Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
okay, chadema chama cha wachaga, tlp chama cha wachaga; ai wachaga kwa siasa, karibu watachukua "nji", keleuwiiiii, ruwa mangi na m.....

Eeeh, hakuna kushangaa hapa, mpaka tuichukue nji yo, nji yote kweli....! Si hawa CHASAKA wamelala bwana, hakikisha pesa inarudi nyumbani ati mangi. Na pesa yote ikishafika pale K'njaro msee wangu, kinachofuata ni kila jimbo lijitegemee, kama chasaka watalima mchicha shauri lao hiyo sio biashara ye, biashara yetu kweli. Nafikiri tumeelewana wasee wangu! Ndiyo msee! Basi tuanze na Wangwe!
 
Umefumbwa fumbo.

Mwanakijiji anatumia lugha ya tasnifa.

Anataka kujenga hoja-kejeli kwamba kama Chadema kuna ukabila kwa sababu Chacha Wangwe kasema kuna Wachaga/Wapare watano kati ya sita basi hata CCM kuna udini kwa sababu wajumbe 25 kati ya 38 ni wa dini moja.

Tatizo la hoja-kejeli yake ni kwamba ame distort hoja ya Wangwe, kaitengeneza upya, halafu akaipa jina, Wangwe's Doctrine.

Wangwe hakusema anataka wajumbe waganywe sawa kwa sawa. 26 gawanya kwa sita haigawanyiki. Wangwe kauliza utakuwaje Watu 5 kati ya 6 watoke eneo moja.

Wangwe na wenzake hawakuwa na mikoa miwili tu ya kugawanya nafasi kama dini zilivyo, bali 26. Walikuwa na uwezo mkubwa wa kuzigawa.

Wangwe hakutumia kigezo hicho kimoja tu cha 5 baina ya 6, ila ni shutuma ambayo haikuanza na uchaguzi wa Wabunge wa 2005, na pia amedai hata madereva na wafagiaji CHADEMA ni wa eneo moja.

Mwanakijiji ame distort alichosema Wangwe.

Lakini Kuhani Mkuu mimi bado kuelewa vizuri haya mambo ya ccm vs chadema.
Ila hapo kwa chadema...Itakuwa vipi pesa ziende sawa kila mahali kama hakuna wanachama wa kutosha?
WANGWE yeye naye alitakiwa akijenge chama chake huko alikotokea na kuajiri kwa namna ile ile MBOWE aliyofanya!
Wote tumesha acknowledge kuwa kuna makosa ya kina MBOWE.
Hata hivyo bado kuna umuhimu wa kumake sure kuwa pale penye wanachama wengi waliopiga kura tena sana sana za ubunge na urais...Huko ndiko kwa kuendelea kupewa kipa umbele!
Sasa kama huko kwa WANGWE anakodai kuwa hakujapelekwa pesa na halafu hata hakuna wapiga kura wengi kama ilivyo kwa huko pesa zinapokwenda...Then haita make sense kulalamika kuwa pesa zinapelekwa sehemu flani flani kwa sababu tu ya ukabila.
 
Anachofanya mama hapa ni kusema yaliyosemwa na wengine (sio mama) kuwa chadema ni chama cha kikabila. Inawezekana mama halijui hilo kabila ila wewe unaweza kuwa unalijua na ukalitaja hapa kwa msaada wa wanajamvi wote.

Kanuni ile ile inayotumika kuviita hivi vyama vingine kuwa ni vya kikabila au kidini ndio hiyo hiyo inatumika kukiita ccm kama chama cha kidini.

ameshanijibu hapo juu, cha wachaga! chasaka hamna lenu!
 
Friends... I am making a very serious point here... na sijasema mimi naamini nini.. nimehoji tu? Ukiacha jazba na emotions na kurudi na kusoma pole pole nilichoandika you might get what I'm trying to say. Ila kama hutaweza kukipata nikipata nafasi nitakifafanua. Nachagua maneno yangu vizuri na hata kichwa cha habari kiko kwa makusudi.

