Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

Hapo anasifia hata watu kumi au zaidi
Ndio halafu hta aibu hana mtu unkuta mwanumwe ana miaka 30 anasma hajawah kua na girl friend ndo ameanza kuvutiwa na ww kumbe ametelekza famlia yake kwakupnda kuchepuka yani hawa watachomwa hadi kope kwakuhadaa wanawake
 
Wanaume ni wa ajabu sana.. Mida mingine wao hawaangalii uzuri sijui sifa gani ulizonazo as long as umepatikana na imeingia kalale mbele

Cc Smart911
Yani cjui wapoje wanawaza kutembea hadi na vichaaa na pia utakuta anamsifia ili to amalze shida yake [emoji2] [emoji2]
 
Poleni sasa...

Ndiyo mlivyoumbwa lakini, kupenda kusifiwa kwa wingi...

Mimi nampenda mahondaw wangu toka moyoni na siyo kwa sifa alizokua nazo...

Ingawa nae daah anasifa zote...

Cc: mahondaw
Hahahahaha [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] Thanks smart wamimi
 
Hapo kwenye kuoa Mwanamke asiyevutia umenigusa Mimi,Mwanamke niliyeoa haingii hata 10 bora ya wanawake niliodate nao kabla sijaoa.
Lakini hata nikipewa nafasi ya kuoa tena nitamuoa huyu huyu niliyenaye.
Nakumbuka one of my ex alilia sana Mimi kuoa Mwanamke asiyemuingia hata robo yake
 
Duuuh ila mna roho mbay kuliko majmbazi kwann umpotezee muda mtu ukiwa huna malengo nae? Kuwen wakwel eti mtu ankwambia nkupnda kulko mama angu mzazi hlafu hyoyhyo baadae ankucha duu mungu awalaan wanaume Kwa dhambi hii haitawacha salama mbele ya mungu
 
Back
Top Bottom