Uchomaji wa kadi za CCM

Wakati hatukuwa na ndege zetu watu waliilaumu serikali ya CCM.

Magu kaingia na kuanza kununua ndege, watu wanailaumi serikali ya CCM na kudai ndege si kipaumbele.

Haki ya nani sisi hatujitambui kabisa.

Tupo tupo tu ka misukule.
Kama Kuna hasira tz imepata ni kumpa magu uraisi maana tunajua hakushinda....
 
Kama Kuna hasira tz imepata ni kumpa magu uraisi maana tunajua hakushinda....
Hivi kweli hizi kelele za humu zinaakisi hali halisi iliyopo nchini au?

Manake kila anapoenda Magu watu kibao tu hujitokeza kumlaki na kumwona....

JF bana....huwa iko kwenye sayari ingine kabisa[emoji23]
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko[emoji23] [emoji23]
WEWE kama hukuchoma sema tu ni kaupepo...hata ingechomwa kadi moja tu ni jitihada kubwa!
 
You need to take a lesson on logic, bro. Mimi mwenywe nina kitambi na nimetoka kushindilia mlo mwingine wa ukweli lakini najua mtaani na kijijini kwangu wapo wengi tu wenye njaa.
Fanya Mazoezi wewe.

Kitambi ni Maradhi na wala si sifa
 
Mh. Ripoti niliyoisoma Mimi ya shirika la hali ya hewa duniani imesema kutakua na mvua chini ya viwango vya kawaida kuanzia mwezi disemba 2016 mpaka march 2017 ila maeneo ya mashariki mwa Tanzania hayatakumbwa sana na hali hiyo!
 
Kwani Mange Unamchukulia Poa mbona ana MBA
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko[emoji23] [emoji23]
haikuwa na uoparesheni wowote mtu mwenyewe alieianzisha ni mtaliki ambae anatapatapa tu maisha yamemshinda
 
Wewe unasema operation choma kadi....sasa ivi tunauguza maumivi kwani tumepigwa pigo takatifu. Kata 20 Ukawa tumeambulia 1 tu. Ccm 19. Hakuna cha operation wala nin....huyu mzee ndiye anayewamaliza kama hamujamshtukia. Mim ningeshauri tu Mh. Lowassa apumzike aachane na siasa. Ebu jikumbushe hii. Baadhi ya wabunge wa chadema walisema wanaomuunga Lowassa wapimwe akili. Mi nafikiri upepo umewabadilikia wao ndo wanapimwa Akili .
 
Kinachonikera mi wapinzani ni lugha ya matusi kutukanana hadharani,, unamtukana raisi kama amekuchukulia mke wako,, *lisu*na lema umenifanya niuchukie sana upinzani
 
Njaa hakuna wewe ni.blah blah za watu tuu

Magu katoa nwanya sana wa watu kulia so wanalia sanaaa

Ukame huu unaingilia nini na.hizo njaa mnazo lia lia??

Hivi mnakulaga mazao mateta maana sio muda wa mavuno.huu
 
Kwani Mange Unamchukulia Poa mbona ana MBA
Hoja sio MBA bali ni matendo yake.

Utoto mwingi lakini kinachoshangaza zaidi kuna baadhi ya wanaokubaliana na utoto wake wakati wana elimu ya chuo kikuu.
 
Ahahahahaaaaa

UKAWA oyeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…