Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Oh Good why you have let this happen in my lovely country. They kill each other for the sake of leadership, what is wrong have we done?
 
je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? Je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? Hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.

haki isipotendeka hata kama ni kipofu atakuchukia tuu.nenda darasani ndo utaelewa.
 
james chapacha nakusikitikia sana. utasubiri saaana!!!!!. Ni ripoti ipi iliwahi kutoka?
 
duchi wewe ni kimeo kweli.je ni nani aliempga joshua nassari..au nae alijipiga tena mwenyewe...u must be stupid
 
mpanga mashambulizi safari hii kakaa kimya maana hata yeye kaona hii ngoma sasa inaendanae mazima
 
Aisee huyu njowepo kweli MTUPU haonii na wala hajitambui. Sasa CCM katika chaguzi inashindana na vyama karibu 10, wote hawataki CCM ishinde, sasa kila Chama kina Wakala wake ndani ya chumba cha kura, sasa kama CCM wanaiba na kuwaibia wote wale 10 huku mawakala wale wakiwepo, sasa basi vyama hivyo na watu wake hawafai kupewa nchi, maana wanashindwa kumdhibiiti mtu mmoja? Tumia akili wewe NJOWEPO
Fuatilia maeneo almost yote ambayo upinzani wameshinda ni mpaka baada ya FUJO fuatilia wewe MWENYE KUTUMIA KAILI UJUE WHY!
 
Back
Top Bottom