Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,973
- 30,154
Joseph Kony?hahaaa J and K lol nimetafsiri tu jamani mie simo!
kucha zanguuuuuu!
Joseph Kabila?
Jah Kimbute?
Juma Kaseja?
Joseph Kony?hahaaa J and K lol nimetafsiri tu jamani mie simo!
kucha zanguuuuuu!
Msomali pia akamatwe huyu Katibu Mkuu wa CCM.
Walianza na chacha wangwe, ikaja tindikali igunga, ikaenda moro, ikahamia kwa waandishi akina msaki, ikaenda kwa mamake zitto kutishiwa bastola na sasa bomu arusha
makamanda leteni gari makmanda tumeua watu mwenyekiti njoo tumeua watu hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya mtu wa chadema akiongea kwenye mlipuko huo kupitia kipaza sauti akimwita mwenyekiti kwa hiyo jamani mpime na hizi kauli mkiwa mnatengeneza picha
Nahis dada Judith alipigwa risasi baada ya kumwona aliyerusha bomu
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
Tatizo si uchunguzi kwa sasa ni namna mh Mbowe anavyotaka wachunguze wacheze kwa namna anavyotaka kucheza yeye!!! na kwa kufanya hivyo anajaribu kukwepesha ukweli, kwanini asikae kimya na kama ana ushahidi wa video si awape wanajeshi kama polisi hawaamini? waliopoteza maisha ni ndugu zetu sote na cdm pia in chama chetu wote sina hakika kama cdm ni hatari kiasi cha serikali kufikia huko.
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
nilimsikia hivyo mama yako wakati anakuzaaJe ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
Tumeuawamakamanda leteni gari makmanda tumeua watu mwenyekiti njoo tumeua watu hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya mtu wa chadema akiongea kwenye mlipuko huo kupitia kipaza sauti akimwita mwenyekiti kwa hiyo jamani mpime na hizi kauli mkiwa mnatengeneza picha
Tumeuawa
Unajua tofauti ya maneno hayo mawili.
Lukuvi na kauli yako unayaona hayo.
Unatumia kiungo gani kusikiliza ndugu. alisema "Makamanda leteni magari tume uwawa huku", sikiliza vizuri tena.
Pole sana Mkereketwa siku ukikumbuka shuka kutakuwa kumekucha. Nakushangaa haingii akilini mtu anayedai anayo video tayari anashindwa kuipeleka kunakohusika anakaa kubwabwaja. Kweli watu mnaoendeshwa na matukio shida sana.Rwanda hawajamtusi Rais Kikwete bali walimwambia ukweli!! Kikwete nchi yake imemshinda kiherehere chake cha nini kufuatilia mambo ya Rwanda! Dr Ulimboka aliteswa na mtu kutoka IKULU lakini gazeti la MWANAHALISI lilivyomuumbua KIKWETE na IKULU yake akaagiza lifungiwe na alivyo DHAIFU akaenda kutolea tamko la kulifungia gazeti ETHIOPIA!! What a SHAME!! Kikwete anaihujumu mwenyewe serikali yake na watanzania kwa ujumla! SIPENDI KUWA MNAFIKI lakini uwezo wa JK kwenye management ni POOR na ndiyo unaotufikisha hapa watanzania!! Kama kweli ana uchungu na watanzania wanaokufa na kuteswa kinyama na bila hatia yeye na jeshi lake kamwajibisha nani kwa hayo??
Siyo unatuletea ujinga jinga wako wa kuendekeza njaa zako!! Wangekuwa ni ndugu zako wamekufa au kujeruhiwa ungekuwa anabwabwaja hivyo!!