Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.

Kwa hiyo mnatumia kauli hiyo kuua!! Anayeua kwa upanga atauwawa kwa upanga!!
 
kweeeli hii ni fedheha mana lingelipuka gari leo yangekuwa yanazungumzwa mengine kweli nmeamini wao wana dola na sie tuna Mola
 
Mtazunguka sana kumtaja Mwigulu,Nape,Mwampamba na wengineo...Lakini there is some one behind the scene (the tenth letter of alphabet and its following letter).[/red]

Kuna kitu ambacho kinatakiwa kieleweke
1:kama haiwaudhi wenye mamlaka kwanini hatua stahiki hazichukuliwi.

2:Historia ya visasi inakuwa kwa binadam wa aina gani

3:Walengwa wa kuuawa wana historia gani tofauti na wenye mamlaka..

Nafikiri wa kina Nchemba ni messanger tu,ila wahusika waliopo nyuma hawagusiki,japo ni dhana potofu.

hahaaa J and K lol nimetafsiri tu jamani mie simo!

kucha zanguuuuuu!
 
cha ajabu juuya haya yote ni ukimya wa Watanzania ikiwa ni dalili ya kukubaliana na kila linaloendelea!!!
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.

Kwenye jina lako ikiondolewa konsonanti ya kwanza, utapata neno linalomaanisha kichwa chako kilivyo!
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.

Wewe siyo mtanzania
 
For some reason neno "Shabiki wa Chadema" sijalipenda. Lipo judgemental mno. Quality ya picha inaonesha ni picha ya simu. Anybody could have taken the picture. Pili, aliyeiweka hiyo picha anaweza akawa ni mwanachama kabisa.

Nineikuta Facebook kwa Shabiki wa CHADEMA na alichokuwa ameandika hapo chini je hii ni kweli au kaweka chumvi
[h=5]
Kutenga mil 100 eti zawadi kwa atakaye mtaja mhusika wa bomu la Arusha sio tu kutufanyia dhihaka wafiwa bali pia ni kuchezea kodi zetu.

Picha zinaonyesha wanajeshi wakikagua tundu la risasi kwenye tank la mafuta la gari la CHADEMA, ambalo lilikuwa likitumika kama jukwaa.
Tank lilipigwa risasi ili lilipuke na kila aliyekuwa jukwaani asingepona. MUNGU YUPO NASI , HALIKULIPIKA. maganda ya risasi yanaonyesha niya bunduki aina ya SMG, Je ni kina nani wanamilik SMG Tanzania??, Yaonyesha bomu halikufika kwenye "target" ,ikabidi watumie risasi za moto.
Wasizunguke msitu, wasituchezee shele... waanze na hao wamiliki wa SMG.
[/h]

Mtazunguka sana kumtaja Mwigulu,Nape,Mwampamba na wengineo...Lakini there is some one behind the scene (the tenth letter of alphabet and its following letter).

Kuna kitu ambacho kinatakiwa kieleweke
1:kama haiwaudhi wenye mamlaka kwanini hatua stahiki hazichukuliwi.

2:Historia ya visasi inakuwa kwa binadam wa aina gani

3:Walengwa wa kuuawa wana historia gani tofauti na wenye mamlaka..

Nafikiri wa kina Nchemba ni messanger tu,ila wahusika waliopo nyuma hawagusiki,japo ni dhana potofu.

Umenifurahisha tenth letter of alphabet hii si ni J..
 
kaweka chumvi

Acha unafiki, yule alishika mike alisema jamani wameshaua, leteni gari, tunaomba msaada leteni magari jamani, na sio huo uchochezi wako hapa jf, kama umetumwa na ushindwe na ulegee mwili mzima
 
makamanda leteni gari makmanda tumeua watu mwenyekiti njoo tumeua watu hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya mtu wa chadema akiongea kwenye mlipuko huo kupitia kipaza sauti akimwita mwenyekiti kwa hiyo jamani mpime na hizi kauli mkiwa mnatengeneza picha

we ni mnafiki mkubwa na mchonganishi aliomba msaada wa gari na kumuita mbowe ambaye alikuwa upande wa goli la basketi hapo soweto
 
Alioandika huyo Mkuu wa FB yana ukweli kabisa sasa hata wewe ukijiuliza mwenyewe hayo maganda ya risasi za SMG yanatoka wapi na nani alikuwa na hiyo SMG kama si Police na kama alivyoandika moja kwa moja sio kiushabiki zaidi kama nilivyoisoma hapa hii habari yake hapa ni kwamba ukweli uko wazi kwamba hela ambayo imewekwa ni kodi zetu mia kwa mia na pia walioweka hilo dau wanafahamu kabisa hakuna mwananchi atakaye lipata kwa kuwa ni wao wenyewe na wanafahamu deal so hapo ni kwamba tayari changa la macho.Iliyobaki sasa kila mwana nchi nikujilinda mwenyewe kama Somalia vile.Hakuna Police ni vibaka tu kuwalinda vibaka wenzao CCm.