Kwa level yako ya uandishi, HUU NI UZUSHI tena MBAYA SANA. Kama ungetaka kujadili 65% ya wajumbe kuwa dini moja, jadili lakini sio kutoa blind statement kwenye chama ambacho kinatawala na chenye nguvu kubwa kwa kila kinachoendelea nchini.

TUACHE UZUSHI KWENYE MAMBO YA UDINI UNLESS KUNA PROOF. 65% SIO PROOF KAMA DINI ZENYEWE NI 50% - 50% TANZANIA BARA NA OVER 95%VISIWANI.

MWANAKIJIJI UMECHEMSHA PERIOD!!!!
 
Mama,

Hapa pia kuna Mtu wa Pwani, kada mpinzani, Kubwajinga, zemarcopolo, kibunango, masatu, FMES, na wengine wengi tu ambao ni wanaccm. Itakuwa ni makosa kutumia majina machache ya wanaofikiriwa kuwa upinzani kusema kuwa JF ni branch ya Chadema bila kujali kuwa kuna wanaJF humu ambao ni wana ccm.

JF haina chama ila wanachama wa JF wapo wenye vyama na wapo wengi ambao hawana vyama vyovyote vile.

I'm the happiest man in this group (bold)
 
Eeeh, hakuna kushangaa hapa, mpaka tuichukue nji yo, nji yote kweli....! Si hawa CHASAKA wamelala bwana, hakikisha pesa inarudi nyumbani ati mangi. Na pesa yote ikishafika pale K'njaro msee wangu, kinachofuata ni kila jimbo lijitegemee, kama chasaka watalima mchicha shauri lao hiyo sio biashara ye, biashara yetu kweli. Nafikiri tumeelewana wasee wangu! Ndiyo msee! Basi tuanze na Wangwe!

he he he he heeeeeeeeeeee, hahahahhahahahhaaaaaaaa, kwi kwi kwi kwiiiii, Peasant, kwa kweli nimecheka sana ee.

na msee namwacha aende tu huko chadema, ila krismas lasima aniletee kitenge na gauni ya dukani eeh.

Chadema ikipata urais eeh, cha kwansa ni kuchukua pesa palle benki kubwa, Mushi si ndio meneja pallllee eeh, na baada ya hapo ni kununua stout ya kubeba majani ya ng'ombe mbeeee.

Ikulu itahamia pale shanti town eeeh, yaani kiboriloni kutajengwa mall wa wausa mitumba wote, wausa kiti moto, kisusio na mbusi choma wote watajifinjari huko, hakuna mambo ya fioski tena.
 
Hapa no body give a damn about siasa zenu za vyama!
Kwanza wengine mmetumwa na mafisadi nini?
Maana naona badala ya kujadili issues watu ni udini na ukabila!
Yani zile issues za kina MKAPA NA CHENGE ZA UKABILA NA SASA UDINI ndio zimeingizwa rasmi hapa jf...
NGOJA NIKAFUFUE ILE THREAD YANGU YA MAFISADI!
 
Umefumbwa fumbo.

Mwanakijiji anatumia lugha ya tasnifa.

Anataka kujenga hoja-kejeli kwamba kama Chadema kuna ukabila kwa sababu Chacha Wangwe kasema kuna Wachaga/Wapare watano kati ya sita basi hata CCM kuna udini kwa sababu wajumbe 25 kati ya 38 ni wa dini moja.

Tatizo la hoja-kejeli yake ni kwamba ame distort hoja ya Wangwe, kaitengeneza upya, halafu akaipa jina, Wangwe's Doctrine.

Wangwe hakusema anataka wajumbe waganywe sawa kwa sawa. 6 gawanya kwa 26 haigawanyiki. Wangwe kauliza utakuwaje Watu 5 kati ya 6 watoke eneo moja.

