UDAKU: Wana chit-chat walioko Tanga

UDAKU: Wana chit-chat walioko Tanga

we mzee naona unanizengea sana....sasa kuanzia leo hakuna rangi utaacha ona nitakuandama kama kivuli kila kona lazima nile nawe!!

Ongea vizuri na Baba V Mkuu! Bado nna kazi nae kuhusu mapenzi niliyonayo kwa mke wangu mpz marejesho na mpango wangu wa muda mrefu na Arabela!
 
Last edited by a moderator:

Hiki kidingi kinaniandama sana utadhani sina undugu nacho...dawa yake nilishaipata kule mapangoni kilichobaki ni kuhesabu siku za kukaondoa tu hapa jamvini au kama vipi tunakahamishia jukwaa la Utambulisho huko.
 
teh teh teh,kazi ipo,mi nawaangalia tu, umemsoma measkron pale juu?
 
Last edited by a moderator:
we mzee naona unanizengea sana....sasa kuanzia leo hakuna rangi utaacha ona nitakuandama kama kivuli kila kona lazima nile nawe!!

kwa mikwara ya hivyo basi jet li angekuwa waziri mkuu wa china
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom