and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,304
- 39,847
Asilimia 98 ya wahitimu WA vyuo vya Tanzania ni hovyo na wengi hawaajirikiUliokutana nao ndo bomu mkuu, kuna wasomi wanafanya vingi vya tofauti, sema ile samaki mmoja akioza ni wote, kuhusu suala la uchumi wa viwanda tuna wasomi makini, ila utawajua pale tu utakapowatengenezea mazingira, tofauti na hapo hutowaona na watakuwa busy kujitengenezea mazingira yao!!
Siyo wote ni mabomu mkuu wapo watu wanjielewa na wana uwezo mkubwa tu ila shida ni MAZINGIRA SIYO RAFIKI KUONYESHA KILE AMBACHO MTU ANACHO, huwezi nambie suala la kuniajiri huku unaniwekea masharti kibao ambayo hata mengine hayana mantiki, kwann nisitumie ujuzi wangu kujitengenezea mazingira bora kuliko kutumiwa ndivyo sivyo!!
Sikatai kuna baadhi ya wasomi hakuna kitu kabisa ila siyo kwamba ni wote wako hivyo!!
Ishu ni ndogo, tengeneza mazingira yatakayo nisupport na kuwa na uwezo wa kuifikiria mengi zaidi ambayo ni creative tofauti na hapo better nikutengenezee mazingira yangu binafsi kwa manufaa ya wale watakao tambua kile nilichonacho na kuwa tayari kukitumia otherwise mundelee kusema tuna wasomi mabomu!!
Na wahadhiri Ndio hovyo kabisaVyuo vikuu mnatuzalishia mabomu
Hii takwimu ulitumia muda gani,wp na sample IPI uliitumia?Asilimia 98 ya wahitimu WA vyuo vya Tanzania ni hovyo na wengi hawaajiriki
Balaa linaanzia mashuleni (msingi na sekondari)chuo wanamalizia tu kupaka rangi bomu. Linalipukia kwenye ajiraKijana interview anabwabwaja pumba hujapata kuona.
Ukweli mchungu,nipo nao wawili wana shahada ya kwanza ya uhandisi,hawpendi kujishughurisha,ni wavivu balaa,hawana kiu ya kujifunza kazi waliokuja kufanya,wana upeo mdogo wa mambo ya kidunia,siasa,uchumi,diplomasia.kikubwa ni kushinda utube,story za mademu sana,lakini wanataka walipwe mshahara mkubwa,Kwa masikitiko makubwa nimegundua endapo tutakuja kuwa nchi ya Viwanda, huenda tukalazimika kuajiri toka nchi jirani ama toka Asia (INDIA, VIETNAM na U-CHINA). Wahitimu wetu hapa nchini inasemekana ni bomu mambo haya yanahuzunisha sana. Kijana unamuajiri lakini hajitambui ama MWIZI au SHARO kutwa INSTA kufuatilia DIAMOND na MOBETTO. Hatari sana.
Ukweli mchungu,nipo nao wawili wana shahada ya kwanza ya uhandisi,hawpendi kujishughurisha,ni wavivu balaa,hawana kiu ya kujifunza kazi waliokuja kufanya,wana upeo mdogo wa mambo ya kidunia,siasa,uchumi,diplomasia.kikubwa ni kushinda utube,story za mademu sana,lakini wanataka walipwe mshahara mkubwa,
Ukisikiliza story zao,unajua hapa kuna vilaza watupu,
Umesahau kutwa kuhadithiana mpira wa ulaya.Ukweli mchungu,nipo nao wawili wana shahada ya kwanza ya uhandisi,hawpendi kujishughurisha,ni wavivu balaa,hawana kiu ya kujifunza kazi waliokuja kufanya,wana upeo mdogo wa mambo ya kidunia,siasa,uchumi,diplomasia.kikubwa ni kushinda utube,story za mademu sana,lakini wanataka walipwe mshahara mkubwa,
Ukisikiliza story zao,unajua hapa kuna vilaza watupu,
WatWatizame walioajiriwa watizame waliopewa dhamana ya kuongoza watizame wabunge wenye shahada wakingea !??? Jiulize kwanini secta kama hotel zkitalii wamejaa waganda na wakenya!?? Kwanini shule nyingi za english medium wamejaa wakenya nacwaganda!?? Juzi voda walitaka kumleta Eco wa kenya jiulize kwann wayanzania wasipewe hizo nafazi!???narudia Tanzania elimu ni duni hawaajiriki kabisa ni wachache mno uwexoHii takwimu ulitumia muda gani,wp na sample IPI uliitumia?