Superleta
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 466
- 538
Nina wiki ya 4 sasa nasumbuliwa na maumivu ya mguu wa kushoto kuanzia kiunoni chini ya goti la kushoto mguuni panakua panakufa ganzi kabisa
Ninashindwa kuinama kabisa mfano kuokota kitu chini au kuinama nifunge kamba za viatu nashindwa
Nilienda hospital nikaishiwa kupewa pain killer tu hapa napata shida sana maana kuinama siwezi, pia hata kukaa baadhi ya mikao siwezi kama kukaa chini sakafuni nashindwa.
Chini miguuni panakufa ganzi nateseka sana nahisi sitokuja kupona maana hosptali niliishia kupewa pain killer tu
Sijui itakuaje huko mbeleni kuna ambaye amewahi kumbwa na tatizo kama langu?Nina miaka 26