K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,268 Reaction score 13,895 Nov 27, 2025 #1 Hawa wadau watatu ndiyo wametufikisha hapa na huko mbele wakibaki wataharibu uchumi wa TZ vibaya sana lazima Mama atolewe na kuwe na serikali ya mpito
Hawa wadau watatu ndiyo wametufikisha hapa na huko mbele wakibaki wataharibu uchumi wa TZ vibaya sana lazima Mama atolewe na kuwe na serikali ya mpito
VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 8,145 Reaction score 12,745 Nov 27, 2025 #2 Muda sio rafiki kabisa..
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,734 Reaction score 118,638 Nov 27, 2025 #3 Kama vipi hao ICC waje wawachukue mapema ili nchi nayo iweze kupona.