Wangwe na wenzake hawakuwa na mikoa miwili tu ya kugawanya nafasi kama dini zilivyo, bali 26. Walikuwa na uwezo mkubwa wa kuzigawa.

Wangwe hakutumia kigezo hicho kimoja tu cha 5 baina ya 6, ila ni shutuma ambayo haikuanza na uchaguzi wa Wabunge wa 2005, na pia amedai hata madereva na wafagiaji CHADEMA ni wa eneo moja.

Mwanakijiji ame distort alichosema Wangwe.

Ndio maana nilimshauri aachane na polical bias yake towards CHADEMA kwenye reporting zake kama anataka kuwa mwandishi wa habari, unless kama MJJ ndio Rush Limbaugh wa CHADEMA.
 
Eeeh, hakuna kushangaa hapa, mpaka tuichukue nji yo, nji yote kweli....! Si hawa CHASAKA wamelala bwana, hakikisha pesa inarudi nyumbani ati mangi. Na pesa yote ikishafika pale K'njaro msee wangu, kinachofuata ni kila jimbo lijitegemee, kama chasaka watalima mchicha shauri lao hiyo sio biashara ye, biashara yetu kweli. Nafikiri tumeelewana wasee wangu! Ndiyo msee! Basi tuanze na Wangwe!

Hii imetulia sana
asee yesu na maria hakuan kulala mpaka kieleweke
 
Umefumbwa fumbo.

Mwanakijiji anatumia lugha ya tasnifa.

Anataka kujenga hoja-kejeli kwamba kama Chadema kuna ukabila kwa sababu Chacha Wangwe kasema kuna Wachaga/Wapare watano kati ya sita basi hata CCM kuna udini kwa sababu wajumbe 25 kati ya 38 ni wa dini moja.

Nilifikiri utanipata, hapana hujanipata..sijajenga hoja kwa misingi hiyo.

Tatizo la hoja-kejeli yake ni kwamba ame distort hoja ya Wangwe, kaitengeneza upya, halafu akaipa jina, Wangwe's Doctrine.

Ninachokiita ni Wangwe Doctrine ni ile inayotokana na kuangalia wingi na mahali wanapotoka watu na kuhitimisha ukiwakuwa wengi mahali pamoja ni ukabila, miye nimejaribu kuongeza kuwa ni udini. Hoja ya Wangwe inasimama kwenye wingi na mahali watu wanapotoka period. Ukiikubali hiyo, hauna budi kukubali udini wa Kamati Kuu ya CCM.

Wangwe hakusema anataka wajumbe waganywe sawa kwa sawa. 6 gawanya kwa 26 haigawanyiki. Wangwe kauliza utakuwaje Watu 5 kati ya 6 watoke eneo moja.

Wrong.. angesema hivyo angeuliza a legitimate question ambalo angetafuta jawabu lake. Utaona kuwa mimi sikuliuliza hilo swali hapa pia kwa sababu nikiliuliza jibu lake lita invalidate hoja ya udini au ukabila. Wangwe angeuliza "jinsi gani"... he would have been a problem solver. Yeye kasema "kuna".

Wangwe na wenzake hawakuwa na mikoa miwili tu ya kugawanya nafasi kama dini zilivyo, bali 26. Walikuwa na uwezo mkubwa wa kuzigawa.

Wangwe hakutumia kigezo hicho kimoja tu cha 5 baina ya 6, ila ni shutuma ambayo haikuanza na uchaguzi wa Wabunge wa 2005, na pia amedai hata madereva na wafagiaji CHADEMA ni wa eneo moja.

Yes still based on wingi! kitu ambacho tukiuliza ni wafanyakazi wa ngapi wa Jimbo la Katoliki la Dar ni wakristu tutashangaa, au tukijaribu kuangalia vyama vingine vikoje. You always have to have a comperable quantity to render your conclusion valid. Kwenye research una kile kitu ambacho unatumia kupima your thesis/theory. Ukisema kati ya 100 ishirini waliopewa dawa walipona, then you have to have something to compare with. Ukisema ati wafigiaji na wahudumu ni watu wa kutoka Kilimanjaro, tupe figa, taja majina, and then tukompee na sehemu nyingine then hoja yako inaweza kusimama au kuanguka.

Mwanakijiji ame distort alichosema Wangwe.

No sir.. you are distorting what I said. And that is a pity.
 
Mkuu Mwenzangu MMJ,

Heshima mbele, hii topic inaonekana kama ni swali sidhani kama ni hukumu tayari, kwa sababu kama ninaielewa vizuri ni swali tu ambalo jibu lake sio gumu kuwa kamati kuu ya CCM, hiajwahi kuwa na udini,

Tunachojua ni kwamba Mwalimu alikuwa Mkristo, akamuachia rais Mu-Islam, matokeo yake wananchi tukajenga hisia kuwa sasa urais unakuwa ni kwa zamu, yaani this time ni mkristo next time ni Mu-Islam,

CCM ina matatizo yake ya uongozi, lakini la udini ndani ya cc licha tu haya majina mengi ya wajumbe wa-Islam, bado ni weak argument sana kuhitimishwa unless una lako jambo ambalo hujalisema wazi hapa!
 
Lakini Kuhani Mkuu mimi bado kuelewa vizuri haya mambo ya ccm vs chadema.
Ila hapo kwa chadema...Itakuwa vipi pesa ziende sawa kila mahali kama hakuna wanachama wa kutosha?
WANGWE yeye naye alitakiwa akijenge chama chake huko alikotokea na kuajiri kwa namna ile ile MBOWE aliyofanya!
Wote tumesha acknowledge kuwa kuna makosa ya kina MBOWE.
Hata hivyo bado kuna umuhimu wa kumake sure kuwa pale penye wanachama wengi waliopiga kura tena sana sana za ubunge na urais...Huko ndiko kwa kuendelea kupewa kipa umbele!
Sasa kama huko kwa WANGWE anakodai kuwa hakujapelekwa pesa na halafu hata hakuna wapiga kura wengi kama ilivyo kwa huko pesa zinapokwenda...Then haita make sense kulalamika kuwa pesa zinapelekwa sehemu flani flani kwa sababu tu ya ukabila.

kasikilize vizuri nini kiliongelewa sio kubadirisha yaliyomo.
 
hapa wanaodominate hii terittory ni hao chadema, na hao uliwataja wakiwa humu wanaitwa wapinzani vidume??!! tena umemsahau masaka, kijana yule sijui anavuta nini, tena saa ingine sio kuvuta...waweza fikiri kapuliziwa. Katika sentensi zake inayonifurahisha ni ile ya kidumu chama cha mapinduzi, kwi kwi kwi kwiii, tena ukiisema hiyo kwa tone ya karume, mie mbavu sina hahahahaaaaa

Kwa ndogo ndogo nilizopata ni kwamba Masaka ni user name ya babu yetu Makamba! Kwa angalia sana Mama, usijetumiwa "vijiunga" online! Na wao wanafanya research na kuadvance science yao, be careful.
 
KATIKA kauli ambazo zitawashitua watawala, Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba, amesema nchi ina viongozi dhaifu, umma unanyonywa, rushwa imeongezeka, wezi wa fedha za EPA waanikwe na Rais Msitaafu, Benjamin Mkapa akajibu tuhuma zake mahakamani.
Katika mahojiano maalumu na Raia Mwema, Warioba amesema kuna dalili ya kuwapo watu wakubwa nyuma ya kashfa ya fedha zilizopotea katika sakata la EPA na kwamba yaliyotokea ni wizi wa hali ya juu na baadhi wameghushi na kwamba hatua za kisheria ni lazima zichukue mkondo wake.

26.jpg

JAJI Warioba

“Niliyosoma hasa kutokana na taarifa ile ya Serikali, ukiisoma kwa makini unaona kuwa haukuwa ununuzi wa madeni, huo ulikuwa ni wizi wa fedha za umma,” anasema Jaji Warioba.
Anasema kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, baadhi ya madeni si madeni bali kuna watu wametumia ulaghai kuchukua madeni ambayo yamekwisha kulipwa na wao kufanya udanganyifu kuyadai.
“Wapo ambao wamefanya hivyo kwa kughushi. Sasa kuna makosa mawili hapo. Wizi na kughushi, ni makosa mazito, na kama nilivyosema wakati ule ilipotoka mara ya kwanza, ukiona makampuni ambayo yametajwa si makampuni makubwa na mengi yake yaliundwa kwa kazi hii tu,” alisema katika mahojiano ambayo sehemu yake ya kwanza imechapishwa katika kurasa za 12 na 13 za toleo hili.
Akionyesha kuwapo kwa watu wakubwa nyuma ya wizi wa fedha za EPA, Warioba anasema biashara ya kununua madeni inataka mtu mwenye fedha na mwenye ujuzi wa biashara hiyo lakini makampuni yaliyoorodheshwa na serikali mengi yanamilikiwa na watu wa kawaida kabisa wasio na uwezo huo.
“Kampuni hizi ni ndogo, watu wenye kampuni hizi wameandikwa watu wenye majina ya kawaida. Kwa mtu yeyote mwenye busara atajua hii ni hadaa tu. Wanaoshughulika hawakujiandika kwenye kampuni hizi, wamechukua watu wengine tu. Kwa hiyo, kuna kazi, kuna kazi ya kuwatafuta hawa wazito waliokuwa wanahusika. Na kama ni wazito na wameingia katika wizi wa mali ya Taifa na kughushi, suala hili ni zito kuliko tunavyoliona,” anasema na kuongeza;
“Mimi naamini kama kweli tunaishughulikia kwa nguvu zote, EPA ni kubwa kuliko Richmond, kuliko haya yaliyotokea. Kwa hiyo tutangojea matokeo. Na hapa kwa kuwa walau ushahidi wa kawaida upo, taarifa zinasema zile nyaraka zilizowezesha madeni hayo kununuliwa ni za kughushi, basi unaanzia hapo. Ukihakikisha kwamba ni za kughushi, kwamba haya madeni hayakuwapo, ukithibitisha kwamba hili deni halikuwapo sasa huyo aliyechukua fedha hizo alitumia wapi?”
Alisema akiwa kama raia mwema wa Tanzania anasubiri kwa makini kuona matokeo ya EPA, na kuongeza kwamba kama kweli nia ya kusafisha ipo, ni lazima waliofanya makosa wapatikane na kushughulikiwa na si wale waliotangulizwa.
“Mimi sijui utaratibu wanaotumia. Lakini kwa utaratibu wa kawaida, mimi nilikuwa Mwanasheria Mkuu wa nchi, kwa suala hili la jinai unalishughulikia linakwenda mahakamani. Adhabu inatolewa pamoja na kurudisha hizo fedha, hilo ndilo nalitarajia,” anasema.
Anasema kwa kawaida hatua za kisheria ni lazima zichukuliwe na kwamba unapokwenda mahakamani unaweza kutumia sheria kurudisha fedha zilizoibwa hata ikibidi kufilisi wahusika.
Hivi karibuni timu iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kushughulikia waliochukua fedha za EPA ilieleza wazi kwamba imekua ikipokea fedha kutoka kwa watuhumiwa kwa kile kilichoelezwa kwamba ni kuepuka kupoteza fedha hizo huku wanaozirejesha wakiendelea kuwa siri.
Timu hiyo ya Rais inaongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, akisaidiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Saidi Mwema, na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hosea, wote wakisaidiwa na maofisa kutoka ofisi zao na kutoka asasi nyingine za umma.
Akizungumzia kitendo cha viongozi hao wa juu wa dola kufanya mazungumzo na watuhumiwa, Jaji Warioba anasema; “Kwamba hawa ndio kweli viongozi wa ngazi ya juu wa vyombo vya dola vinavyoshughulika na uhalifu wanafanya kazi hiyo. Imani yangu ni kwamba hawatapinda sheria. Wakipinda sheria tutakuwa tumeleta madhara makubwa sana kwa nchi hii. Kwa sababu wananchi lazima kwa upande wa sheria waamini ofisi ya Mwanasheria Mkuu, ni lazima waamini ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, lazima waamini ofisi ya TAKUKURU.”
Warioba anasema watendaji hao wa dola wakipinda sheria, imani ya wananchi itapungua na hivyo ni jukumu lao ni kubwa, na kwamba yeye ana imani kwamba hawatapinda sheria.
Akizungumzia hali ya kisiasa ya nchi kutokana na kukwama kwa mambo mengi ikiwamo muafaka wa kisiasa Zanzibar na kuibuka kwa wimbi kubwa la tuhuma za ufisadi, Jaji Warioba anaonekana kutokua na imani na hali hiyo na anakiri kuwapo kwa udhaifu katika uongozi wa juu wa kitaifa.
“Kama nilivyosema, kila mtu ni kuzungumzia ufisadi, hata mafisadi wenyewe, maana ukiona wote hawa wanaozungumzia, huwezi kusema ni watu safi, pamoja na vyombo vya habari, navyo haviwezi kujisifu. Wengine wanaoandika juu ya ufisadi ndio hao hao waliokuwa wakichukua fedha za hawa, wanawaandika kuwa ni wazuri wakati wa uchaguzi. Walikuwa wakiwapamba. Kwa hiyo kuna wengine ni unafiki tu, ama ni ufisadi na wenyewe,” anasema.
Warioba anapongeza juhudi zinazofanywa na vyombo vya habari na wabunge katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi lakini anaonya vita hiyo isitumike kufunika madhambi yaw engine ama kuwaumiza baadhi yao.
“Sina hakika kama wote wamezinduka hivi. Jana walikuwa wanasema hakuna rushwa, hakuna ufisadi. Leo ndiyo wako msitari wa mbele wanatafuta mafisadi na ukiangalia zaidi ni viongozi. Na hasa wabunge ndio wanaongoza vita hii. Ni vizuri Bunge liongoze lakini je, tunawaamini wote? Kwamba nia yao hasa ni kumaliza ufisadi au kuna sababu nyingine?
“Ikifika mahali tuwaulize hawa ambao sasa wanaonekana wana uchungu sana na ufisadi. Mwaka 2005 tuliona yaliyotokea. Hivi ni wangapi ambao wako safi? Mwananchi akimwuliza mbunge wake, na hii inawezekana kwa zaidi ya nusu ya wabunge, kwamba mbona wewe ulikuja na fedha nyingi sana kwenye uchaguzi na wewe si tajiri, ulizipata wapi?” anahoji Jaji Warioba.
Anasema wamo wengi ambao ni sehemu ya uongozi, na hivyo isije tokea mapambano ndani ya uongozi yakageuzwa kuwa ni vita ya kweli kumaliza ufisadi.
“Mimi nataka niwe na uhakika tukifika mwaka 2010 tuweze kuchagua viongozi safi, tusipate viongozi ambao katika mchakato wa uchaguzi watakwenda na takrima kwa sababu kama wanakwenda na takrima wamezipata fedha hizo kwa ufisadi,” anasema.
Akizungumzia muafaka kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF), Jaji Wariona anasema tatizo kubwa ni mgawanyiko katika uongozi. Anasema wapo ambao hawataki muafaka wanaona njia ni kusema tupate maoni ya wananchi wakitarajia kwamba wananchi watakataa.

Kuhusu wanaotishia kurejea kwenye Afro Shirazi Party (ASP) kuliko kuingia katika Muafaka na CUF, Warioba anasema hivyo ni vitisho visivyo na maana katika mazingira ya sasa kwani hata wakiachwa hawana uwezo huo na kwamba tatizo kubwa ni udhaifu wa viongozi.
“Zaidi wanaosema warudi ASP ni watu wa Zanzibar, lakini nadhani pia kuna udhaifu katika viongozi Bara. Wakiisha kusikia madai hayo ya ASP, wanasema jamani waachieni mambo yao! Lakini haya si mambo yao, ni mambo ya nchi. Zanzibar ni sehemu ya Tanzania, likitokea tatizo Zanzibar ni tatizo la Tanzania. Hawa wanaosema waachieni haya ni mambo yao ni viongozi dhaifu,” anasema na kuongeza;
“Hilo ni suala muhimu, hapo ndipo uongozi unapohitajika. Huwezi kukwepa. Uongozi kazi yake ni kuamua mambo mazito, na wakati wote unaweza kuwa na wasiwasi, lakini unaamua kwa maslahi ya taifa. Hata kama katika kuamua huko unahisi kuwa kuna baadhi watakulaumu. Usiogope lawama, dira yako iwe kuwa hii ni kwa manufaa taifa ama hapana. Manufaa ya Taifa sasa hivi ni kumaliza mpasuko wa Zanzibar. Lolote linalohitajika kumaliza mpasuko huo ni vizuri viongozi wakachukua uamuzi, utakuwa ni mgumu lakini ni wajibu wao kuchukua uamuzi.”
Pamoja na kuonekana kukwepa kumshutumu Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Warioba anasema kinga waliyonayo viongozi akiwamo rais ni ya kisiasa tu, na hivyo kwake yeye suala la kinga ya kisheria si tatizo bali ukweli na uhakika wa tuhuma zinazomgusa kiongozi husika na kwamba ni mahakama inayoweza kutoa uamuzi wa haki.
“Nimeona wanaandika na nimeona mjadala mkubwa tu unaolenga kwenye immunity. Mimi nafikiri suala hilo si la msingi kwa sasa hivi. Na mjadala unalenga kwamba aseme, naona si la msingi. Kwa sababu hatutaki kwamba huyu awe tried na vyombo vya habari. Maana hapa naona kama ni trial kwenye vyombo vya habari.
“Waseme ni kosa gani, amefanya kwa msingi wa sheria gani, sasa waendelee. Sasa mengi wanayosema ni ya kisiasa. Yakisemwa ya kisiasa unataka mtu awajibike kisiasa. Kama ni kosa la jinai, waseme amevunja wapi sheria, lakini kusema kweli mimi sioni kwa vyombo vya habari kusema yote haya na wanachotaka ni kwamba ajitetee, ajitetee wao ndio wamekuwa Mahakama?” anahoji Jaji Warioba ambaye amewahi kufanya kazi kwa karibu na Mkapa.
Warioba anasema vyombo vya habari vinataka kuwa Mahakama na akashauri kwamba kama kuna kosa alilofanya Mkapa ni vyema wakasubiri afikishwe mahakamani ambako atakuwa na nafasi ya kujitetea na kueleza upande wake.
“Immunity nasema sasa hivi siyo issue. Sema kosa lililotendeka. Anashitakiwa lakini wanasema hatuwezi kuendelea kwa sababu kuna immunity. Bila kusema kosa huwezi kufika kwenye immunity. Huwezi kuanza na immunity bila kuwa na kosa, kwa hiyo mimi sitaki kujiingiza katika mjadala wa immunity. Hii ni ya kisiasa tu,” anasema
 
Sasa Tuache Siasa...mafisadi Wana Kinga Ya Kisiasa Na Si Kisheria...mbona Mnaiabisha Jf Na Mnajuwa Wako Hapa?
 
Eeeh, hakuna kushangaa hapa, mpaka tuichukue nji yo, nji yote kweli....! Si hawa CHASAKA wamelala bwana, hakikisha pesa inarudi nyumbani ati mangi. Na pesa yote ikishafika pale K'njaro msee wangu, kinachofuata ni kila jimbo lijitegemee, kama chasaka watalima mchicha shauri lao hiyo sio biashara ye, biashara yetu kweli. Nafikiri tumeelewana wasee wangu! Ndiyo msee! Basi tuanze na Wangwe!

Mhhhhhh! I hope sio kweli.............!!!!
 
Kwa ndogo ndogo nilizopata ni kwamba Masaka ni user name ya babu yetu Makamba! Kwa angalia sana Mama, usijetumiwa "vijiunga" online! Na wao wanafanya research na kuadvance science yao, be careful.

aaah wapi, makamba na spidi ile ya masaka, hata siku moja. Masaka kiboko kwi kwi kwiiii, labda awe na ukoo na Mak .
 
Nilifikiri utanipata, hapana hujanipata..sijajenga hoja kwa misingi hiyo.

Ninachokiita ni Wangwe Doctrine ni ile inayotokana na kuangalia wingi na mahali wanapotoka watu na kuhitimisha ukiwakuwa wengi mahali pamoja ni ukabila, miye nimejaribu kuongeza kuwa ni udini. Hoja ya Wangwe inasimama kwenye wingi na mahali watu wanapotoka period. Ukiikubali hiyo, hauna budi kukubali udini wa Kamati Kuu ya CCM.

Wrong.. angesema hivyo angeuliza a legitimate question ambalo angetafuta jawabu lake. Utaona kuwa mimi sikuliuliza hilo swali hapa pia kwa sababu nikiliuliza jibu lake lita invalidate hoja ya udini au ukabila. Wangwe angeuliza "jinsi gani"... he would have been a problem solver. Yeye kasema "kuna".

Yes still based on wingi! kitu ambacho tukiuliza ni wafanyakazi wa ngapi wa Jimbo la Katoliki la Dar ni wakristu tutashangaa, au tukijaribu kuangalia vyama vingine vikoje. You always have to have a comperable quantity to render your conclusion valid. Kwenye research una kile kitu ambacho unatumia kupima your thesis/theory. Ukisema kati ya 100 ishirini waliopewa dawa walipona, then you have to have something to compare with. Ukisema ati wafigiaji na wahudumu ni watu wa kutoka Kilimanjaro, tupe figa, taja majina, and then tukompee na sehemu nyingine then hoja yako inaweza kusimama au kuanguka.

No sir.. you are distorting what I said. And that is a pity.

Wajumbe wa NEC wa CCM wanateuliwa ama wanachaguliwa ,nauliza nipate kufahamishwa tu ili mjadala ukorobwezeke.
 
Mkuu Mwenzangu MMJ,

Heshima mbele, hii topic inaonekana kama ni swali sidhani kama ni hukumu tayari, kwa sababu kama ninaielewa vizuri ni swali tu ambalo jibu lake sio gumu kuwa kamati kuu ya CCM, hiajwahi kuwa na udini,

Tunachojua ni kwamba Mwalimu alikuwa Mkristo, akamuachia rais Mu-Islam, matokeo yake wananchi tukajenga hisia kuwa sasa urais unakuwa ni kwa zamu, yaani this time ni mkristo next time ni Mu-Islam,

CCM ina matatizo yake ya uongozi, lakini la udini ndani ya cc licha tu haya majina mengi ya wajumbe wa-Islam, bado ni argument sana kuhitimishwa unless una lako jambo ambalo hujalisema wazi hapa!

mzee.. nitakuwa mtu wa mwisho kuamini mambo ya udini/ukabila.. I'm making a point here.
 
Sasa isn't that a grand example of upendeleo usio wa lazima. Iweje CCM Zanzibar ichangie asilimia 50 ya wajumbe wa NEC?

Population ya Bara 39 million na ya visiwani 1 millioni, Uwiano wa Wajumbe wa NEC toka bara na visiwani 50/50!!! Huku ni kuubembeleza Muungano kwa kila hali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom