Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Nineikuta Facebook kwa Shabiki wa CHADEMA na alichokuwa ameandika hapo chini je hii ni kweli au kaweka chumvi

Kutenga mil 100 eti zawadi kwa atakaye mtaja mhusika wa bomu la Arusha sio tu kutufanyia dhihaka wafiwa bali pia ni kuchezea kodi zetu.

Picha zinaonyesha wanajeshi wakikagua tundu la risasi kwenye tank la mafuta la gari la CHADEMA, ambalo lilikuwa likitumika kama jukwaa.
Tank lilipigwa risasi ili lilipuke na kila aliyekuwa jukwaani asingepona. MUNGU YUPO NASI , HALIKULIPIKA. maganda ya risasi yanaonyesha niya bunduki aina ya SMG, Je ni kina nani wanamilik SMG Tanzania??, Yaonyesha bomu halikufika kwenye "target" ,ikabidi watumie risasi za moto.
Wasizunguke msitu, wasituchezee shele... waanze na hao wamiliki wa SMG.








Kwanini walienda wanajeshi badara ya polisi?
 
Alioandika huyo Mkuu wa FB yana ukweli kabisa sasa hata wewe ukijiuliza mwenyewe hayo maganda ya risasi za SMG yanatoka wapi na nani alikuwa na hiyo SMG kama si Police na kama alivyoandika moja kwa moja sio kiushabiki zaidi kama nilivyoisoma hapa hii habari yake hapa ni kwamba ukweli uko wazi kwamba hela ambayo imewekwa ni kodi zetu mia kwa mia na pia walioweka hilo dau wanafahamu kabisa hakuna mwananchi atakaye lipata kwa kuwa ni wao wenyewe na wanafahamu deal so hapo ni kwamba tayari changa la macho.Iliyobaki sasa kila mwana nchi nikujilinda mwenyewe kama Somalia vile.Hakuna Police ni vibaka tu kuwalinda vibaka wenzao CCm.

Hawa sio vibaka, rejea tafsiri hii ya C.C.M - Chama cha majambazi. Hawa ni majambazi wanawalinda majambazi wenzao. Namshangaa mwananchi wa kawaida anayeendelea kushabikia ccm
 
CCM hawana uchungu na wapiga kura wao hata bungeni hawatuthamini kabisa wananchi wapo kwa masilahi yao binafsi na hata wanapo ua kwa sasa wanaona ni kitu cha kawaida. bom la Arusha watakuwa wamehusika kwa asilimia mia kwanza wameshafulia ila hawataki kukubali ukweli sasa wanatumia nguvu, wakati wao umekwisha.
 
Hakika iko siku yaja ccm watatueleza vizuri kwanini wanaua watu bila sababu za msingi.
 
Hahaaaaaaaaaaaaa, ccm kwa kutengeneza movie bwana. Eti jamaa waliolipua church walikuwa watu wa M23 na wakaanza kutuma vikosi ili kudanganya akili za watu, kumbe walikuwa na lao jambo. Unajua ukishazoea upuuzi ni mpaka uumbuke, na ndio kinachowapata hawa watu.
 
Mtazunguka sana kumtaja Mwigulu,Nape,Mwampamba na wengineo...Lakini there is some one behind the scene (the tenth letter of alphabet and its following letter).

Kuna kitu ambacho kinatakiwa kieleweke
1:kama haiwaudhi wenye mamlaka kwanini hatua stahiki hazichukuliwi.

2:Historia ya visasi inakuwa kwa binadam wa aina gani

3:Walengwa wa kuuawa wana historia gani tofauti na wenye mamlaka..


Nafikiri wa kina Nchemba ni messanger tu,ila wahusika waliopo nyuma hawagusiki,japo ni dhana potofu.
da upo sahihi sana mkuu.....kuna big fish wamesahaulika apo
 
makamanda leteni gari makmanda tumeua watu mwenyekiti njoo tumeua watu hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya mtu wa chadema akiongea kwenye mlipuko huo kupitia kipaza sauti akimwita mwenyekiti kwa hiyo jamani mpime na hizi kauli mkiwa mnatengeneza picha

Lione na hili,akili yako inafanana na avator yako,na huyo kwenye avator yako ni wewe mwenyewe!
 
m 23 waifate chadema tu??????? shame on u ccm hawawez kwepa hili upuuzi mtupu
Mrusha bomu awe polisi wa tanzania? Hainiingii, awe mwana ccm, anataka kuua wanachadema ambamo hana uhakika kama kuna ndugu zake? Hainingii pia.. Imani kali za kidini, au waasi wa M23, kwangu ni Yes!!
 
watafanikiwa kwani polisi walioshiriki hawawezi lipwa hizo hela...watawatuma jamaa zao wamtaje mwigulu ili wakagawane hizo hela....CCM wajinga kweli..hizo hela zitachukuliwa na mwigulu wao.
 
Mrusha bomu awe polisi wa tanzania? Hainiingii, awe mwana ccm, anataka kuua wanachadema ambamo hana uhakika kama kuna ndugu zake? Hainingii pia.. Imani kali za kidini, au waasi wa M23, kwangu ni Yes!!

inawezekana ijapokuwa siamini. Kwa nini Polisi walilipua mabomu ya moshi baada ya bomu kurushwa? kwa nini bomu litupwe kwenye mkutano wa Chadema? Kwa nini kuna ugogoi wa kufuuatilia kile kilichotokea? Mimi nafikiri huu ni mwendelezo wa yale yote ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mikutano ya Chadema. Je, umejiuliza kwa nini wale wote waliohusika kwenye vifo vya mikutano ya Chadema hawajakamatwa? Kwa nini yule Polisi aliyemuua Mwangosi mpaka leo hajafunguliwa mashtaka?

