mendex
Senior Member
- May 13, 2015
- 175
- 277
Aisee inabd nisome kupitia miwan ya juaPulizo la pink
hujaelewa au ndio unachenga jibu mada huko
Aisee inabd nisome kupitia miwan ya juaPulizo la pink
hujaelewa au ndio unachenga jibu mada huko
Pulizo la pink [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]. Nimekumbuka kitu cha pinkPulizo la pink
hujaelewa au ndio unachenga jibu mada huko
Jamani ebu toa hayo marangi khaaaaPulizo la pink
hujaelewa au ndio unachenga jibu mada huko
kama wew ulishtuka kausha tu maana ukiwatonya mapema yote hii ni mvua hii hapa dar tutanyimwa nyapu bureeeeeeeeHabari wana MMU
wanaume wengi wanajua udhaifu mkubwa wa wanawake ni sifa,wanawake wengi wanapenda kusifiwa au sifa kwa ujumla,sasa wanaume wengi hutumia hiki kigezo wanajua unapenda kusifiwa utamininiwa sifa ambazo kama una akili utashtuka mbona hapa napandishwa sana ,watakusifia sana ili wakupate tu na wanaume wanavyojua kusifia utajiona malikia wakati kuna wengine pia wanasifiwa hivyo hivyo kama wewe na kuna anaependwa zaidi anasifiwa kupitwa hata wewe na anajaliwa kuzidi wewe, wanaume wengi hutumia hii tekniki kuwapata wanawake kirahisi na wanawake wengi huingia kingi anakuja kushtuka jamaa ashakula na ashasepa,kwa hizo sifa unazopewa kwanini asikae na wewe au akadumu na wewe kama hizo sifa za kweli,wanaume waongo sana unakuta anasifia hata wanawake 100 kwa maneno yale yale Wanawake shtukeni sifa sio nzurii na jua kua hakuna mwanamke mzuri kwa mwanaume ,mwanaume anaoa mwanamke yeyote awe mzuri awe mbaya,mwanaume anasifia mwanamke yeyote awe mbaya au mzuri kwa hiyo msijipe vichwa kuwa mna kitu fulan cha thamani wakati si kweli hii ni njia tu ya wanaume washaona tuna akili ndogo ,kila kitu kiwe na kiasi
Ukitaka kuamini angalia kuna wanawake wabaya tu hawavutii na wameolewa na wanaume wazuri tu ,nina rafiki yangu mzuri kweli kila idara alidate na kaka mmoja hivi tukajua ataolewa na yule kaka cha ajabu mwanaume alimuacha bila sababu na akaenda chumbia mwanamke yaan mpaka unajiuliza mbona aliacha yule mwingine mzuri vile na mrembo shoga etu hakuamini basi yakapita mpaka leo yule kaka yupo na yule mwingine hata havutii ,sifa zikizidi jua kuna kitu anakitaka kwako tu basi nawe utajiona queen wakati sio kweli kabisa wanajua udhaifu wetu kuwa tunapenda kusifiwa kukuzwa wakati moyoni anajua hapa hakuna kitu
maana kuna uzuri wa nje na wa ndani unavyo vyote? SHTUKENI
Mrs G
Jamani ebu toa hayo marangi khaaaa
kama wew ulishtuka kausha tu maana ukiwatonya mapema yote hii ni mvua hii hapa dar tutanyimwa nyapu bureeeeeeee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]looh
Binamu andika mwandiko mweusiii
Wapo wanawake wanajisifia uzuri wao humu
Ahahahahahahahah poleOna sasa hadi umeniumiza macho na huo mwandiko wako
Kweli tena huu mbaya mada nzuri sana hiiHahahahahahahaah binam unaniua mbavy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahha,.lakini jamanii,.hivi kweli mdada unashindwa kutambua kama sifa zingine unazopewa ni danganya toto?? Kama kuliwa kwa kusifiwa tuu saa zingine basi wanataka wenyewe,..me sipendi kusifiwa kijinga jinga,."Dada una kope nzuriii nimezipendaa wakati zinaonekana kabisa kope za marehemu" na mdada naye mpaka jino LA 40 linaonekana kwa kusifiwa ujinga.
Nonsense!!!
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee watu mnajua kuchunguza, mpaka kope za marehemu[emoji2] [emoji2] [emoji119]
Hahahha,.lakini jamanii,.hivi kweli mdada unashindwa kutambua kama sifa zingine unazopewa ni danganya toto?? Kama kuliwa kwa kusifiwa tuu saa zingine basi wanataka wenyewe,..me sipendi kusifiwa kijinga jinga,."Dada una kope nzuriii nimezipendaa wakati zinaonekana kabisa kope za marehemu" na mdada naye mpaka jino LA 40 linaonekana kwa kusifiwa ujinga.
Nonsense!!!