Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,377
- 4,847
Zaidi ya kusoma kilimo cha Ndizi Jamaika enzi hizo sijawahi sikia shughuli nyingine ya kiuchumi Jamaika.
Ni nchi isiyotajwa sana japo imetoa watu maarufu kama Bob Marley,Bolt,Kuna mchezaji wa mpira wa Miguu akiitwa Warren Barret enzi hizo.
Mji mkuu ni Kingston town
Wenye kuijua jamaica zaidi au waliowahi kufika huko watujuze