Uchunguzi huru: JF haina warembo

Nikuletee sumu aina gani na utashushia na kinywaji gani?

wee hafi mtu hapa...jichepuko langu limesimamia nguzo sifi tena..

jichagulie sumu mwenyewe kama kufa ni rahisi😎
 
Mmh.sio kila mzungu padri wee mleta uzi..fb m naiona ya kshamba sana then naifaglia kchz Jf..may b nam mbaya halaf najiahesabia mzur
 

mhhhhhhhhh.
 
Last edited by a moderator:
Mmh.sio kila mzungu padri wee mleta uzi..fb m naiona ya kshamba sana then naifaglia kchz Jf..may b nam mbaya halaf najiahesabia mzur

Hahahah we binti ujue mimi huwa natamani kujua umri wako...ila kwa vile hayanihusu wacha nitulie tu...
 
Mmh.sio kila mzungu padri wee mleta uzi..fb m naiona ya kshamba sana then naifaglia kchz Jf..may b nam mbaya halaf najiahesabia mzur

Hii id naipenda sana kila nkiiona lazima nicheke
 
Hii id naipenda sana kila nkiiona lazima nicheke

Ha ha ha ha ha amu usinambie, unaipenda eeh..basi sawa.we uknmiss tu.niite ntoe kbomu ufurahie uwepo wangu
 
Last edited by a moderator:
Sema mlimbwende.....huyu Cargo anasema eti hakuna warembo

Nahisi ntakuwa nimeeleweka kwa kiasi kidogo sanaaaaa....na kama una mtu wako hapa JF na unaamini ni mrembo ibaki kuwa hivyo.....naomba mod aifunge hii mada....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…