. Wangwe amekuwa akikituhumu chama, viongozi wenzake wa kitaifa na watendaji wake wa ngazi za juu kwa ukabila na/au udini.
Licha ya ushahidi wa wazi kwamba viongozi wa ngazi za juu akiwemo yeye mwenyewe wametoka sehemu mbali mbali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Chacha Wangwe ameendelea kutuhumu kwamba kuna upendeleo kwa Wachagga na/au watu wa kaskazini ya Tanzania.
Kwa vitendo na matukio yote haya, Kamati Kuu ya CHADEMA imejikuta haina njia yoyote ile ya kuepuka mgogoro mkubwa zaidi na usio na maana au msingi zaidi ya kumchukulia hatua za
Asanteni sana
-----------------------------------------------
Freeman A. Mbowe
MWENYEKITI.
Hoja ya ukabila inayotegemea idadi ni hoja ya kipuuzi kama ile ya udini inayotegemea idadi.
Hizi hoja,miaka ya nyuma zilikuwa huzisikii kabisa...sasa sielewi tulikuwa gizani au uzalendo ulikuwa ndani ya damu?....
Mwanakijiji Upo?
Kitabu cha Zitto kuhusu Maisha ya Chifupa soma hapa.
https://www.jamiiforums.com/archive/index.php/t-7500.html