hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 3,045
- 1,507
Usijali hapa natumia akili tu kukuelewesha haina haja ya kutumia andiko lolote,................ ipo hivi ungeamua kusoma kwa kuzingatia basi tokea jana ungejua kwanini nakuambia Binadamu ana mwanzo,..sasa ili ujue Binadamu ana mwanzo tuangalie taratibu kabisa mechanism ya Binadamu jinsi wanavyozaliana:-Sasa ndio uthibitishe huo mwanzo wa ambao unaujua.
Thibitisha sasa huo mwanzo wa binadamu biologically ni nini?
Na huo mwanzo wa binadamu biologically, Mwanzo wake ni nini?
Ok fine.
Mwanzo wa reproduction process ya binadamu ni nini?
Sawa.
Sasa naomba uthibitisho na uelezee huo mwanzo wa binadamu biologically ni nini?
Na huo mwanzo wa binadamu biologically ulitoka wapi?
Huko ulipotoka, kulitoka wapi?
Usianze kuleta hadithi za kwenye Quran au Biblia au andiko lolote la kidini.
- Mchakato wa reproduction unategemea ushirikiano wa mbegu za kiume (sperm) na yai la mwanamke (yaani Ovum) ili kutengeneza kiumbe kipya............Hii inamaanisha: Ili binadamu apatikane, lazima kuwe na kiumbe kingine cha kiume na kiumbe cha kike vilivyokuwepo awali yaani "MWANZO" ili kukutanisha mbegu za kiume na yai la kike ambapo baada ya kukutana zinapelekea kitendo kinachoitwa "uchavushaji" kwa kiswahili au wenzetu wanaita "Fertilization" ... Sasa Tuliza akili uendelee kufuatilia hapa chini ujue na fertilization inavyofanya kazi:-
- Combination of Genetic Material: Fertilization occurs in the moment when two sets of genetic material from the mother and father combine. Each sperm and egg carries half of the genetic information (23 chromosomes each). When they unite, they form a complete set of 46 chromosomes, creating a unique genetic blueprint for a new individual. This combination is fundamental because it defines the characteristics, traits, and potential development of the human embryo.
Nadhani umeona hapo kwamba fertilization inafanyika kwa kutegemea taarifa za vinasaba yaani "GENES" kutoka Mwanamke na Mwanaume hivyo BILA KUWEPO TAARIFA ZA KINASABA ZA MWANAMKE NA MWANAUME( Ambazo zipo carried kwenye Sperm na Ovum) FERTILIZATION NA REPRODUCTION KWA UJUMLA HAIWEZEKANI KABISA KUFANYIKA...................................................
HIVYO KWA MANTIKI HIYO NI SAHIHI KUHITIMISHA KWAMBA LAZIMA KUWE NA MALE & FEMALE ILI KUANZISHA MCHAKATO WA KUZALIANA KWA BINADAMU,...Nadhani umepata uthibitisho na umeelewa sasa kwamba kwa nini baiolojia inakataa hoja ya binadamu kutokua na mwanzo,si ndiyo?!