Wakuu nimepata udaku wa matukio mbalimbali yaliyojiri na yanayoendelea kujiri kwa wana chit chat walioko safarini Tanga,nimemtafuta
TANMO ili arushe bombani hajapatikana hadi sasa,
TANMO popote ulipo una kazi ya kufanya huku, baadhi ni
i.
Madame B awagonganisha
Arushaone na
PakaJimmy
ii. Babu
Dark City hoi kwa
Arabela
iii..
Mungi adondosha hirizi bafuni, ilikuwa imeandikwa jina la marejesho
iv. watu8 akutwa chumbani kwa Preta saa nane usiku,adai alienda kumpigia kampeni charminglady, taarifa zamfikia measkron..
v...