Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Na sasa nimeweka tena haya majina na dini zao ili kuweka hii point.

1. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti - Muslim
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara) -
3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar) - Muslim
4. Ndugu Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu - Muslim
5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)- Muslim
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe - Muslim
8. Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe - Muslim
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe - Muslim
11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Mzee Rashid Mfaume Kawawa - Mjumbe - Muslim
13. Dr. Salmin Amour - Mjumbe - Muslim
14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
15. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Mjumbe
16. Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
17. Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
18. Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe - Muslim
19. Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe - Muslim
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe - Muslim
23. Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe - Muslim
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe - Muslim
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe - Muslim
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe - Muslim
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe - Muslim
30. Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe - Muslim
31. Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe - Muslim
32. Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe -
33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe - Muslim
34. Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe - Muslim
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe - Muslim
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37. Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe - Muslim
38. Ndugu Yussuf Moh'd Yussuf - Mjumbe - Muslim

WABUNGE WA CHADEMA

Is this fair to the rest of Tanzanians?

Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka at least mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi au mikoa mingine haina wanachama wa Chadema wenye sifa?

maulid_sk.gif

Mhe. Maulidah Anna Komu, Komoro & Kilimanjaro (kaolewa na Mkilimanjaro na kuhamia huko).
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

lyimo.gif

Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

mdee_sk.jpg

Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

grace3_sk.jpg

Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)

lucy.gif

Mhe. Lucy Owenya, Kilimanjaro (Mtoto wa Ndesamburo)
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

mhon2_sk.jpg

Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Kigoma
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)

Mkuu Mgaya,
Naiweka tena ili uweze ku-kompare na ya kwako maana nafikiri uliipenda sana. The bottom line ni kuwa CCM, a grand party, hawakuchaguana kutokana na udini. Lakini ni wazi kabisa kutokana na maelezo tuliyopewa, kamchezo ka kiukabila au who knows who kalitumika ndani ya CHADEMA.

Sikubaliani na wazo kuwa hawa wabunge hawawezi badilishwa kabla ya 2010. Inawezekana kama CHADEMA wakiamua, ila labda wanaogopa kupambana na Mzee Ndesamburo.
 
Hiki ndicho nachoongelea hapa, tukianza kuongelea mambo ya udini na ukabila ndani ya vyama, tutashindwa kujadili mambo muhimu ya maendeleo ya nchi yetu.

Ni makosa kusema kuwa ccm kuna udini kama vile ilivyo makosa kusema kuwa chadema kuna kabila eti kwa vile viongozi au wabunge ni wa kabila au dini fulani.

Tunacheza kwenye mchezo ambao wazungu waliutumia kututawala - divide and rule.
 
Akisema hivyo kuna makosa?

Wewe unaonaje?

Mimi binafsi sioni kama kuna makosa akisema hivyo kwa kadri ambavyo hasemi kuwa yeye ni bora kuliko wengine.

Kwani ukisema tu yuo are proud to be African ukaishia hapo kuna tabu gani?
Pale ulipoendelezea DARKED SKINNED NDIYO A LITTLE TOO FAR KAMA KWELI YOU ARE TALKING ABOUT AFRICANS.
 
Kwani ukisema tu yuo are proud to be African ukaishia hapo kuna tabu gani?
Pale ulipoendelezea DARKED SKINNED NDIYO A LITTLE TOO FAR KAMA KWELI YOU ARE TALKING ABOUT AFRICANS.

Is it wrong to describe myself as a dark skinned African? If yes, why and what?
 
MJJ aanalyse uchaguzi au uteuzi wao, asitujie tu na statement za ki-pr - school kwa vile eti 65% ni wa dini moja wakati huo huo, dini ziko karibu 50% - 50% kwenye population ya TZ bara na 98% dini moja in ZNZ. Alikuwa wapi kwenye analysis ya ukabila ndani ya CHADEMA ambao ni obvious?

Ingekuwa vizuri sana kama wewe ungetoa analysis yako ili kuonyesha udhaifu wa hoja ya Mwanakijiji, badala ya kutoa lawama tu. Mtu makini katika kutoa hoja hukosoa hoja kwa kuonyesha hoja mbadala.
 
Mwanakijiji,
Mkuu imekuwa vipi hadi umenzisha mada kama hii?..Ilikuwa ktk kupima ujinga wa watu au kitu gani haswa?...
Haya nambieni katika hiyo list kuna wanawake wangapi?.. Je, CCM ni chama cha wanaume?

good observation... nataka nione jinsi gani watu wana reason given mere statistical facts.... Labda atokee "Wangwe" ndani ya CCM akasema hivi bila ya shaka tutaangalia kwa ukaribu. Mkandara.. you are confirming my point.
 
