- Thread starter
- #421
Mwankijiji, mgaya ,Mkandara
Ule msamaha niliomba kule naufuta rasimi ulikua batili ,ni halali kutaja ID za watu na kama ninyi ni waungwana inabidi mniombe msamaha.
Kunifungia kama ule mkwara wenu mnaopenda kuupiga hautofanya kazi labda tu niamue mwenyewe.
Asanteni.
NB.Ila mkandara aliniambia kistaarabu si ki mkwara
Wewe nawe mbona unatisha tisha watu? kama unataka kutaja ID za watu wewe zitaje na kisha uone sheria za JF zinavyofanya kazi. Mambo ya kukaa hapa unatoa tuhuma za ajabu ajabu hayana msingi.
Kama unaweza kutaja ID we go ahead ila yakikukuta usiingie na jina lingine na kuanza kutoa vilio kuwa umeonewa. Kama kuna mtu mwingine ametaja ID za watu kwa nini usiwaambie Mods wamchukulie hatua? Kwani wewe si mmoja wa members wa forum hii?