Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Kama viongozi wakubwa watatu kati ya wanne wa ccm ni waislam, basi nadhani tayari umepata jibu la swali lako.
hata ikiwa viongozi wote ni wa dini moja, decision zinaweza kutolewa na upande mwingine & thats the reality
 
Watu hapa tunajadili Sakata la Wangwe watu wanakuja na maada zingine ili kututoa ktk mstari.

Ufisadi CCM kila mmoja anauchukua na anaupigia kelele

Ufisadi CHADEMA haturuhusiwi kujadili harafu mnajidai mnapigania HAKI huu uhuni mkubwa.

Mmemtimua CHACHA kwa madai yenu naye akapeleka madai yake kwenye vyombo ambayo yapo clear kabisa ,lakini mnajaribu kutu SPIN ili iweje.

OHH sijui mwenyekiti anajitolea fedha zake ,kumbe analazimisha helkopita ili matumizi yaongezeke harafu wajiripe mamilioni huu ni UFISADI.Kwanza hana huruma na chama chenu chama choka mbaya kifedha huyohuyo anawakopesha harafu anaruka nazo na Helkopita Harafu anajiripa.

Wangwe kugundua tatizo hilo imekua soo mmemtimua mnadhani ndio suluhu?????

Na kilichomtimua wangwe uongozi ni kuhoji hzio milioni.Na alipokua anasema fedha zinaishia makao makuu alikua mstaraabu tu yani alikua na maana fedha zinaishia kwa mbowe. na kundi lake watu wa KILI.
 
mkamap, hasira za nini? sio mimi nafungia watu hapa. Wote mimi na wewe kama unapenda jamvi letu tunatakiwa kufuata taratibu zilizowekwa na mods ili kurahisisha kazi yao. Hasira na ugomvi vya nini? inasaidia nini kwenye hoja kutaja ID za watu?

Tusaidiane na tukumbushane tu kutunza sheria za forum. Mengine ya kutoa vitisho sio mazuri. Kama unataka kutaja ID za watu, wewe taja tu ila kumbuka kuwa ukifungiwa kwa kufanya hivyo, usianze kulalamika kuwa umeonewa.

Taratibu gani hizo au ndio mlizonazo CHADEMA
nilipotaja mtu wa CHADEMA mkaja juuu kweli ni vitusho utafikiri hapa kuna jela .Lakini nyie watu wa kas mnataja HOLLO ni CHENGE sijui nani ni Makamba harafu mnachekelea wala hakuna anayemsihi mtu huyo.
Ama mtuambie JF ni CHADEMA tuelewe moja.

Hapa inatakiwa sheria ziwe applied kwa kila mtu na si kututisha ili Chadema isikosolowe,Maana hapa ukiugusa tu chama chenu mwaja juu mwatoa vitisho vya kufingiana ili mkatishe anayetoa hoja na mchango mtamwita majina mengiiiiiiii lakini kwenu mkiguswa mwakimbilia sheria za jf.
 
Watu hapa tunajadili Sakata la Wangwe watu wanakuja na maada zingine ili kututoa ktk mstari.

Ufisadi CCM kila mmoja anauchukua na anaupigia kelele

Ufisadi CHADEMA haturuhusiwi kujadili harafu mnajidai mnapigania HAKI huu uhuni mkubwa.

Mmemtimua CHACHA kwa madai yenu naye akapeleka madai yake kwenye vyombo ambayo yapo clear kabisa ,lakini mnajaribu kutu SPIN ili iweje.

OHH sijui mwenyekiti anajitolea fedha zake ,kumbe analazimisha helkopita ili matumizi yaongezeke harafu wajiripe mamilioni huu ni UFISADI.Kwanza hana huruma na chama chenu chama choka mbaya kifedha huyohuyo anawakopesha harafu anaruka nazo na Helkopita Harafu anajiripa.

Wangwe kugundua tatizo hilo imekua soo mmemtimua mnadhani ndio suluhu?????

Na kilichomtimua wangwe uongozi ni kuhoji hzio milioni.Na alipokua anasema fedha zinaishia makao makuu alikua mstaraabu tu yani alikua na maana fedha zinaishia kwa mbowe. na kundi lake watu wa KILI.

Nani amekuzuia kujadili mambo ya chacha na mbowe, mbona kuna thread kibao zinaendelea hapa za chadema?

