Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako.
Maana yake ni Kuwa usalama...
Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi.
Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
Ndugu zangu Watanzania,
Hatima ya Taifa Hili Ipo Mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hatima ya Maisha na ubora wa Maisha ya Watanzania Upo Mikononi Mwake.
Afya za Watanzania,ajira kwa vijana, Bei za Mazao ya...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza bungeni leo Juni 26, 2026, amesema Mipango yote ya serikali ikiwe Dira ya Maendeleo pamoja na Bajeti Kuuu ya serikali kwa mwaka 2026/2027 ambayo imepitishwa na Bunge yote hayawezi kutekelezwa bila uwepo wa amani na usalama nchini.
Ametoa wito kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Lazima Sote kwa Pamoja bila kujali itikadi za vyama vyetu ,Dini zetu ,Makabila Yetu ,ukanda ,jinsia zetu ni lazima tukubali Ukweli wa Kuwa Rais Samia Uongozi wa Rais Samia Tangia kuingia Kwake Madarakani Umebadilisha Maisha ya watanzania. Umeleta Matumaini kwa watu na...
Tujiulize na kujihoji . Wizara ya habari utamaduni na michezo ina umuhimu gani kupewa bil 562? Kuwapa motisha wakata viuno na content creators?
Kama Jiji kama Dar ea salaam kuna shida ya maji. Kwa nini hii wizara isipewe pesa nyingi na wizara ya Wakata viuno na wacheza ngoma ikapewa bil 100...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine akiangamia.
1. Ulevi si Lazima Uwe na Kelele
Wapo walevi wanaoonekana ‘safi’ kwa nje – wana kazi...
Hii inaleta tafsiri gani?
Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa.
Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu.
Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
Kesho ni siku muhimu sana kwa nchi yetu! Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 inasomwa bungeni, na kila mmoja anasubiri kwa hamu kujua nini kimejumuishwa.
Hii inafuatia kauli ya Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na...
Wakuu
Mmesikia hili la CCM kwa Wananchi?
==
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewashukuru wana CCM kwa kuendelea kukiunga mkono cham hicho na ushiriano wanaoutoa katika utekelezaji wa ilani yake.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Najua haiwezi kuwa Rahisi Hivyo ila ili Kuboresha uchumi wa nchi, kuongeza ajira, ufanisi, na maisha ya Watanzania kunahitaji mkakati mpana unaohusisha sekta mbalimbali. Hapa kuna ushauri na mapendekezo kwa serikali Ambao kwangu Nimeona Unafaa na Nitakuwa naweza na Fedha kwa Makadirio ya Chini...
Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake.
Maisha yetu ni duni kwa sababu tu ya mipango yetu mibovu ambayo serikali yetu inafanya.Tasafu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.