Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Starting point ipi hiyo?
Kibaiolojia na Kimantiki Binadamu hawezi kupatikana bila Wazazi wawili( Kiume na Kike) kuhusika kwenye mchakato wa Reproduction... Dhana ya "infinity" inavunjika kwa mantiki ya uzazi kwa sababu haiwezekani kuwa na mchakato wa milele wa uzazi ambao haukuwa na mwanzo(Starting point),..Ikiwa dhana ya mchakato wa milele "infinity" ingewezekana, ingemaanisha kwamba hakuna mwanzo wa uhai, jambo ambalo ni impossible kibaiolojia............labda utuambie kuna tafiti umefanya iliyokuletea majibu tofauti na inavyofahamika kwa sasa....

Starting point ya kila binadamu ni mzazi wake.

Ikiwa starting point ya kila binadamu ni mzazi wake, Je, tunaweza kufikia binadamu wa kwanza katika mlolongo (chain) huo? Je, huyo wa kwanza alitoka wapi?
 
Kibaiolojia na Kimantiki Binadamu hawezi kupatikana bila Wazazi wawili( Kiume na Kike) kuhusika kwenye mchakato wa Reproduction... Dhana ya "infinity" inavunjika kwa mantiki ya uzazi kwa sababu haiwezekani kuwa na mchakato wa milele wa uzazi ambao haukuwa na mwanzo(Starting point),..Ikiwa dhana ya mchakato wa milele "infinity" ingewezekana, ingemaanisha kwamba hakuna mwanzo wa uhai,
Je ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na mwanzo?
jambo ambalo ni impossible kibaiolojia............labda utuambie kuna tafiti umefanya iliyokuletea majibu tofauti na inavyofahamika kwa sasa....

Ikiwa starting point ya kila binadamu ni mzazi wake, Je, tunaweza kufikia binadamu wa kwanza katika mlolongo (chain) huo? Je, huyo wa kwanza alitoka wapi?
Hakuna binadamu wa kwanza.

Kwa sababu hakuna ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na mwanzo.

Ila kama ulazima huo, lazima uwepo, Hata mwanzo wa kila kitu lazima uwe na mwanzo wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe pasipo mwanzo.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina mwanzo, Hata binadamu hatuna na hatuhitaji kuwa na mwanzo.

Hivyo hakuna binadamu wa kwanza.
 
Je ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na mwanzo?

Hakuna binadamu wa kwanza.

Kwa sababu hakuna ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na mwanzo.

Ila kama ulazima huo, lazima uwepo, Hata mwanzo wa kila kitu lazima uwe na mwanzo wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe pasipo mwanzo.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina mwanzo, Hata binadamu hatuna na hatuhitaji kuwa na mwanzo.

Hivyo hakuna binadamu wa kwanza.
Hapa hatuzungumzii kila kitu,...tunazungumzia Binadamu ana mwanzo au hana mwanzo!?

Jitahidi majibu yako yaendane na ulichoulizwa,..

Ikiwa starting point ya kila binadamu ni mzazi wake kama ulivyosema, Je, tunaweza kufikia binadamu wa kwanza katika mlolongo (chain) huo? Je, huyo wa kwanza alitoka wapi
 
Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.

Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.

Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.

1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)

Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani

Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).

Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.

A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Roho ni nini?
 
Hapa hatuzungumzii kila kitu,...tunazungumzia Binadamu ana mwanzo au hana mwanzo!?

Jitahidi majibu yako yaendane na ulichoulizwa,..
Nilisha kwambia tangu mwanzoni Binadamu hana mwanzo.
Ikiwa starting point ya kila binadamu ni mzazi wake kama ulivyosema, Je, tunaweza kufikia binadamu wa kwanza katika mlolongo (chain) huo? Je, huyo wa kwanza alitoka wapi
Hakuna binadamu wa kwanza.
 
Binadamu hana mwanzo.

Binadamu walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.

Kama binadamu lazima awe na mwanzo, Hata huo mwanzo wa binadamu lazima uwe na mwanzo wake.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina mwanzo, Hata binadamu hatuna na hatuhitaji kuwa na mwanzo.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na Binadamu hatuna na hatuhitaji kuwa na chanzo.
Cha kuongezea hapo ni kwamba binadamu tunakufa na kuzaliwa sehemu nyingine yaani uhai WA binadamu bi mzunguko usio na mwisho. Kwenye miaka 70 ya kuishi aliyozungumzia mtoa Uzi ni kwamba binadamu akizaliwa akaishi miaka 65, akizaliwa kwa mara nyingine basi binadamu huyo ataishi miaka 5 ili kukamilisha 70 Ambayo mungu kayakusudia

Hivyo ndivyo ninavyoamini.
 
Labda nimsaidie kwani ni biology ipi, haujasoma theory of existence of man
Kwenye evolution
Vizuri,.. Evolution Theory haisemi kwamba Binadamu hana mwanzo...

Wewe kama unasema Binadamu hana mwanzo lete uthibitisho toka kwenye Evolution Theory au popote pale unapopafahamu.

Lengo ni rahisi tu,..Tujifunze sote kwa pamoja.

