Uchumi wa Jamaica unategemea nini sana?

Uchumi wa Jamaica unategemea nini sana?

Maswali ya wavuta bangi bwana utayajua tu
Usipende kuhukumu Ndugu

Na kuliko makwazo its better to read the post in a silence mode na kuondoka kimya kimya.

Nani alikwamba natumia Cannabis sativa

I just want to expand my knowlege na siyo kingine

Dont be judgemental
 
Nahisi kuna jibu unalitaka ila unazunguka sana na bado hujalipata.
Hakuna ninachotafuta nataka kujua tu
Muda mwingi nawaona hata jamaa ni wala bata sana na Miziki yao ya root reggae,Riddim,dancehall na sweet reggae
 
Jamaica ni tofauti kama tunavyoisikia. Nimerudi toka huko kama miezi miwili sasa. Jamaica ni free Port kama Dubai. Kingstone ina bandari karibu nusu ya beach yake. Pia ina bandari nyingi sana sikuwahi kutegemea jamaa wanaexport mazao sana zaidi matunda na wanaimport zaidi toka marekani. In short jamaica yote imezungukwa na bandari. Utalii uko juu sana.
Shukrani Ndugu i get what i want hata tukiishia kwa hii post inatosha.
Nimepata Mengi
 
Usipende kuhukumu Ndugu

Na kuliko makwazo its better to read the post in a silence mode na kuondoka kimya kimya.

Nani alikwamba natumia Cannabis sativa

I just want to expand my knowlege na siyo kingine

Dont be judgemental
Hadi a.k .a za bangi unazijua unataka nitumie akili gani kukutambua baba.Wavuta bangi hawapendi kujilikana kama wanavuta bangi si muachee aisee
 
Aya ndugu yangu umeshinda.
 
Jamaica ni tofauti kama tunavyoisikia. Nimerudi toka huko kama miezi miwili sasa. Jamaica ni free Port kama Dubai. Kingstone ina bandari karibu nusu ya beach yake. Pia ina bandari nyingi sana sikuwahi kutegemea jamaa wanaexport mazao sana zaidi matunda na wanaimport zaidi toka marekani. In short jamaica yote imezungukwa na bandari. Utalii uko juu sana.
Wewe ndio umempa jibu halisi, jamaa wanalima sana ndizi na matunda, mboga mboga na viwanda vya kati, pia utalii, watalii wengi hutoka Canada na Marekani. Kutoka jamaica hadi Miami ni kilometa kama 1500 hv yan dar na Bukoba au Musoma.

Izo bangi wanazosema watu na Rasta ni ideas tu, ukifika Jamaica hutaziona nikama tu wazungu wenhine wanavyodhani Afrika nzima ni pori na tunaishi na wanyama au sisi wote ni kama wamasai, lakin ukweli ni lipo kundi dogo la Rasta. Na wengine wanaishi kawaida.

Ningesimulia mengi yatosha, nimetoka huko mwezi wa uliopita
 
Asante kaka nipo interesting sana na hii nchi na Romania.

Jamaica nawaona kama wanapenda Starehe sana picha nyingi ni beach na kucheza miziki ila kama shughuli za Viwanda na kilimo zipo basi heko.

Hata ukiwa na Rafiki mjamaica ukimtambulisha kwa watu kila mtu anakuhisi kama wewe unavuta bangi wakati sio kweli

Sidhani kama kila mtu jamaica ni mvuta bangi.
 
Ha ha ha ku bang ndio wanapenda sana si unajua ule uafrika flan japo alinishangaza rafiki yangu nilipomuita African Queen ha ha akacheka oh my Gosh im not an African [emoji23] [emoji23] wanainglish flan hv kama unabosikiaga kwenye raggie.

Ukijichanganya pale Jamaica hawawezi jua umetoka Africa labda lafudhi ukiongea. I miss there
 
I wish i could visit there.
Hawa jamaa nawaona wa tofauti sana vipi na mfumo wao wa Elimu wanapenda kupiga shule?sijawahi sikia mtanzania kala degree yake jamaica
 
Wana elimu sio ya kulinganisha na Marekani lkn pia c ya kulinganisha na Tanzania maana hatuwafikii
Mkuu utaenda tu tafta Rafiki huko
 
Back
Top Bottom