JF sio FB wala Insta.... Hapa watu tunajiheshimu na tunachangia mada za maana na kujifunza mengi sio kutongozana. Wewe mleta mada nenda katafute mal@aya hukoooo sio hapa
:sly::sly::sly::sly:
Ankal paroko wangu mzima Wewe?
Njoo=======>
Hahahah nimeanza kuwashtukia.....mnataka mtupeleke sisi tu ninyi muendelee na maisha
Umuache tu.kama alivo....
Simuachi! Maana huwezi mtafuta mke wangu uumwagie tindikali Na mie huyo Barafu Wa moyo wako nimuache tu!
Sitaki kukupoteza kaka yangu...Mume wangu namjua Mie.....ataku ufoo saro yule
Mkeo Ndo ananifata fata....mkanye la sivyo tindikali inamhusu.....na Wewe kama umechoka kuishi aga ukoo kabisa.staki lawamaKm hutaki kunipoteza ni bora uache kumfatafata mtima wangu! Lkn ukifanya hivyo, Ayayayaya niko tayari kufa kabisa!
Hahahaaaaa sitosema!
Mkeo Ndo ananifata fata....mkanye la sivyo tindikali inamhusu.....na Wewe kama umechoka kuishi aga ukoo kabisa.staki lawama
usipite nataka tutete kidogo..!
Mkeo Ndo ananifata fata....mkanye la sivyo tindikali inamhusu.....na Wewe kama umechoka kuishi aga ukoo kabisa.staki lawama
niambie babito
Siku hizi umenitenga...sikuoni sana! lol
..unataka kunihakikishia kuwa humu JF Kuna tofauti sana na FB/BADOO? Kuwa hamna kutongozana? Dena Amsi naomba utengue kauli yako tafadhali...!!
..unataka kunihakikishia kuwa humu JF Kuna tofauti sana na FB/BADOO? Kuwa hamna kutongozana? Dena Amsi naomba utengue kauli yako tafadhali...!!
huku watu ni wastaraabu sana tunaheshimiana na tunafanya mambo ya maana
hayo mambo ya kitoto nenda kayaangalie kule fb na twitter, insta pia