Uchumi wa Jamaica unategemea nini sana?

Uchumi wa Jamaica unategemea nini sana?

[emoji625]Uchumi wa Jamaica 75% unategemea kilimo cha bangi.[emoji777]
 
Jamaica ni tofauti kama tunavyoisikia. Nimerudi toka huko kama miezi miwili sasa. Jamaica ni free Port kama Dubai. Kingstone ina bandari karibu nusu ya beach yake. Pia ina bandari nyingi sana sikuwahi kutegemea jamaa wanaexport mazao sana zaidi matunda na wanaimport zaidi toka marekani. In short jamaica yote imezungukwa na bandari. Utalii uko juu sana.
Hata picha hamna mkuu
 
Wanategemea watalii kwa99% cruise ships zinazo tia nanga kila siku sio chini ya 4mpaka 5 na kwa kila cruise inabeba watalii wasio pungua 6000 mpaka 7000 hiyo ni kwa meli kubwa still wanapokea meli zinye ukubwa sawa na meli ya mfalme WA Oman nyingi
 
Hivi kumbe Wasanii wana-impact kubwa kujenga picha mbaya ya nchi husika.!? Ukitaja Jamaica kila MTU atapeleka wazo moja kwa moja ktk BANGI.!
 
Wewe ndio umempa jibu halisi, jamaa wanalima sana ndizi na matunda, mboga mboga na viwanda vya kati, pia utalii, watalii wengi hutoka Canada na Marekani. Kutoka jamaica hadi Miami ni kilometa kama 1500 hv yan dar na Bukoba au Musoma.

Izo bangi wanazosema watu na Rasta ni ideas tu, ukifika Jamaica hutaziona nikama tu wazungu wenhine wanavyodhani Afrika nzima ni pori na tunaishi na wanyama au sisi wote ni kama wamasai, lakin ukweli ni lipo kundi dogo la Rasta. Na wengine wanaishi kawaida.

Ningesimulia mengi yatosha, nimetoka huko mwezi wa uliopita
interesting! nimezunguka zunguka...ila jamaica sijawahi fika. air ticket ya go and return ni bei gani? bila shaka uli-connect flight US or kuna direct flight?
 
Wajamaica wengi wanaishi na kufanya kazi Marekani,Canada,na Uingereza.
Wana aina fulani ya kahawa very high grade inalimwa huko na ni very very expensive.
Wajamaica wengi wao wana asili ya kiafrika ni watu wenye nguvu,lakini nchini kwao hawataki kuendeshwa mbio.
Zamani walikuwa na viwanda vichache sana,kama kutengeneza cocacola n.k
 
Hiyo ni caribean kijana.
Utalii, kilimo na madini ya Bauxite.

Totoz za kutosha na zinatembea robo uchi.
 
Back
Top Bottom