Udanganyifu unaofanywa kwenye michezo ya kubahatisha na kamari

Mkuu umeeleza tu kuwa hii michezo ina udanganyifu mwingi basi ila hujadadavua huo udanganyifu unafanyikaje deeply in detail zaidi ya kusema wanacheza na computer,can you go more as you can as you did to the magicians?
Ww ushatahadharishwa usicheze utaibiwa pesa zako baasii, ukisema kila kitu hapa hao wenye michezo ya kubahatisha wanaweza kumshtaki kwa kuharibu biashara yao. Ww andika madhara ya coke cola hadharani uone kama watakuacha.
 
Mmeshinda 19 ila waliocheza nchi nzima walikua wangapi? Huoni kwamba idadi ya washindi ni negligible kama ukiweka idadi ya washiriki wote? Hatusemi Hakuna washindi, wenye bahati Kama wewe wapo na mnashinda ila waliolia ni wengi zaidi yenu.
Ule ni utabiri wa ushindi wa mechi kabla hazijachezwa mkuu tena ya wazi maana unapo tabiri unasubiri matokeo sidhani kama inawezekana kushinda wote kundi zima, nadhan kama unahitaji kujifunza jaribu kufuatilia sportbeting zinavyo fanya kazi ili ijiridhishe mkuu,

ni sawa na mtihani shulen swali moja lakin huyu atajibu hivi na mwingine atajibu vile na kati yao kuna aliye kosa na aliye pata , kuna tofauti kubwa sana kati ya sportbeting na kamari kama za kina BIKO na kina 3mzuka ambazo zimejificha jificha,

Labda nikufafanulie kidogo,, iko hivi kunaweza kukawa na mechi 8 mf, simba anacheza na mtibwa ,yanga anacheza na kagera sugar, mbeya city na mbao fc,njombe mji na lipuli fc,majimaji na prison, sasa wewe unatabiri katia ya mechi hizo nani atafungwa nani atatoa sare, nani atashinda na unaweza tabiri mechi nyingi zaid kwa siku hiyo kabla hazijachezwa

Baada ya hapo una subiri mechi zichezwe ili kujua ipi itashinda au kushindwa kutokana na utabiri wako ,Kama umetabiri sahihi kutokana na unavyo zijua timu,, na nakala ya kile ulicho tabiri na wewe unakuwa nayo si kwamba unatabiri halafu nakala ya utabiri wako hupewi,,

Baada ya hapo unasubiri kama matokeo uliyo tabiri yatakuwa sawa na matokeo ya uwanjan yaani dk90 baada ya mpira kuisha, nankama ulicho taniri ndiko kitakacho tekea basi umeshinda, na kama ulitabiri mechi nane na zote matokeo yametoka kama ulivyo tabiri basi unalipwa pesa yako maana matokeo hata wewe unakuwa nayo na unaona kabisa kwamba hapa simba kashinda mtibwa kashinda kama ulivyo tabiri, na haiwezekan wakaficha matokeo au kudanganya maana mechi zinacheza uwanjani na kila mtu anaona kinacho endelea na matokeo yako wazi sasa sijui wizi unayokea wapi hapo mkuu,

Hebu fanya kautafiti kidogo uone tofauti iliyopo kati ya hizo kamari za BIKO,3MZUKA NK tofautisha na sportbeting
 
OTE="mshana jr, post: 24035489, member: 98741"] vinahusiana pakubwa sana tatizo ni kwamba mnatofautiana makafara kati ya mmiliki mchezo na wewe mchezahi..
Yeye kafara lake ni sawa na engine ya train, wakati kafara lako si sawa na engine ya passo.. Utachomoka kweli hapo?[/QUOTE]
Ooh Kumbe ngoja niende nigeria maana uko nasikia huu upuuzi wa bahati nasibu haupo kabisa, maana kina igwe huwa wanaitegea kabisa kwaiyo ukiwa na michezo hii utaishia kuliwa tu pesa zako
 
Kushinda hata kwa kiwango cha mamilioni SIO TIJA, kamari ni ULEVI, wewe umeshinda vilaki kadhaa, je wengine? unajua athari kiasi imeshaleta. Ina athari za kisaikolojia za muda mrefu maishani mwako, haijalishi unashinda ama hushindi, haijalishi kama inahusisha michezo au ni kamari ya moja kwa moja, zote aina za kamari, mojawapo ya athari zake ni kukufanya uwe tegemezi wa kamari na kupunguza ufanisi na ubunifu wako katika shughuli za uzalishaji. Lakini pia inategemea na umri wako, kamari ni mbaya zaidi kwa vijana, inawajengea kitu kibaya sana akilini mwao, inaharibu akili zao, muda mwingi wanafika mahali wakidhani kwamba hawahitaji kuweka juhudi na ubunifu kuboresha maisha yao kwasababu watapata fedha kirahisi kwenye kamari. Ulevi wa kamari una athari hadi kwenye familia, kwamba fedha ambayo ingetumika kwenye matumuzi ya msingi ya ki familia inaishia kwenye kamari. Kamari inawafanya watu waamini kwamba wataweza kuyatatua mataizo yako ya kifedha kwa NJIA YA MKATO - KIRAHISI kwa kucheza kamari.
Hahahaaaa kamari za kipumbavu ni BIKO and Co. Lakini sportbeting ni wewe tu nanuwezo wako wa kutabiri mechi ambazo matokeo yake kila mtu anayaona ni sawa ma mtihani darasana nayo ni kamari tuu maana swali moja kila mtu anajibu kivyake na kati yao kuna watakao pata na watakao kosa , nisawa na kucheza kamari hata unapo toa sadaka kanisani ukiamin kuwa mungu atakurejeshea mara dufu nayo ni aina nyingine ya kamari ingawa mtabisha sana sana na ndio ukweli.
 
Ndo maana nmebaki tu kuiamini football betting.

Maana watu wanastruggle uwanjani na Matokeo nayaona.

Sio haya ya Bikol, au three mzuka.
Yaan mshindi anataftwa kwny faragha na kutangazwa hadharani
 
90f4ab52cded998746eb266330f79c9b.jpg
Hii ni Hatar..........
Nimecheka mpk kwikwi
 
Mkuu umenikumbusha cku moja niko o levo nakaribia kufungua shule nikapewa elfu tano nikanunua suruali ya kushindia sasa nmefika mnadani nikakutana na huo mchezo nikauangalia kama dakika mbilj ivi wakanishawishi kucheza wakisema nikipatia napata mara mbili ya ile buku tano.. mchezo ulikua ni wa biskuti tatu ... aisee zilivoanza kuchezeshwa nilitamani kulia wallah... sikuamini hela ilienda kwa dakika mbili tu... Sasa kuhusu suruali ilibidi nipite kwa mshkaj anipe yake nimuoneshe mzee kuwa nimenunua.. Niliapa kutosimama na kuangalia uo mchezo mpka leo..
 
Kamari za kipumbavu hizo sawa na biko, tatu mzuka and the like. Kamari zilizoenda shule ni za sports tu kama basket na michezo mingine. You predict the live outcomes and win as soon as the game ends.
 
Back
Top Bottom