Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

Habari wana MMU,

Wanaume wengi wanajua udhaifu mkubwa wa wanawake ni sifa, wanawake wengi wanapenda kusifiwa au sifa kwa ujumla.

Sasa wanaume wengi hutumia hiki kigezo wanajua unapenda kusifiwa utamininiwa sifa ambazo kama una akili utashtuka mbona hapa napandishwa sana watakusifia sana ili wakupate tu na wanaume wanavyojua kusifia utajiona malikia wakati kuna wengine pia wanasifiwa hivyo hivyo kama wewe na kuna anaependwa zaidi anasifiwa kupitwa hata wewe na anajaliwa kuzidi wewe.

Wanaume wengi hutumia hii tekniki kuwapata wanawake kirahisi na wanawake wengi huingia kingi anakuja kushtuka jamaa ashakula na ashasepa, kwa hizo sifa unazopewa kwanini asikae na wewe au akadumu na wewe kama hizo sifa za kweli, wanaume waongo sana unakuta anasifia hata wanawake 100 kwa maneno yale yale Wanawake shtukeni sifa sio nzurii na jua kua hakuna mwanamke mzuri kwa mwanaume.

Mwanaume anaoa mwanamke yeyote awe mzuri awe mbaya,mwanaume anasifia mwanamke yeyote awe mbaya au mzuri kwa hiyo msijipe vichwa kuwa mna kitu fulani cha thamani wakati si kweli hii ni njia tu ya wanaume washaona tuna akili ndogo,kila kitu kiwe na kiasi.

Ukitaka kuamini angalia kuna wanawake wabaya tu hawavutii na wameolewa na wanaume wazuri tu , nina rafiki yangu mzuri kweli kila idara alidate na kaka mmoja hivi tukajua ataolewa na yule kaka cha ajabu mwanaume alimuacha bila sababu na akaenda chumbia mwanamke yaan mpaka unajiuliza mbona aliacha yule mwingine mzuri vile na mrembo shoga etu hakuamini basi yakapita mpaka leo yule kaka yupo na yule mwingine hata havutii.

Sifa zikizidi jua kuna kitu anakitaka kwako tu basi nawe utajiona queen wakati sio kweli kabisa wanajua udhaifu wetu kuwa tunapenda kusifiwa kukuzwa wakati moyoni anajua hapa hakuna kitu
maana kuna uzuri wa nje na wa ndani unavyo vyote?

SHTUKENI

Mrs G
we kwa vituko na hamu nikikupata nikukanyage mbele na nyuma
 
Mmh mbona Hilo liko wazi tu mama Sabrina.. na ukitaka umkose mwanamke bas wewe mpondee au mwambie awe mvumilivu ipo siku mtafanikiwa tu kimaisha.. wengi wenu mnapenda kuona mambo yameshaandaliwa yan kiufupi hampendi shida ndio maana njia rahisi ya kuwapata ni kuwadanganya hii ndio asili yenu tokea ulimwengu kuumbwa. Mnaamin sana uongo kulikoni ukweli...yaani mambo yote yaliharibikia pale kwenye bustan ya Eden mlipo kubali kuusikia na kuufuata uongo wa lile Joka.
 
Una mwandiko nzuri, hata huwa sichoki kusoma thread zako...Najua utakuwa mrembo km ulivyo uzuri wa mwandiko wako...
 
HIVI ILE NYIMBO YA DIAMOND NA OMARIO NI AFRICAN NINI TENA?
DWbW3ibVoAA23m3.jpg
 
Back
Top Bottom