Uchunguzi huru: JF haina warembo

Nahisi ntakuwa nimeeleweka kwa kiasi kidogo sanaaaaa....na kama una mtu wako hapa JF na unaamini ni mrembo ibaki kuwa hivyo.....naomba mod aifunge hii mada....
Nimeipenda hii.
 
Nahisi ntakuwa nimeeleweka kwa kiasi kidogo sanaaaaa....na kama una mtu wako hapa JF na unaamini ni mrembo ibaki kuwa hivyo.....naomba mod aifunge hii mada....

warembo tumejaa we dogo sio mpk mtu awe na mtu wake hapa....


tena bora ifungwe...
 
warembo tumejaa we dogo sio mpk mtu awe na mtu wake hapa....


tena bora ifungwe...
Vaislay mm kakako nipe heshima yangu.....najua ww ni mrembo ndo maana kuna mkuu mmoja aliwahi kukuandikia mada kabisa akihitaji umkubalie.....kuwa na amani....sikusema wote nilisema asilimia kubwa
 
Last edited by a moderator:
kwani tofauti ya azuri na ubaya iko wapi.kwa taarifa yako Hawa usiowaona ndo wako bomba kuliko hao wanaojianika insta na fb.hao ndo hawana ramani kbsa na ndo mana wanajianika na kufanya matangazo.watu huku wamekamilika ndo mana unaona kila mtu na time zake.hakuna shida ya kujuana humu.au we mgeni unataka kujuana na wenzio?humu mada tu.km unataka kujuana nenda huko unapodai wapo wazuri.hao wazuri wanaliwa ,hawaendi choo,hawaumwi,hawafi wakazikwa?acha kumkufuru mungu we mshamba tu
 
T
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

Unajidanganya hao wa istagrm na fb kaziyao kuweka picha za watu huku hatuna shobo za kuweka picha coz tunajijua wazuri yanini kujionyesha wanaojionyesha sio wao
 
Me Mbona mwanaume
na hapa chini sio wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…