Afu wewe napatia yeye dawa gani?
nasubiri mmalize kuuza nyaraka ili nifanye majumuisho,mengi naona hamjayasema,au mnajidai ni siri? yashajulikana mbona?
kuna mmoja wenu kaonekana na 'aunt bilali' disco majani mapana.
Ni udaku tu mdogo wangu...wala usiwe na shaka,
Imani ya babu kwako ni zaidi ya 100%
Cc: KOKUTONA, Mungi, Lily Flower!!
You should be there!!! Ndoa zilindwe kwa silaha zote