Uchunguzi huru: JF haina warembo


Siri yangu.... Jawilat
 
Last edited by a moderator:
Nakuuliza unawezaje kuutambua urembo wa mtu bila kumuona??? Naanza na mimi ushawahi niona??? Unajuaje kama si mrembo???

Jiamini....sijasema wote nilisema kwa asilimia kubwa.....ahahahah!@dena amsi
 
Jaman mm siyo mdada....afu hii post nimeiweka kwenye jukwaa husika sijakataa wadada wa hapa ni great thinker....nakubaliana na hlo sana ila naongelea urembo hapa siyo thkng capacity. MCHUNGUZI HURU

urembo ni nini??? ebu tuanze na hapo kwanza.....
 
Last edited by a moderator:
Basi hata ulichokiandika hapo ungekifanya siri na siyo kuja kuropoka hapa,
maanake hainiingii akilini kujudge mtu kwa Id fake na avatar fake..
Siri yangu.... Jawilat
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

umewrong kabisa ww.
Uzuri unaousema uzuri gani? Inaonekana ww bado ni foolish age ndio maana umewaza kitu kama hicho.
Walioko fb na instagram ni wale watoto ambao bado akili zao znawaza kununuliwa chips mayai. Lakn huku jf kuna watu waliokamaa kiakili wamepitia maisha mbalimbali ndio maana utakuta wanajenga hoja yenye maana na wamekomaa kifikra.
Hvi ukimchukua mtu kama miss chagga au christine ibrahim au Mamndenyi halafu ukachukuliwa na ww mkaambiwa mtoe mawazo yenu hapa unafikir yatakuwa sawa? Ww zaidi utawaza jinsi ya kujisajili fb au tango basi lakn wenzako watatoa mawazo ambayo yatakusaidia ww ktk maisha.
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi na wewe, ebu rudi kalale then uje napost inayoeleweka yawezekana umeandika ukiwa na usingizi!
 
Uchunguzi wako hauna facts yeyote,, uzuri wa mtu ni upumbavu wa macho yako,, kibaya chako ndio kizuri changu, sijui umetumia vigezo gani mpk ukafikia conclusion yako, pia ungejaribu kutuorodheshea baadhi ya wanawake wa JF uliowahi kukutana nao mpk ukafikia conclusion then uka publish hii post yako.

Vinginevyo ni ushabiki tu na mtazamo wako wala siyo uchunguzi kama ulivyodai.
 
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

Unatuchokonoa kama uliokutana nao ni wabaya usdhani wotee....au ulikutana na wadada wote wa humu
 
Mmmmh...ila kwa nini wakina dada wengi wanaotafuta wachumba humu wana miaka 30 na kwenda juu..?!

We mbona mi na miaka23 na nlisema nataka mpenz/mchumba na ni m..........
 
Urembo unaanzia upstairs...responsiveness,arguments zake n.k halafu vingine vinafata and not otherwise.

Binafsi naamini wajiaminio huwa hawajitangazi,hawajianiki bali they give outstanding talks and proves their potentials all the time materially.

Na pia wachache sana wanaopost picha za uhalisia wao kama walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…