Mimi si mwanachama wa chama cha siasa lakini sikosi kujiuliza maswali mazito kuhusu CCM na serikali yake. Kwa tukio la juma lililopita ilitakiwa mkuu wa nchi atoke na kauli si Waziri wa Mambo ya Ndani!!!!!!!!!!!!
 
we ni mnafiki mkubwa na mchonganishi aliomba msaada wa gari na kumuita mbowe ambaye alikuwa upande wa goli la basketi hapo soweto
hayo maneno si yapo kwenye video alitamka kua tumeua watu hiyo kauli ina maana gani sasa
 
aibu kubwa mno ccm, wataficha nyuso zao wapi? lah!!! ni nguvu kuamini, ni ngumu kumeza!!
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
Nakubaliana na wewe hawa watu wa nitoke vipi ? haiingii akilini eti video tunazo ina maana ni tukio la kupangwa hivi kwa nini basi wasizitoe? Sasa ukiangalia chadema wanavyotusi ma mambo yao mengi wanayofanya ya kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya serikali vilevile angalia na Rwanda wanavyomtusi Rais wa Tanzania kwa kile alichowaambia eti wafanya mazungumzo na rebels hivyo kumtaka aombe radhi unaweza connect dot. Hujuma kwa serikali ya Tanzania na wapinzani wakitumiwa hasa CDM. Najua mtashambulia lakini najaribu kuunganisha matukio.
 
Naogopa kusema kwamba huo ndiyo ulikuwa mwisho wa Mh. Mbowe na Mh, Lema!! Poleni sana wana Arusha Mungu ni mkubwa kama Tanki lile lingelipuka nafikiri zaidi wa watu 200 pamoja na viongozi wakuu wa CDM arusha tungekuwa tunawaaga leo.
 
Hakuna DHAMBI mbaya duniani kama dhambi ya uwoga
Kura nitapiga hata kwanguvu kuichagua chadema mpaka nife
 
Du namkumbuka sumaye wakati akiwania urais, alitoa kauli tutaongozwa kwa bunduki, kuna kitu alikijua huyu magamba
 
Nineikuta Facebook kwa Shabiki wa CHADEMA na alichokuwa ameandika hapo chini je hii ni kweli au kaweka chumvi

Kutenga mil 100 eti zawadi kwa atakaye mtaja mhusika wa bomu la Arusha sio tu kutufanyia dhihaka wafiwa bali pia ni kuchezea kodi zetu.

Picha zinaonyesha wanajeshi wakikagua tundu la risasi kwenye tank la mafuta la gari la CHADEMA, ambalo lilikuwa likitumika kama jukwaa.
Tank lilipigwa risasi ili lilipuke na kila aliyekuwa jukwaani asingepona. MUNGU YUPO NASI , HALIKULIPIKA. maganda ya risasi yanaonyesha niya bunduki aina ya SMG, Je ni kina nani wanamilik SMG Tanzania??, Yaonyesha bomu halikufika kwenye "target" ,ikabidi watumie risasi za moto.
Wasizunguke msitu, wasituchezee shele... waanze na hao wamiliki wa SMG.








watanzania tukumbuke kwamba suala la mabobu ni gumu sana kulitatua, maana hata marekani bado hawapo salama. ila kwa mapenzi tu ya wanasiasa wetu uchwara tumefika hapa! halafu kuna watu wanajifanya wana utaifa, hivi si wakati huu ndio watu wangeungana kutafuta source ya haya yote badala ya ku jump into conclusions mara ccm ina husika na ccm nao wanadai cdm wamejilipua,why? tutake tusitake tutakuwa na ndugu cdm na ccm, mjirani hali kadhalika huu uadui wa kipimo hiki mbona sii halisi? anyway yetu macho.

whether tunataka au hatutaki lazima police ifanya kazi yake. hakuna nchi duniani isiyokua na police! na kwamba vyombo vya kimataifa vije vitaanzia wapi? si lazima wafanye kazi na police so with due respect cdm, kumbukeni kuna uwezekano wa maadui wa nje ku exploit hii hali tete kutuchanganya and before we know it tutakua kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe bila sababu! i wish Bob Makani angekuwapo, that mzee alikuwa na busara sana. sasa hivi sijui ni nani wa kuwapooza vijana maana wote sawa tangu mwenyekiti hadi mwanachama woote wana akili kuliko mtanzania mwngine yeyote, wanajua kila kitu, wana cdm woote ni malaika, Mungu ni wa kwao tu, watu wengine sii wa Mungu.
ushauri wangu kwa cdm pamoja na kusema huwa hamkurupuki, i beg to differ with you big! you are lossing credibility with time. ifike wakati muwe waungwana then kila mtu atawaheshimu maana as of now you are trying very much to be smart but forgeting that, it is better to be clever because being smart you can fool some people for some time but not all the people all the time! wake up cdm time is ticking. I am out.
 
sipendi na wala sitopenda kamwe kejeri za watawala wetu kuchunguza wakati kitu kio wazi .... Utaficha vyote katikachini ya jua lakini ukweli na mwanga katika giza hwaufichiki tutajua tu.... Hii ni kama mimba changa lakini itajulikana na mtoto atazaliwa tutajua baba yake ni nani????

Mungu ibariki tanganyika
 
Back
Top Bottom