Ondoeni udini ccm ili kuwapa haki wapiga kura wenu ambao ni wakristo. Mambo ya kuwa na viongozi waislam kwa asilimia 75 ni aibu kwa chama chenu
 
Taratibu gani hizo au ndio mlizonazo CHADEMA
nilipotaja mtu wa CHADEMA mkaja juuu kweli ni vitusho utafikiri hapa kuna jela .Lakini nyie watu wa kas mnataja HOLLO ni CHENGE sijui nani ni Makamba harafu mnachekelea wala hakuna anayemsihi mtu huyo.
Ama mtuambie JF ni CHADEMA tuelewe moja

Unachoongelea ni nini? kwa nini unasema habari za uongo kwa kuhusisha JF na CHADEMA? Huu ni upuuzi na utoto. Kila mtu anajua hapa kuwa JF sio ya chama chochote. Haya madai yako ya kipuuzi kuhusu JF achana nayo mara moja. Sio ustaarabu na ni uongo uliokithiri.
 
hata ikiwa viongozi wote ni wa dini moja, decision zinaweza kutolewa na upande mwingine & thats the reality

Hayo uliyajulia wapi? hayo maamuzi yanayofanywa na upande mwingine ni ya toka lini. Suluhisho hapa ni kuacha udini na kutoa nafasi sawa kwa wakristo na waumini wa dini zingine. Hizi zingine ni siasa tu unaweka hapa.
 
Unachoongelea ni nini? kwa nini unasema habari za uongo kwa kuhusisha JF na CHADEMA? Huu ni upuuzi na utoto. Kila mtu anajua hapa kuwa JF sio ya chama chochote. Haya madai yako ya kipuuzi kuhusu JF achana nayo mara moja. Sio ustaarabu na ni uongo uliokithiri.

unajua maana ya AMA?? itabidi wakupepee asii hakuna kuna kulala mpaka kieleweke hapa
huwezi niambia niachane nayo mara moja EBO!!
huo udikiteta hukohuko CHADEMA ,kuja kunipa vitisho eti nimetaja ID wakati nyinyi mwataja ni utovu wa nidhamu. Maana unajua kuspin hapo hii hoja yako unatafuta SUPPORT uwavute hisia waja kweli ili mpate sababu ya kuniweka kolokoni hawekwi mtu hapa.
OK turudi jibu hoja hizi

-Mbowe na wazake wakikosti chama milioni 700 kwa kuruka na Helkopita
-wavunga kukisaidia chama kumbe ni mradi wao mahususi ,CHACHA kuhoji wametimua uongozi .
 
unayeleta siasa ni wewe. Bora uzungumze masuala ya kuendelza nchi, lakini wewe umeshikilia siasa za udini. Hayo hayakusaidii.
 
unajua maana ya AMA??
huwezi niambia niachane nayo mara moja EBO!!
huo udikiteta hukohuko CHADEMA ,kuja kunipa vitisho eti nimetaja ID wakati nyinyi mwataja ni utovu wa nidhamu.OK turudi jibu hoja hizi

-Mbowe na wazake wakikosti chama milioni 700 kwa kuruka na Helkopita
-wavunga kukisaidia chama kumbe ni mradi wao mahususi ,CHACHA kuhoji wametimua uongozi .

Labda umesahau kuwa hoja ya msingi hapa ni ccm kuwa na viongozi asilimia 75 wa juu kutoka dini moja- islam. Kichwa cha habari hapa ni udini wa ccm kama ulikuwa hujakiona.
 
Thread yenyewe imeanzishwa na Mgaya, hivyo hakuna haja ya kupoteza muda kuponder about its contests.

Hii ni sawa na kwenda kuwaambia serikali ya mapinduzi Zanzibar waondoe udini kwa sababu yote inaundwa na waislam!
 
unayeleta siasa ni wewe. Bora uzungumze masuala ya kuendelza nchi, lakini wewe umeshikilia siasa za udini. Hayo hayakusaidii.

kwi kwi kwi,

mkuki kwa nguruwe, CUF waitwe chama kiislam kwa vile viongozi wake wengi ni waislam ni sawa? CUF waitwe chama cha kipemba kwa vile wafuasi wengi ni wapemba ni sawa? UDP kiitwe chama cha wasukuma kwa vile viongozi wao wengi ni wasukuma ni sawa? CHADEMA na TLP vinaitwa vyama vya wachagga kwa vile kuna watendaji muhimu ni wachaga ni sawa?

CCM nacho ni chama cha kidini kwa vile viongozi wake wa juu wengi wao ni waislam. Kikwete inabidi aondoe udini kwenye chama chake maana ni aibu kwa Tanzania.
 
Thread yenyewe imeanzishwa na Mgaya, hivyo hakuna haja ya kupoteza muda kuponder about its contests.

Hii ni sawa na kwenda kuwaambia serikali ya mapinduzi Zanzibar waondoe udini kwa sababu yote inaundwa na waislam!

