UDAKU: Wana chit-chat walioko Tanga

UDAKU: Wana chit-chat walioko Tanga

Asante jamani, nilipotea kweli ila badae nikapata mwenyeji pale eee! Toto la kitanga kama jarabu likanifikishia kwao alafu likanisakizia mie ndio nililo lipa ujauzito, si ndo ukaletwa ubani tukafungishwa ndoa papo hapo, tumepewa na kiwanja cha kuanzia maisha na nimeambiwa nikijaribu kuondoka TNG mimba itahamia kwangu

Hapo unalo na ujanja wote kwishney
 
Nyingine.

Mapango ya Amboni yageuka gesti kwa muda. KOKUTONA ahusika, Mungi aelezea mchezo wote mwanzo mwisho
 
Last edited by a moderator:
Nyingine.

Mapango ya Amboni yageuka gesti kwa muda. KOKUTONA ahusika, Mungi aelezea mchezo wote mwanzo mwisho

Kwanza nice to meet you Baba V.

Hakuna kitu km hicho kabisa, kule kwenye mapango mambo hayo huwez fanya i see unaweza shangaa sehemu muhimu zimetoweka ghafla. Mungi naomba uje unisafishe i see, sijawah kuwa na kashfa,mi mtu safi sana hata babu Dark City anajua, au nikuchongee kwa Lily Flower?
 
Ni udaku tu mdogo wangu...wala usiwe na shaka,

Imani ya babu kwako ni zaidi ya 100%

Cc: KOKUTONA, Mungi, Lily Flower!!
 
Last edited by a moderator:
1.Freemason yahusishwa na safari ya wanajf ya Tanga.
2. Baba V mdomo wazi kwa aliyoyaona
3. Mwana CC maarufu afungishwa ndoa ya mkeka
 
Last edited by a moderator:
Hii nyingine tena.

Baada ya safari ya Tanga watu8 nyumbani pachungu, ni kufuatia pesa za VICOBA za measkron . Yadaiwa ndizo alizozitumia safarini Tanga.
 
Last edited by a moderator:
kwani Preta kakutwa na nini tena?

Adaiwa kuweweseka kila mara na kutaja jina la watu8, .Msaada wa psychiatrist wahitajika. Babu DC alonga,asema aliona dalili mapema
 
Last edited by a moderator:
Adaiwa kuweweseka kila mara na kutaja jina la watu8, .Msaada wa psychiatrist wahitajika. Babu DC alonga,asema aliona dalili mapema

kama ndio hivyo mbona hiyo iko gonjwa dogo sana...mimi tayari panda fast jet enda Yaeda chini angalia hiyo Preta kama bado iko naweweseka...
 
Last edited by a moderator:
kama ndio hivyo mbona hiyo iko gonjwa dogo sana...mimi tayari panda fast jet enda Yaeda china angalia hiyo Preta kama bado iko naweweseka...

Afu wewe napatia yeye dawa gani?
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kufika Dar Madame B akumbwa na balaa, akuta vyombo vyote kwa jirani, na talaka ikiwa imeandikwa kwa kilingala. Achanganyikiwa asijue la kufanya. Amtupia lawama Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Hii nyingine tena.

Baada ya safari ya Tanga watu8 nyumbani pachungu, ni kufuatia pesa za VICOBA za measkron . Yadaiwa ndizo alizozitumia safarini Tanga.

Miye nala pensheni sasa, VICOBA na watu8 wapi na wapi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom