Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

Mhh! nawewe umekuwa mama ushauri sikuiz

Ila mama Sabrina nilikuonaga mahali wewe ni mrembo..
Mtoto mashallah!
Ila hapa hautanielewa vizuri ngoja nije PM.

Sio mama ushauri naandika vitu wanaume mnavyotumia kutulaghai
pm pamefungwa ,hizo sifa sasa zidanganyiki
 
Ukweli rahisi usiloeweka kwa wanawake wengi.
1. kusifiwa
2. kupewa attention
3.kusikilizwa sana
4.kupewa hela na zawadi

MWANAUME HUWA ANAFANYA YOTE HAYA ILI AKUPATE TU
 
Habari wana MMU,

Wanaume wengi wanajua udhaifu mkubwa wa wanawake ni sifa, wanawake wengi wanapenda kusifiwa au sifa kwa ujumla.

Sasa wanaume wengi hutumia hiki kigezo wanajua unapenda kusifiwa utamininiwa sifa ambazo kama una akili utashtuka mbona hapa napandishwa sana watakusifia sana ili wakupate tu na wanaume wanavyojua kusifia utajiona malikia wakati kuna wengine pia wanasifiwa hivyo hivyo kama wewe na kuna anaependwa zaidi anasifiwa kupitwa hata wewe na anajaliwa kuzidi wewe.

Wanaume wengi hutumia hii tekniki kuwapata wanawake kirahisi na wanawake wengi huingia kingi anakuja kushtuka jamaa ashakula na ashasepa, kwa hizo sifa unazopewa kwanini asikae na wewe au akadumu na wewe kama hizo sifa za kweli, wanaume waongo sana unakuta anasifia hata wanawake 100 kwa maneno yale yale Wanawake shtukeni sifa sio nzurii na jua kua hakuna mwanamke mzuri kwa mwanaume.

Mwanaume anaoa mwanamke yeyote awe mzuri awe mbaya,mwanaume anasifia mwanamke yeyote awe mbaya au mzuri kwa hiyo msijipe vichwa kuwa mna kitu fulani cha thamani wakati si kweli hii ni njia tu ya wanaume washaona tuna akili ndogo,kila kitu kiwe na kiasi.

Ukitaka kuamini angalia kuna wanawake wabaya tu hawavutii na wameolewa na wanaume wazuri tu , nina rafiki yangu mzuri kweli kila idara alidate na kaka mmoja hivi tukajua ataolewa na yule kaka cha ajabu mwanaume alimuacha bila sababu na akaenda chumbia mwanamke yaan mpaka unajiuliza mbona aliacha yule mwingine mzuri vile na mrembo shoga etu hakuamini basi yakapita mpaka leo yule kaka yupo na yule mwingine hata havutii.

Sifa zikizidi jua kuna kitu anakitaka kwako tu basi nawe utajiona queen wakati sio kweli kabisa wanajua udhaifu wetu kuwa tunapenda kusifiwa kukuzwa wakati moyoni anajua hapa hakuna kitu
maana kuna uzuri wa nje na wa ndani unavyo vyote?

SHTUKENI

Mrs G
Sawa Dada mkuu wamekusikia naona
 
Kumsifia mwanamke ndio njia raisi ya kupunguza idadi ya mizinga

Tunajua kabisa kavaa wigi kafanana na kanjibay ukimwambia 'dada nywele zako nzuri' anakenuaa

Mwanamke mzur ni kama mnyama ndan ya hifadh hurusiw kumpeleka nyumban
 
Kwa sababu unaangalia vile vigezo huoi kwa sifa wala kwa kutaka watu waone umeoa kifaa kuna viti vya ziada anavyo mkeo wanasema kosea kuoa uone
Halafu huwezi amini alikataa kusex mpaka ndoa na nikakubali haya masharti na kukataa kuja kwangu kunipikia na kunifulia,wakati kuna wengine walinipa kila ninachohitaji na wala sikuwaza kuwaoa.
Sifurahii lakini naona kama ndoa anapanga Mungu ,maana yule Mungu aliyekupangia hata awe na mapungufu yapi utamuoa tu
 
Ulimkuta bikira?alikuwa na msimamo hiyo ya kupika na kufua kwa mpenzi tena hamuishi wote ni upuuzi mkubwa
 
Kumsifia mwanamke ndio njia raisi ya kupunguza idadi ya mizinga

Tunajua kabisa kavaa wigi kafanana na kanjibay ukimwambia 'dada nywele zako nzuri' anakenuaa

Mwanamke mzur ni kama mnyama ndan ya hifadh hurusiw kumpeleka nyumban

Ahhaahhahaha
 
Ulimkuta bikira?alikuwa na msimamo hiyo ya kupika na kufua kwa mpenzi tena hamuishi wote ni upuuzi mkubwa
Aliwahi kuja ghetto lakini alikataa katakata kuingia ndani ,kiufupi alikuwa na misimamo yake asiyoyumba.
Nikuchekeshe sasa ,kabla ya kuoa nilishalala na machangudoa ambiance zaidi ya sita,kiufupi nilikuwa kicheche ,lakini mshamba akanishika akili na nikaoa ,na kuniingiza kwenye ulokole na hatimaye nimemuoa na ninasali kanisani kwake.
Ndio maana nakwambia ndoa hazina formula
 
Haahahahahha uwiii huwezi jua Mungu alikuletea mke akubadilishe na akuepushe na vitu vingi ,safi sanaaa
 
Back
Top Bottom