Kuna sehem nimesoma au kusikia kuwa risasi zilizotumika baada ya kuona makasha yake kuwa zimetengenezwa mwaka huu, kasha la bomu na la risasi yamepishana namba chache,

je hapa si ni rahisi kujua aliyeziagiza hizo siraha maana hata kiwanda kilichozitengeneza kinajulikana, je Serikali kama inataka kujua ukweli haiwezi kufuatiliwa mpaka kwenye hicho kiwanda na kupata ukweli wa mtu aliyenunua hizo siraha?

Maana naamini kiwanda kitakuwa na kubukumbu ya iyo Batch ya siraha ilizouza.

Ebu serikali anzieni hapo kwenye namba ya Hizo za siraha na kama kiwanda kinafahamika tunaunda tume ya nini? Zitumike hizo Mil 100 kufanya iyo shughuli.

Na SMG mpaka inatumika kwenye mkutano kama huu bila hata intelejensia kufanya kazi?

NOTE
Kama kuna mtu aliona ilo tukio au anamjua mhusika " Nina wasi wasi ukawa mtego wa kupoteza ushaidi" wenye akili mmenielewa Mil 100 ni kamtego, ila ni mawazo yangu
 
Nineikuta Facebook kwa Shabiki wa CHADEMA na alichokuwa ameandika hapo chini je hii ni kweli au kaweka chumvi
[h=5]
Kutenga mil 100 eti zawadi kwa atakaye mtaja mhusika wa bomu la Arusha sio tu kutufanyia dhihaka wafiwa bali pia ni kuchezea kodi zetu.

Picha zinaonyesha wanajeshi wakikagua tundu la risasi kwenye tank la mafuta la gari la CHADEMA, ambalo lilikuwa likitumika kama jukwaa.
Tank lilipigwa risasi ili lilipuke na kila aliyekuwa jukwaani asingepona. MUNGU YUPO NASI , HALIKULIPIKA. maganda ya risasi yanaonyesha niya bunduki aina ya SMG, Je ni kina nani wanamilik SMG Tanzania??, Yaonyesha bomu halikufika kwenye "target" ,ikabidi watumie risasi za moto.
Wasizunguke msitu, wasituchezee shele... waanze na hao wamiliki wa SMG.
[/h]

Moto ambao ungetokea baada ya tank kulipuka kinachofuata ni mashambulizi ya mfululizo toka kwa polisi kuwaua wote waliokuwa katika stage. Lakini Mungu ni muweza wa yote, Paulo na Sira waliomba milango ya gereza ikafunguka bila funguo.
 
Ni nani anamiliki SMG Tanzania?

Swali zuri sana. Mostly SMG zinamilikiwa na vyombo vya usalama, hususan polisi.

I said mostly, maana yake si ajabu kukuta mtu binafsi anayo.

Na pia tunajua kwamba jeshi letu la polisi alosto, askari polisi hao hao wengine wanabadili nguo za kipolisi na kuingia kazini kama majambazi na SMG za serikali.

Au kuzikodisha kwa majambazi.

Hivyo basi, ingawa inawezekana kabisa kwamba hii ni kazi ya vyombo vyetu vya usalama, mtu atakayefikiria kidogo tu ataona kuwa, kama kulikuwa na watu wengine, tofauti na vyombo vya usalama, waliotaka hili lionekane kama limefanywa na vyombo vya usalama, wangejua kwamba kutakuwa na forensic investigation. Na walijua kwamba kutumia bunduki kama zinazotumiwa na vyombo vya usalama kungeleta picha kwamba hili limefanywa na vyombo vya usalama, huku wao waliofanya hili kikweli wakiachwa bila uchunguzi.

Sisemi hilo ndilo lililotokea, naonesha tu kwamba hii habari ya kurukia kusema kwamba hili limefanywa na vyombo vya usalama kwa sababu ya risasi za SMG, ingawa inaweza kuwa kweli, inaweza pia kuwa a planted decoy to disguise the real source.

Uchunguzi zaidi utakaoweza ku corroborate mambo mengi zaidi yanayoonyesha kitu kimoja unahitajika.
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.

Umepokea ngapi kwa kazi hii leo?
 
Back
Top Bottom