Hiki ndicho nachoongelea hapa, tukianza kuongelea mambo ya udini na ukabila ndani ya vyama, tutashindwa kujadili mambo muhimu ya maendeleo ya nchi yetu.

Ni makosa kusema kuwa ccm kuna udini kama vile ilivyo makosa kusema kuwa chadema kuna kabila eti kwa vile viongozi au wabunge ni wa kabila au dini fulani.

Tunacheza kwenye mchezo ambao wazungu waliutumia kututawala - divide and rule.

mwafrika you should have come out kwenye ile mada ya Wangwe to make search an observation. Kinachonishangaza ni kuwa kuguswa CCM imekuwa different standard kwanini haiwezekani kufikiri kuna Udini CCM?
 
Mkuu Mgaya,
Naiweka tena ili uweze ku-kompare na ya kwako maana nafikiri uliipenda sana. The bottom line ni kuwa CCM, a grand party, hawakuchaguana kutokana na udini. Lakini ni wazi kabisa kutokana na maelezo tuliyopewa, kamchezo ka kiukabila au who knows who kalitumika ndani ya CHADEMA.

Umejuaje hawakuchaguana kwa misingi ya Udini?

[
 
good observation... nataka nione jinsi gani watu wana reason given mere statistical facts.... Labda atokee "Wangwe" ndani ya CCM akasema hivi bila ya shaka tutaangalia kwa ukaribu. Mkandara.. you are confirming my point.

Basi mkuu MJJ, badilisha heading ili iwe sasa CCM ni chama cha mababa. Naona udini sasa imeshindikana.
 
cccm Sio kwamba tu ina udini mwanakijiji....NI MAFISADI PIA!
SASA KUNA KAMBI MBILI HAPA MI NAONA HAZINA MPANGO..ZENYE KUONA KUWA UDINI NA UKABILA NDIO UMESABABISHA UFISADI?
Kama thats the case...Then hakuna mmoja aliye msafi kati ya yule anayempigia kelele mwenzake kwa udini na huku na yeye akipigiwa kelele za ukabila!
Kelele zenu hizo hazina solution...SOLUTION HAPA NI HAKI...NA HAKI NI SHERIA AND VICE VERSA!
 
Akisema hivyo kuna makosa?

Wewe unaonaje?

Mimi binafsi sioni kama kuna makosa akisema hivyo kwa kadri ambavyo hasemi kuwa yeye ni bora kuliko wengine.

Ndio...atakuwa na makosa kama wewe ulivyo na makosa...Kwani mtiririko utaendelea na kuna wale watakaoanza kusema na sisi ni WAHAFIDHINA!
Ama na sisi ni Proud to be ALBINOS?
Description ndiyo mwanzo wa DHAMBI YA UBAGUZI AMBAYO HU SPREAD KAMA MOTO!
 
mwafrika you should have come out kwenye ile mada ya Wangwe to make search an observation. Kinachonishangaza ni kuwa kuguswa CCM imekuwa different standard kwanini haiwezekani kufikiri kuna Udini CCM?

Mwanakijiji,

This is the argument I am also trying to make here whilst expanding the scope of your question. By just looking at numbers and observations, anyone can say anything about anybody at anytime.

Do we have now to hire or choose incompetent leaders to balance tribes, sex or gender, regions, religion, etc? Why should we make it so big that 30 out of 38 or 5 out of 6 are people of the same group?

Can it happen that all are competent irrespective or their tribes or religions?
 
Hiki ndicho nachoongelea hapa, tukianza kuongelea mambo ya udini na ukabila ndani ya vyama, tutashindwa kujadili mambo muhimu ya maendeleo ya nchi yetu.

Ni makosa kusema kuwa ccm kuna udini kama vile ilivyo makosa kusema kuwa chadema kuna kabila eti kwa vile viongozi au wabunge ni wa kabila au dini fulani.

Tunacheza kwenye mchezo ambao wazungu waliutumia kututawala - divide and rule.

Mwafrica,
Sio kweli kuwa ni makosa kulalamikia udini au ukabila kama kweli umo katika ngaazi husika za uongozi, lakini ni uzushi na hatari kufanya hivyo kama haupo. Ndani ya CHADEMA ukabila ni suala la siku nyingi na ni kuwa tu hivi sasa limepata mpiganiaji mzuri. Udini ndani ya CCM haupo na wala hakuna statistical au any other analytical means ya kuonyesha kuwa upo.

Mwanakijiji alilileta hili kwa nia maalum ya kufanya watu wasiendelee kulikemea lile la ukabila ndani ya CHADEMA, and shame on him.
 
you can make that argument too.. as long as you look at the numbers.. you still don't get the point.

MJJ,
The numbers doesnt tell it all. It is how those numbers were achieved that matters. No religious consideration were assumed in CCM elections and simple statisticts reflects the population distribution in the country. But the issue of tribalism/regionalism in CHADEMA is obvisous as there is no explanation that can be given on why Kilimanjaros are dominant in certain apointed positions.
 
JK alipoingia Uraisini aliweka mkakati mkubwa sana wa kuweka uwiano kidini katika serikali yake huku Tanzania Bara ingawa in some ocassions alizidisha sana mpaka akawa anachemsha. What is wrong with Tanzania Visiwani ambako hakuna kitu kama icho (uwiano) na why wakristu wanabaguliwa katika ukuu wa idara nyeti na wizara za uko visiwani? Mimi naichukulia hii ni kama double standard iliyokubuhu.

Na wale waliokua wakipiga kelele miaka ya 90 wako wapi hivi sasa kukemea wenzao?
 
mwafrica,
sio Kweli Kuwa Ni Makosa Kulalamikia Udini Au Ukabila Kama Kweli Umo Katika Ngaazi Husika Za Uongozi, Lakini Ni Uzushi Na Hatari Kufanya Hivyo Kama Haupo. Ndani Ya Chadema Ukabila Ni Suala La Siku Nyingi Na Ni Kuwa Tu Hivi Sasa Limepata Mpiganiaji Mzuri. Udini Ndani Ya Ccm Haupo Na Wala Hakuna Statistical Au Any Other Analytical Means Ya Kuonyesha Kuwa Upo.

mwanakijiji Alilileta Hili Kwa Nia Maalum Ya Kufanya Watu Wasiendelee Kulikemea Lile La Ukabila Ndani Ya Chadema, And Shame On Him.

No...maoni Yangu Mimi Ni Wote..ccm na chadema wote wanaeneza propaganda za kibaguzi wa udini na ukabila... na sasa mjadala wa UFISADI HAKUNA!

Kama Ni Kweli Mnakwenda Kwa Statistics...basi Kila Mmoja Ana Claim Yenye Evidence Ya Ku Consider!

Na hapo ndiyo maana nika conclude kuwa hakuna safi kati yao base on the fact that one of them is either wakabila OR wadini!

Kwa Hiyo Basi Mjadala Uwe Wa Nani Ni Fisadi Ili Tupate Viongozi Bora Wasio Mafisadi Bila Kujali Dini Zao Wala Makabila Yao!

NI USHAURI TUUU.
 
Mwanakijiji,

This is the argument I am also trying to make here whilst expanding the scope of your question. By just looking at numbers and observations, anyone can say anything about anybody at anytime.

Do we have now to hire or choose incompetent leaders to balance tribes, sex or gender, regions, religion, etc? Why should we make it so big that 30 out of 38 or 5 out of 6 are people of the same group?

Can it happen that all are competent irrespective or their tribes or religions?

Does it mean only Kilimanjaros born or connected people are the good &competent leaders in CHADEMA?
 
Mwafrica,
Sio kweli kuwa ni makosa kulalamikia udini au ukabila kama kweli umo katika ngaazi husika za uongozi, lakini ni uzushi na hatari kufanya hivyo kama haupo. Ndani ya CHADEMA ukabila ni suala la siku nyingi na ni kuwa tu hivi sasa limepata mpiganiaji mzuri. Udini ndani ya CCM haupo na wala hakuna statistical au any other analytical means ya kuonyesha kuwa upo.

Mwanakijiji alilileta hili kwa nia maalum ya kufanya watu wasiendelee kulikemea lile la ukabila ndani ya CHADEMA, and shame on him.

So far, you are talking about the same thing, you cant accuse Chadema of tribalism and not do the same to CCM. The same standards you are using have been used by somebody else to show that 30 of 38 CCM CC members are muslims.

You have to equally blame both parties (if this really matters) if you want to make a point. Otherwise, you are just presenting yourself as a party zealot who will bend rules and issues to score a point. Shame on you and all who try to instill religious and tribalistic feelings into our minds.

CCM and CUF shouldnt be considered as islamic parties the same way as TLP and CHADEMA shouldnt be considered as tribalistic parties.
 
Does it mean only Kilimanjaros born or connected people are the good &competent leaders in CHADEMA?

Does it mean that only Muslims are the good and competent leaders in CCM?

Of course NOT.

It just happened that 30 out 38 CCM leaders are Muslim but this doesnt mean that only Muslims are capable of being good leaders in CCM. The same should be said of CUF, Chadema, etc.

Let us both look beyond tribes and religions when talking about our issues.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom