Hahahaaa. Duuh.Hahaha nimekuelewa swaiba
wanaume waongo sana
Uzuri au ubaya sio kigezo, kuna vitu vingine vya msingi zaidi hutazamwa.Mwanaume anaoa mwanamke yeyote awe mzuri awe mbaya,
Hasa anapoitaji tunda tu, na si kwa malengo ya muda mrefumwanaume anasifia mwanamke yeyote awe mbaya au mzuri kwa hiyo msijipe vichwa kuwa mna kitu fulani cha thamani wakati si kweli hii ni njia tu ya
Alaa kumbewanaume washaona tuna akili ndogo,kila kitu kiwe na kiasi.
Hahaha kama mtu asipokuelewa swaiba basi kuelewa kwake kutakua kugumu sana.[emoji6]Hahahaaa. Duuh.
Unajuaga kunielewa Swahiba lol. Haya ahsante.
Mmh. Haya bana Swahiba.Hahaha kama mtu asipokuelewa swaiba basi kuelewa kwake kutakua kugumu sana.[emoji6]
Mhh! nawewe umekuwa mama ushauri sikuizHabari wana MMU,
Wanaume wengi wanajua udhaifu mkubwa wa wanawake ni sifa, wanawake wengi wanapenda kusifiwa au sifa kwa ujumla.
Sasa wanaume wengi hutumia hiki kigezo wanajua unapenda kusifiwa utamininiwa sifa ambazo kama una akili utashtuka mbona hapa napandishwa sana watakusifia sana ili wakupate tu na wanaume wanavyojua kusifia utajiona malikia wakati kuna wengine pia wanasifiwa hivyo hivyo kama wewe na kuna anaependwa zaidi anasifiwa kupitwa hata wewe na anajaliwa kuzidi wewe.
Wanaume wengi hutumia hii tekniki kuwapata wanawake kirahisi na wanawake wengi huingia kingi anakuja kushtuka jamaa ashakula na ashasepa, kwa hizo sifa unazopewa kwanini asikae na wewe au akadumu na wewe kama hizo sifa za kweli, wanaume waongo sana unakuta anasifia hata wanawake 100 kwa maneno yale yale Wanawake shtukeni sifa sio nzurii na jua kua hakuna mwanamke mzuri kwa mwanaume.
Mwanaume anaoa mwanamke yeyote awe mzuri awe mbaya,mwanaume anasifia mwanamke yeyote awe mbaya au mzuri kwa hiyo msijipe vichwa kuwa mna kitu fulani cha thamani wakati si kweli hii ni njia tu ya wanaume washaona tuna akili ndogo,kila kitu kiwe na kiasi.
Ukitaka kuamini angalia kuna wanawake wabaya tu hawavutii na wameolewa na wanaume wazuri tu , nina rafiki yangu mzuri kweli kila idara alidate na kaka mmoja hivi tukajua ataolewa na yule kaka cha ajabu mwanaume alimuacha bila sababu na akaenda chumbia mwanamke yaan mpaka unajiuliza mbona aliacha yule mwingine mzuri vile na mrembo shoga etu hakuamini basi yakapita mpaka leo yule kaka yupo na yule mwingine hata havutii.
Sifa zikizidi jua kuna kitu anakitaka kwako tu basi nawe utajiona queen wakati sio kweli kabisa wanajua udhaifu wetu kuwa tunapenda kusifiwa kukuzwa wakati moyoni anajua hapa hakuna kitu
maana kuna uzuri wa nje na wa ndani unavyo vyote?
SHTUKENI
Mrs G
usinilaumu mimi, unajua font yako Ina rangi za kufikirisha sana, rangi za condom Na rangi za chupiBujibuji asitutoe kwenye reli
HeheheKama unaliwa kwa kusifiwa wewe hujiamini kama sifa unazopewa zinakustahili na kwa maana hiyo acha uliwe tu
hahaha[emoji23][emoji23]Kuna quote ameniquote Na rangi nyingine ya chupi za kike, rangi ya njano
Kuna mke wa mtu nimemsifia hapa ofisini kwetu kuwa ana chura nzuri sasa hivi nasubiria kupewa tunda!![emoji53][emoji53][emoji53]
We dada una akili sana, nimevutiwa sana na wewe. unaonekana una busara sana umetulia umeandika vizuri na kupangilia hoja vizuri kabisa, lazima utakuwa mtu makini sana tena nahisi utakua mpole sana. Sikusifii ila ni mtazamo wangu usije ukaniweka kwenye kundi la wamwaga sifa.
Hapo kwenye kuoa Mwanamke asiyevutia umenigusa Mimi,Mwanamke niliyeoa haingii hata 10 bora ya wanawake niliodate nao kabla sijaoa.
Lakini hata nikipewa nafasi ya kuoa tena nitamuoa huyu huyu niliyenaye.
Nakumbuka one of my ex alilia sana Mimi kuoa Mwanamke asiyemuingia hata robo yake
Nimependa Avatar yako
Kwenye kuoa kama ukiruhusu akili ya kuangalia uzuri wa mwanamke ndio uoe lazima itakula kwako,tunachoangalia cha muhimu ni tabia ambayo wewe,watoto mtakaozaa,na jamii yote inayokuzunguka nikimaanisha mrafiki,ndugu n.k. mtafaidika...Hapo kwenye kuoa Mwanamke asiyevutia umenigusa Mimi,Mwanamke niliyeoa haingii hata 10 bora ya wanawake niliodate nao kabla sijaoa.
Lakini hata nikipewa nafasi ya kuoa tena nitamuoa huyu huyu niliyenaye.
Nakumbuka one of my ex alilia sana Mimi kuoa Mwanamke asiyemuingia hata robo yake
Upo sahihi sisi ni waongo na tukitaka kitu chetu kutoka kwenu tutapata tu.
Kama unaliwa kwa kusifiwa wewe hujiamini kama sifa unazopewa zinakustahili na kwa maana hiyo acha uliw
Kila mwanamke anasifiwa kwa urembo alionao sema sasa sifa zikizidi huponza kichwa