Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Hizi ni dalili za Utawala Wa kidikteta kuanza kupotomoka
 
Tatizo si uchunguzi kwa sasa ni namna mh Mbowe anavyotaka wachunguze wacheze kwa namna anavyotaka kucheza yeye!!! na kwa kufanya hivyo anajaribu kukwepesha ukweli, kwanini asikae kimya na kama ana ushahidi wa video si awape wanajeshi kama polisi hawaamini? waliopoteza maisha ni ndugu zetu sote na cdm pia in chama chetu wote sina hakika kama cdm ni hatari kiasi cha serikali kufikia huko.
 
Nakubaliana na wewe hawa watu wa nitoke vipi ? haiingii akilini eti video tunazo ina maana ni tukio la kupangwa hivi kwa nini basi wasizitoe? Sasa ukiangalia chadema wanavyotusi ma mambo yao mengi wanayofanya ya kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya serikali vilevile angalia na Rwanda wanavyomtusi Rais wa Tanzania kwa kile alichowaambia eti wafanya mazungumzo na rebels hivyo kumtaka aombe radhi unaweza connect dot. Hujuma kwa serikali ya Tanzania na wapinzani wakitumiwa hasa CDM. Najua mtashambulia lakini najaribu kuunganisha matukio.

Rwanda hawajamtusi Rais Kikwete bali walimwambia ukweli!! Kikwete nchi yake imemshinda kiherehere chake cha nini kufuatilia mambo ya Rwanda! Dr Ulimboka aliteswa na mtu kutoka IKULU lakini gazeti la MWANAHALISI lilivyomuumbua KIKWETE na IKULU yake akaagiza lifungiwe na alivyo DHAIFU akaenda kutolea tamko la kulifungia gazeti ETHIOPIA!! What a SHAME!! Kikwete anaihujumu mwenyewe serikali yake na watanzania kwa ujumla! SIPENDI KUWA MNAFIKI lakini uwezo wa JK kwenye management ni POOR na ndiyo unaotufikisha hapa watanzania!! Kama kweli ana uchungu na watanzania wanaokufa na kuteswa kinyama na bila hatia yeye na jeshi lake kamwajibisha nani kwa hayo??

Siyo unatuletea ujinga jinga wako wa kuendekeza njaa zako!! Wangekuwa ni ndugu zako wamekufa au kujeruhiwa ungekuwa anabwabwaja hivyo!!
 
makamanda leteni gari makmanda tumeua watu mwenyekiti njoo tumeua watu hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya mtu wa chadema akiongea kwenye mlipuko huo kupitia kipaza sauti akimwita mwenyekiti kwa hiyo jamani mpime na hizi kauli mkiwa mnatengeneza picha
Ma- kenge ni wengi sana kama wewe!!!!
 
Ushahidi wa mhusika mkuu wa bomu la Soweto uko wazi kama jua na anga. Mhusik ni mmoja tu, CCM.
Serikali na hasa Jeshi la Polisi ni nyenzo kufanikisha malengo ya CCM. Kwani nani mwingine anayeogapa kupoteza viti vya udiwani zaidi ya CCM?

Matukio yote ya uonevu, uhalifu na mauaji ktk chaguzi ndogo za mwezi wa sita 2013 yana mkono wa CCM. Ni doa la milele kwa historia ya nchi hii.

Lakini ni mbegu ya ukombozi na ustawi wa Tanzania tunayoipigania leo na kesho, kwa damu ya raia wasio na hatia itaendelea kurutubisha fikra na dhamiri zetu mpaka hapo lengo kuu litakapokuwa limetimia.
 
Unatumia kiungo gani kusikiliza ndugu. alisema "Makamanda leteni magari tume uwawa huku", sikiliza vizuri tena.
 
ccm kwishilia mbali,wamezeeka mpaka reasoning,hizi ni zama zingine kabisa.hakuna haja ya utemi,somo la demokrasia limewapitia pembeni.
 
Wakati umefika kuangalia uwezo wa jeshi letu la polisi,nafikiri miezi sita wanayokaa chuoni haiwatoshi kabisa. Inashangaza sana,polisi walikuwepo eneo la tukio,tena nasikia walikuwepo wengi,mtu anarusha bomu,wanashindwaje kumkamata? Ingekuwa bomu la kutegwa,tungewaelewa,bomu linarushwa,watu wanamwona mrushaji,wanaanza kumfukuza,polisi wanashindwaje kumpata mhusika? Hakika,ama polisi wetu uwezo wao ni mdogo sana au wanahusika na mlipuko wa bomu hil😵na sasa uzembe wao au uwezo wao mdogo unaanza kuhatarisha maisha ya watu wengine,viongozi wa CCM kama Mwigulu Nchemba,Mwampamba na wengineo maisha yao sasa yako hatarini,chuki waliyonayo watu juu yao ni kubwa mno,ni mbaya mno kwa usalama wao.

Wakati umefiki kwa serikali kufanya uchunguzi wa kina juu ya uwezo wa jeshi la polisi.Maana,matukio yote yenye mwelekeo wa kigaidi wameshindwa kabisa kuyakabili,Matukio ya mauaji ya bomu kanisani Arusha,na yale ya Mwangosi, na yale ya padre Zanzibar,mateso ya Ulimboka,kubenea na Kibanda,n.k hayana majibu.Sasa watu hawana imani tena na polisi wa Tanzania,jambo hili ni la hatari sana,siku itafika watu watakapoamua kuanza kuwavizia polisi njiani na kuwaua,hapo ndipo kutakapokuwepo kilio cha kusaga meno,kinga ni bora kuliko tiba,nashauri polisi wote waende J.K.T. miaka miwili,maana tumeambiwa J.K.T inajenga uzalendo,wakimaliza jeshi waende mafunzo ya polisi kwa miaka isiyopungua mitatu,itakayowajengea ukakamavu na kuwaongezea intrlijensia.TAFAKARI.
 
CCM wanafiki CDM walipanga kujiua,walipanga kujiua kwenye maeneo wanayougwa mkono kama Arusha? shame on u shame upon u,oooh.
 
makamanda leteni gari makmanda tumeua watu mwenyekiti njoo tumeua watu hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya mtu wa chadema akiongea kwenye mlipuko huo kupitia kipaza sauti akimwita mwenyekiti kwa hiyo jamani mpime na hizi kauli mkiwa mnatengeneza picha
Maneno ya mtu makini sana hayo. Yanaonyesha uwajibikaji kabisa . Tumeua watu kwa maana tumealika watu kwenye mkutano wetu kisha wamekufa,lazima uwe na utu wa kusema tumeua kwani hukualika wafe ila kusikiliza na kwa kukusikiliza washe..zi wamewaua. Ndio tumeua kwa sababu tumeshindwa kudhibiti Polisi kuwaua watu wetu. Umeelewa?
 
Mwigulu anapatikana wapi? Maana anastahili kutandikwa mshale wakati wowote! Ajiandae!!
 
Back
Top Bottom