NB: Ikiwa starting point ya kila binadamu ni mzazi wake, Je, tunaweza kufikia binadamu wa kwanza katika mlolongo (chain) huo? Je, huyo wa kwanza alitoka wapi
 
Mimi situmii baiolojia.

Mimi hoja zangu zinatokana na logic.
Hoja zako hazina logic,... Unasema tu Binadamu hana mwanzo...
1. Ukiulizwa uthibitisho au mechanism yake ipoje, huna.
2. Ukiombwa uelezee hiyo infinity chain ya Binadamu kuzaliana,.hujui,..sasa logic ipo wapi hapo?

NB: Ukitaka kuonyesha kwamba hoja zako zina logic ndani yake,..Basi lete uthibitisho usio na shaka unaoonyesha kwamba reproduction process ya Binadamu haina mwanzo,..
 
Hoja zako hazina logic,... Unasema tu Binadamu hana mwanzo...
1. Ukiulizwa uthibitisho au mechanism yake ipoje, huna.
Nimekuuliza, Je ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na mwanzo?
2. Ukiombwa uelezee hiyo infinity chain ya Binadamu kuzaliana,.hujui,..sasa logic ipo wapi hapo?
Kutokujua haimaanishi kwamba kuna mwanzo.

Labda kama unajua na una uhakika kabisa kwamba kuna mwanzo ndipo, uthibitishe huo mwanzo ni nini?

Otherwise mimi sijui mwanzo ni nini, Na hata wewe pia hujui.

Kwa hiyo wote hatujui, hakuna anayejua.
NB: Ukitaka kuonyesha kwamba hoja zako zina logic ndani yake,..Basi lete uthibitisho usio na shaka unaoonyesha kwamba reproduction process ya Binadamu haina mwanzo,..
Je ni lazima reproduction process ya binadamu iwe na mwanzo?
 
Nimekuuliza, Je ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na mwanzo?
Narudia,..hapa hatuzungumzii kila kitu tunazungumzia Binadamu,..Huko kwenye "kila kitu" ni mada nyingine kabisa let's stick to the point.
Kutokujua haimaanishi kwamba kuna mwanzo.
Sasa kumbe hujui kwanini unadanganya watu kwamba Binadamu hana mwanzo,..? Kutokujua kwako hakumfanyi Binadamu asiwe na mwanzo.
Otherwise mimi sijui mwanzo ni nini, Na hata wewe pia hujui.

Kwa hiyo wote hatujui, hakuna anayejua.
Hahh sasa ile confidence ya kusema Binadamu hana mwanzo uliitoa wapi wakati hujui kuhusu jambo hilo?...................Kwa upande wangu its logically and biologically proven kwamba Binadamu ana mwanzo...

Je ni lazima reproduction process ya binadamu iwe na mwanzo?
Ndiyo lazima reproduction process ya binadamu iwe na mwanzo,...yaani logically & biologically haiwezekani kabisa reproduction process ya binadamu kukosa mwanzo.

NB; Logically, Every process begins with a starting point,................A process, by its nature, involves a sequence of actions or steps aimed at achieving a specific outcome. Every process must have a starting point because it marks the initial action or condition that sets the rest of the process into motion. Without a clear beginning, there would be no trigger or foundation for subsequent steps to follow, making it impossible for the process to unfold. In essence, the starting point provides the reference and direction from which everything else in the process can proceed
 
Narudia,..hapa hatuzungumzii kila kitu tunazungumzia Binadamu,..Huko kwenye "kila kitu" ni mada nyingine kabisa let's stick to the point.

Sasa kumbe hujui kwanini unadanganya watu kwamba Binadamu hana mwanzo,..? Kutokujua kwako hakumfanyi Binadamu asiwe na mwanzo.
Sasa ndio uthibitishe huo mwanzo wa ambao unaujua.
Hahh sasa ile confidence ya kusema Binadamu hana mwanzo uliitoa wapi wakati hujui kuhusu jambo hilo?...................Kwa upande wangu its logically and biologically proven kwamba Binadamu ana mwanzo...
Thibitisha sasa huo mwanzo wa binadamu biologically ni nini?

Na huo mwanzo wa binadamu biologically, Mwanzo wake ni nini?
Ndiyo lazima reproduction process ya binadamu iwe na mwanzo,...yaani logically & biologically haiwezekani kabisa reproduction process ya binadamu kukosa mwanzo.
Ok fine.

Mwanzo wa reproduction process ya binadamu ni nini?
NB; Logically, Every process begins with a starting point,................A process, by its nature, involves a sequence of actions or steps aimed at achieving a specific outcome. Every process must have a starting point because it marks the initial action or condition that sets the rest of the process into motion. Without a clear beginning, there would be no trigger or foundation for subsequent steps to follow, making it impossible for the process to unfold. In essence, the starting point provides the reference and direction from which everything else in the process can proceed
Sawa.

Sasa naomba uthibitisho na uelezee huo mwanzo wa binadamu biologically ni nini?

Na huo mwanzo wa binadamu biologically ulitoka wapi?

Huko ulipotoka, kulitoka wapi?

Usianze kuleta hadithi za kwenye Quran au Biblia au andiko lolote la kidini.
 
Back
Top Bottom