Ndio maana sijaongelea mambo ya Zanzibar. Hapa inaongelewa ccm, chama ambacho kinadanganya wakristo wa kanda ya ziwa kuwa wana nafasi sawa kwenye chama kumbe inapokuja kwenye viongozi wa juu, waislam wanapewa asilimia 75%. Aibu kubwa na udanganyifu wa hali ya juu.
 
Sioni Sababu Yoyote Ya Kulalamikia Udini Wakati Huu Sasa Hivi Dunia Iko Katika Enzi Zingine Kabisa Sasa Hivi Mataifa Yanaungana Watu Na Jamii Zao Wanaungana Kuwa Kitu Kimoja Bila Kujali Itikadi Zao Kwahiyo Hata Sisi Watanzania Tuende Na Wakati Sasa Ukabila Udini Na Uchama Uwekwe Pembeni Tujenge Nchi Yetu Tujenge Jamii Zetu Tujenge Afrika Yetu
 
jee wewe umetokea chama gani na huko utokako jee kuna uwiano. Naona umekalia ku shift focus from main subject which is striving for betterment of Tanzania & Tanzanians
 
This is what I am talking about. Mambo ya udini na ukabila yamepitwa na wakati na inabidi yaachwe. Inashangaza kuwa bado kuna watu wanajali mambo haya katika karne hii.

Shame on them.
 
Labda umesahau kuwa hoja ya msingi hapa ni ccm kuwa na viongozi asilimia 75 wa juu kutoka dini moja- islam. Kichwa cha habari hapa ni udini wa ccm kama ulikuwa hujakiona.

Haya Mkuu wewe 2 mimi 0
 
Nani amekuzuia kujadili mambo ya chacha na mbowe, mbona kuna thread kibao zinaendelea hapa za chadema?

Ondoeni udini ccm ili kuwapa haki wapiga kura wenu ambao ni wakristo. Mambo ya kuwa na viongozi waislam kwa asilimia 75 ni aibu kwa chama chenu

ok
tukubalie kama utakavyo
CCM wakati wa Mkampa viongozi wengi wa chama walikua wakristu ,sasa uongozi wa JK viongozi wengi wa chama ni waislamu kumbe CCM inatamaduni ya kupeana madaraka .

CHADEMA tangu imeanza population ni KILI mbona hamwapi hata Wanyarukora nafasi ,Huyu Mra tena mmoja naye mmetimua kazi kwelikweli
 
Kweli umekosea. Kuna waislam 30 na wakristo 8. Tofauti ni 30-8 = 22

Naona sasa Mada zimeisha, Jamani tunaacha kuhoji UFISADI tunaanza kwenda pembeni sasa. Mgaya kuna mtu anakufadhili nini kuhamisha hisia za watu juu ya serikali?

Plz, heshima zenu wakuu, MASLAHI YA TAIFA KWANZA, Huo Uislamu wao baadae mambo yakishaenda sawa pale tutakapoona EPA, MEREMETA, DEMISE OF UFISADISM, NA MENGINEYO labda ndio tutaanza kuyafikiria hayo.

Hivi kwanza naomba kuhoji, kwa jinsi ninavyojua na kujiamini 100% na JF yangu; Ni asilimia ngapi ya watanzania wanaoishi vijijini wananufaika na haya tunayoyaandika kama habari na kuijua nchi yetu inavyokwenda ukiachilia wale wasio jua kusoma wala kuandika? na JE KAMA TUNAANZA KUANGALIA MAMBO YA DINI KWENYE CCM ITAKUWAJE WAKINA MAMA NAO WATAKAPO KUJA JUU KUHUSU IDADI SAWA? JE UKABILA? Mimi nafikiri jibu la Mwl Nyerere lilikuwa zuri sana kwa jamaa aliyeuliza swala la udini kipindi cha harakati za uhuru.

JF DONT LOSE FOCUS, Kuna wengine humu wanatumwa kupotosha maana kama Mbunge fulani aliyeweza kutetea ujinga huku akisahau kwamba watu wanahoji hata Elimu yake.(Mtanisamehe lakini ila inaudhi)

MUNGU IBARIKI JF
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
jee wewe umetokea chama gani na huko utokako jee kuna uwiano. Naona umekalia ku shift focus from main subject which is striving for betterment of Tanzania & Tanzanians

CCM kama chama kinachotawala nchi kwa sasa inabidi kionyeshe mfano kwa kuondoa mambo ya udini kwenye uongozi na utendaji. Suala la kuwa na 75% ya viongozi wa juu wa ccm kuwa waislam kunaweka picha mbaya kwa nchi yetu ambayo haipendi mambo ya udini.

Sidhani kama hii topic inahusiana na chama changu, kwa sasa ni suala la CCM na ni ushauri tu kwa uongozi wa juu wa ccm kuondoa udini na kutoa nafasi sawa kwa dini zote nchini.
 
Kweli umekosea. Kuna waislam 30 na wakristo 8. Tofauti ni 30-8 = 22
Hao wanane ni wepi mbona hesabu zako zinaonekana zimechanganyika na muono wa makengeza.

2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara) - 1
5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara) - 2
8. Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda - Mjumbe - 3
11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe - 4
14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe - 5
15. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Mjumbe-6
16. Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe - 7
17. Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe - 8
19. Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe - 9
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe - 8
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe - 10
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe - 11
32. Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe - 12
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe -13.
38 -13 = 25

PRIME MINISTER’S OFFICE

Ministers of State in the Prime Minister’s Office

Policy and Parliamentary Affairs
Minister--------- Mr. Philip Marmo ----------- Mkiristu
Regional Administration & Local Governments
Minister------------- Mrs. Celina Kombani .......Mkiristu
Deputy Minister Mr. Aggrey Mwanri ................Mkiristu

MINISTRY TITLE MINISTER

Ministry of Infrastructure Development
Minister -------------------Dr. Shukuru Kawambwa
Deputy Minister------------- Mr. Hezekiah Chibulunje

Ministry of Livestock and Fisheries
Minister--------------------Mr. John Magufuli ....Mkiristu
Deputy Minister------------- Dr. James Wanyancha...Mkiristu

Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation
Minister --------------------Mr. Bernard Membe.....Mkiristu
Deputy Minister -------------Mr. Seif Iddi ..............Muisilamu

Ministry of Health and Social Welfare
Minister------------------ Prof. David Mwakyusa ....Mkiristu
Deputy Minister................ Dr. Aisha Kigoda ..........Muisilamu

Ministry of Science, Technology and ICT
Minister------------------ Prof. Peter Msola..........Mkiristu
Deputy Minister---------- Dr. Maua Daftari

Ministry of Energy and Minerals
Minister------------------ Mr. William Ngereja.........Mkiristu
Deputy Minister------------ Mr. Adam Malima

Ministry of Agriculture and Food Security
Minister-------------------- Mr. Stephen Wassira....Mkiristu
Deputy Ministers................ Dr. David Mathayo David ..Mkiristu

Ministry of Defense and National Service
Minister-------------------- Dr. Hussein Mwinyi-------Muisilamu
Deputy Minister -------------Dr. Emmanuel Nchimbi......Mkiristu

Ministry of Labour, Employment and Youth Development
Minister--------------------- Prof. Juma Kapuya
Deputy Minister--------------Dr. Milton Makongoro Mahanga Mkiristu

Ministry of Home Affairs
Minister--------------------- Mr. Lawrence Masha......Mkiristu
Deputy Minister--------------Mr. Khamis Kagasheki

Ministry of Information, Culture and Sports
Minister--------------------- Mr. George Mkuchika
Deputy Ministers-------------Mr. Joel Bendera

Ministry of Water and Irrigation
Minister---------------------Prof. Mark Mwandosya .....Mkiristu
Deputy Minister.................. Mr. Christopher Chiza ........Mkiristu

Ministry of Finance and Economic Affairs.
Minister............................Mr. Mustapha Mkullo
Deputy Ministers Mr. Jeremiah Sumari Mr. Omar Yusuf Mzee

Ministry of Lands, Housing and human Settlement
Minister------------------- Mr. John Chiligati
Deputy Minister

Ministry of Justice and Constitutional Affairs
Minister........................... Mr. Mathias Chikawe..... Mkiristu
Deputy Minister

Ministry of Industry, Trade and Marketing
Minister............................ Dr. Mary Nagu.............Mkiristu
Deputy Minister................. Dr.Cyril Chami ..............Mkiristu

Ministry of Education and Vocational Training
Minister Prof. ..................Jumanne Maghembe
Deputy Ministers... Ms. Gaudencia Kabaka Mrs. Mwantumu Mahiza

Ministry of Natural Resources and Tourism
Minister......................... Mrs. Shamsa Mwangunga
Deputy Minister................. Mr. Ezekiel Maige ......Mkiristu

Ministry of Community Development, Gender and Children
Minister.......................... Mrs. Margaret Sitta......Mkiristu
Deputy Minister................. Dr. Lucy Nkya .............Mkiristu

Ministry of East African Cooperation
Minister.......................... Dr. Diodorus Kamala ......Mkiristu
Deputy Minister.................. Mr. Mohamed Aboud

Attorney- General............ Johnson Mwanyika ....Kiristo

Haya piga hesabu halafu ubishe kama Tanzania haiuliwi na mafisadi wa kikiristo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom