Udanganyifu unaofanywa kwenye michezo ya kubahatisha na kamari

Mwaka 98 niliwah kucheza karata tatu nikawapiga sana mwisho wa siku wakanifukuza, nlivoondoka braza mmoja ambae mi sikujua kama anahusika akanifata akitaka nimrudishie pesa yake.. mi nlikua bado kachalii tu, nikatoka spidi km bolt...
Nlichojifunza wakat ule ni kwamba hawa jamaa ni wajanja sana wanakupamba uendelee kuweka pesa kisha akiona umeweka za kutosha anavogeuza ile karata huez amini, so, mi nlikua nagoma kuongeza nkawa nawala kidogo kidogo, yan nkiweka buku siongezi, kwa iyo namla buku yake, kisha nacheza tena buku.
 
we noma
 
kuna ile ya viberiti nyiti zina kuwa zimekatwa nayo watu walishapigwa sana
 
Huu ndo ukweli wenyewe. Hii ya kuitwa mikeka ni upuuzi mtupu na wajinga ndo waliwao. Nashangaa sana kuona vijana sasa wanaona hii ni Kama ajira, japo Kuna lawama zinaiendea serikali mosi, tatizo la ajira nchini, mbili kuhalalisha huu mchezo na kuwawezesha hawa wafilisi wahindi kuwanyonya vijana wa TZ.

Kuna siku nilimwambia mtu sijui hata hiyo mikeka inafafanaje aliniangalia vibaya as though ni sheria kila kijana Lazima ajue kucheza mikeka siku hizi
Sport beting hazina figisu na ni wazi kabisa wewe kama utasema MAN-U na KAGERA SUGAR anafungwa MAN -U basi umeliwa na kinyume chake umeula na unalipwa , kwa jibu lako na matokeo ya mech hayafichiki na wewe unatizama na unakuwa nayo hivyo mapema unajiongeza lakin 3MZUKA ,BIKO hahahaaaaaaa utaliwa sanaaaaa hadi wajisikie kukupa mshiko.
 
kuna ile ya viberiti nyiti zina kuwa zimekatwa nayo watu walishapigwa sana
Yah, na ile ya bahasha yenye stamp... nshamshuhudia bek3 mmoja anapigwa waziwazi maeneo ya mnadani dodoma, ye alikua nafurahia anaposikia "ukiweka elf10 unapata elf20, ukiweka el30 unapata elf60, dah akaona hela ya mazaga apa naidouble narudi hm mtamuuuu.... kudadek, yule jamaa nlimshuhudia anavoiflip ile bahasha haki ya walah dada wa watu alipiga yowe "jaman hela ya mbogaaaa"
Jamaa walichofanya wakakusanya vibox vyao haoooo, wakasepa.
 
Mwaka 98 niliwah kucheza karata tatu nikawapiga sana mwisho wa siku wakanifukuza, nlivoondoka braza mmoja ambae mi sikujua kama anahusika akanifata akitaka nimrudishie pesa yake.. mi nlikua bado kachalii tu, nikatoka spidi km bolt...
Nlichojifunza wakat ule ni kwamba hawa jamaa ni wajanja sana wanakupamba uendelee kuweka pesa kisha akiona umeweka za kutosha anavogeuza ile karata huez amini, so, mi nlikua nagoma kuongeza nkawa nawala kidogo kidogo, yan nkiweka buku siongezi, kwa iyo namla buku yake, kisha nacheza tena buku.
IMG_20170923_162930_659.jpg
 
Yah, na ile ya bahasha yenye stamp... nshamshuhudia bek3 mmoja anapigwa waziwazi maeneo ya mnadani dodoma, ye alikua nafurahia anaposikia "ukiweka elf10 unapata elf20, ukiweka el30 unapata elf60, dah akaona hela ya mazaga apa naidouble narudi hm mtamuuuu.... kudadek, yule jamaa nlimshuhudia anavoiflip ile bahasha haki ya walah dada wa watu alipiga yowe "jaman hela ya mbogaaaa"
Jamaa walichofanya wakakusanya vibox vyao haoooo, wakasepa.
Hawa wamepigwa sana
 
Sport beting hazina figisu na ni wazi kabisa wewe kama utasema MAN-U na KAGERA SUGAR anafungwa MAN -U basi umeliwa na kinyume chake umeula na unalipwa , kwa jibu lako na matokeo ya mech hayafichiki na wewe unatizama na unakuwa nayo hivyo mapema unajiongeza lakin 3MZUKA ,BIKO hahahaaaaaaa utaliwa sanaaaaa hadi wajisikie kukupa mshiko.
Niko mbali na hiyo michezo kiasi kwamba naona yote uliyosema hapo ni kitu kimoja tu- kamari. Sijui tofauti yake ni nini
 
Kweli Biko Tatumzukazni wizi wa kupanga. Haiwezekani uchezesha ule ndio utoe mshindi. Tarimba na serikali hakikisheni uchezeshaji unakuwa hadharani kwa kuwa pesa zinazochezwa ni zaidi ya bilioni kwa mchezo mmoja. Je serikali inapata kodi kihalali. Mimi naona huu ni wizi kwa wavivu wa kufanyakazi. Hii michezo ni DECI zilizo kuja kivingine

Tarimba hawezi igusa biko watampima mkojo kama kanji, ile ni ya
 
Bahati nasibu ni moja ya njia inayoweza kukupa utajiri.
Hiyo ipo hivyo na ipokuwarecognized.
Nyingine ni kurithi,
Ama zile formal,uwekezaji,biashara na matumizi ya vipaji.

Lakini bahati nasibu hapo haina maana hakuna utapeli,yawezekana ukawepo lakini sio kila bahati nasibu inautapeli.
 
Kubet siachi,,!! Ila huko Biko na Tatu Mzuka mnikomeee,, waizi wakubwa hao,,
Kwanza natizamaje mechi bila kubeti,,? Raha ya mechi bet..
Hapa u17 world cup wameshanipa mpunga tayari mara 3 ya nilichoweka. Hata mimi biko, 3mzuka watasikia pesa zangu kwenye bomba.
 
Kitu unapiga hela au unapigwa live na game unaiona.. Game ambayo kila timu inatafuta ushindi ili aidha kuchukua ubingwa au kutafuta nafasi ya kushiriki kimataifa ama kuepuka kushuka daraja, game inapigwa kila mtu anaona mwisho wa siku mmoja anashinda na aliembetia anachukua mzigo wake fasta.. Sasa nyie mnaong'ang'ana mashine ziamue ushindi wenu sijui tuwaiteje,,
 
Back
Top Bottom