Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Mzee tayari roho yako Isha acha mwili nini, maana hujamalizia point zako😂😂😂
 
Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.

Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.

Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.

1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)

Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani

Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).

Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.

A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Usipoteze muda wako kurejea biblia, ishi maisha yako siku ukiondoka bila kujua ndio mwisho wako. Dunia tutawaachia watakaokuwepo.R.I.P ISACK
 
Hizo point sio mzee, mtoto aliyefariki akiwa na miaka 10, unamuelezeaje?
 
Ninajua kwa uhakika kabisa siwezi kuishi miaka zaidi ya 150.

Lazima nitakufa. Kwa sababu seli za mwili wa binadamu kadiri muda unavyokwenda na zenyewe zinakufa.

Hivyo mtu yeyote hawezi kuendelea ku survive kwanzia miaka 100+

Lazima ufe. Na wala hili halina mjadala.
Tunazungumzia kuamini kuwa utakufa na si umri wa kufariki au aina ya kifo. Kwa sababu mtu anaweza kufa kwa sababu mbalimbali tofauti na wakati wowote katika umri wowote, sasa wewe hapa unazungumzia habari za kutoishi zaidi ya miaka 100+ kana kwamba huwezi kufa chini ya miaka 100.
 
Mimi siamini kwamba nitakufa ila ninajua kwamba ipo siku nitakufa.

Sihitaji imani, bali najua kwamba lazima nitakufa siku moja.
 
Mwanzo wangu ulitokana na wazazi wangu.

Na mwanzo wa wazazi wangu ulitokana na wazazi wao. Hivyo hivyo to infinity...
Kwahiyo kila Binadamu ana mwanzo? .........including wewe na wazazi wako?

huoni kwamba kauli yako inapingana na hoja uliyotoa mwanzo kwamba Binadamu hawana mwanzo,..now unasema wana mwanzo...tuzingatie kauli ipi hapo?
 
Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.

Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.

Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.

1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)

Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani

Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).

Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.

A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Thibitisha Mungu yupo. Thibitisha roho ipo.
 
Kwahiyo kila Binadamu ana mwanzo? .........including wewe na wazazi wako?
Ndio.

Mwanzo wa binadamu ni binadamu mwenzake.
huoni kwamba kauli yako inapingana na hoja uliyotoa mwanzo kwamba Binadamu hawana mwanzo,..now unasema wana mwanzo...tuzingatie kauli ipi hapo?
Mwanzo wa kila binadamu umetokana na uwepo wa binadamu aliye tangulia kabla yake.

Hivyo hivyo to infinity...
 
Ndio.

Mwanzo wa binadamu ni binadamu mwenzake.

Mwanzo wa kila binadamu umetokana na uwepo wa binadamu aliye tangulia kabla yake.

Hivyo hivyo to infinity...
Hoja yako ya infinity inakosa mantiki,...kwasababu ukitazama binadamu ili wazaliane kuna conditions kama hizi zifuatazo inabidi zichukue nafasi;-
  • Kukutana kwa mbegu za kiume (sperm) na yai la mwanamke (ovum), ambapo mimba inatungwa na mtoto anazaliwa.
  • Ili mchakato huu utokee, lazima kuwe na mzazi wa kiume na mzazi wa kike,
Hii ni biological condition isiyoweza kuepukwa. Bila mwanaume na mwanamke kushiriki, mchakato huu hauwezi kutokea hivyo lazima kuwe na starting point ya kuwezesha mchakato kuanza (yaani kuwepo Mwanaume na Mwanamke ili kuwezesha mchakato kufanyika)....... Thus, hoja ya kusema Binadamu hawana mwanzo inapingana na uhalisia wa kibaiolojia..........

Labda utuambie kuna njia nyingine ya kuzaliana kwa binadamu tofauti na hii ya mbegu za jinsia mbili kukutana..
 
Una uthibitisho gani kwamba binadamu wana starting point?

Kwani ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na starting point?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na starting point, Hata hiyo Starting point lazima iwe na starting point yake nyingine.

Na kama si lazima kila kitu kilichopo kina starting point, Hata binadamu hawana starting point.
 
Thibitisha Mungu yupo. Thibitisha roho ipo.
Mungu yupo, Mungu ni cheo kikubwa zaidi kuwahi kutokea ndio maana Kuna miungu, namaanisha Mungu ni chochote,yoyote,lolote au usichokijua chenye uwezo zaidi ya kila kitu, so you can choose who is over everything, whether you see it,touch or even you don't see, chenye uwezo wa kukupa pumzi, kuiondoa, kukuponya, kukunyeshea mvua yani nafikiri unaweza kujua sasa kuwa Mungu yupo
 
This is meaningless.
 
Hizo point sio mzee, mtoto aliyefariki akiwa na miaka 10, unamuelezeaje?
Naweza kuelezea according to,
It's very rare mtoto kufa bila sababu Kuna magonjwa pia
Ila kama sijaweka hii point inamaana ni inajulikana
 
Back
Top Bottom